Nilee mimba au nimwache?

Nilee mimba au nimwache?

Naombeni ushauri mke wangu ameshika ujauzito ambao ndo wa Kwanza ila ana mawasiliano bhado na eX wake.

Niimkataza mimba ikiwa ina miezi miwili Ila cha ajabu nmekaa sasa hivi ina miez saba nmekuta bado wana mawasiliano ila yeye anadai jamaa ndo huo anampigia nkamwambia kwann usimblock Hana jibu.

Halafu na pia hiyo imenipa mashaka ujauzito unaweza usiwe wa kwangu.

Naombeni ushauri wenu.
Kwann huwa mnaowa wake za watuuu.......nliona fb dem wangu wa advance anafunga ndo mapicha kama yote nkamtext vp umeniacha akasema ww siwez kukuacha vjn achen kuolea genye.....
 
Naombeni ushauri mke wangu ameshika ujauzito ambao ndo wa Kwanza ila ana mawasiliano bhado na eX wake.

Niimkataza mimba ikiwa ina miezi miwili Ila cha ajabu nmekaa sasa hivi ina miez saba nmekuta bado wana mawasiliano ila yeye anadai jamaa ndo huo anampigia nkamwambia kwann usimblock Hana jibu.

Halafu na pia hiyo imenipa mashaka ujauzito unaweza usiwe wa kwangu.

Naombeni ushauri wenu.
Acha mambo ya wivu wakijinga.
Kuchapiwa hakuepukiki. Cha msingi wewe sii unapata mbususu kwa muda wako. Na hakikisha na wewe unakuwa na micheps miwili yenye shape na sura kuzidi yeye maisha yanaenda
 
Back
Top Bottom