Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Nani kuibuka mshindi? Maana sasa umeingia ndani ya chama na 'Maintalekichua' wanaonekana kuunga mkono timu 'Nileteeni Gwajima' Est.2020 dhidi ya wale kina 'Pangupakavutiamchuzi' tunaounga mkono timu 'Tupakule Magwajima' Est.2025.
Naona hata jamaa zangu Njaa55 wanasikitika kwani huu mpambano wamesahaulika na kujikuta hata mfadhili wa Chopa kusahau kutoa kibali na mafuta ya chopa.
Naona hata jamaa zangu Njaa55 wanasikitika kwani huu mpambano wamesahaulika na kujikuta hata mfadhili wa Chopa kusahau kutoa kibali na mafuta ya chopa.