Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mbona Yesu Alikwisha Tufundishwe kwamba hao ni magugu!Wazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar.
Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa.
Huku kwetu Tanzania , wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na sababu nyingine.
Nikiwa mu Anglikana, nilisikitika kwa kitendo cha kanisa langu la Uingereza kufungisha ndoa mashoga, huku wakikataa mtu kuwa na wake wengi, eti ni dhambi.
Wanatetea ndoa za mashoga na kuziita eti ni kielelezo cha haki za binadamu.
Nikaona tusikwazane, yusikerane.
Haina siri yeyote mkuu!Human raiti. ina siri gani kwa hawa wazungu?
Turudi kwenye asiliYupo kiongozi alisema mkiona wazungu wananipigia makofi mjue nimewasaliti!.. tuliacha tamaduni zetu nakukimbilia tamaduni za hovyo,ilitakiwa tuboreshe vyakwetu. Hivi sasa tumeshikwa macho na hatuoni wapo wachache wameshafunguka macho naandika tena hata hizi dini ni utawala umbao umejichimbia kwa uzalimu fulani mtakuja kuyaona haya kwa kuchelewa hii sio nadharia.
Mental slave katika ubora wako, naona unatema tu povuKwa hiyo tukusaidiaje???!!sema wewe ni din nyingine sio mkristo unajiongelesha uonekane upo??!! Je ukiulizwa ulishuhudia kanisa gani linafungisha ndoa hizo utajibu, wewe ni kilaza bila chenga kabisa tunamashaka na IQ yako hebu kanye kwanza umeshiba makange
Muoane midume mitupu ilhali wanawake wamejaa teleHaina siri yeyote mkuu!
Ni Uhuru Tuliopewa na Mungu kuchagua kwenda Peponi au motoni!
😂😂Sasa uko wapi?Wazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar.
Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa.
Huku kwetu Tanzania , wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na sababu nyingine.
Nikiwa mu Anglikana, nilisikitika kwa kitendo cha kanisa langu la Uingereza kufungisha ndoa mashoga, huku wakikataa mtu kuwa na wake wengi, eti ni dhambi.
Wanatetea ndoa za mashoga na kuziita eti ni kielelezo cha haki za binadamu.
Nikaona tusikwazane, yusikerane.
Kwamba hili si kanisa?!?!Ndoa za jinsia moja hazijawahi kufungwa kanisani , huwa zinafungwa serikalini na zinaitwa civil partnership