Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

Wazungu wametuvurugia maisha yetu asili,ambayo yalikuwa Safi sana.mm huwa sitaki kuskia huu upuuzi wao !!! dini zetu za asili zilitufanya tuwe na upendo,heshima na adabu .
Kwani umelazimishwa kufuata dini za hao wazungu? Si uwe ktk dini yako ya zamani hiyo. Kwani unakwama wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndoa za jinsia moja hazijawahi kufungwa kanisani , huwa zinafungwa serikalini na zinaitwa civil partnership
42619.jpg
 
Hili swali zuri sana,Mungu hapatikani ktk nyumba za ibada pekee,yupo kila mahali.

Kwa wakristo mwili wako ndilo hekalu ivyo popote Mungu yupo,hakuna ulazima wa kwenda kanisani labda km unataka ukaibiwe hela kwa kudanganywa kuwa ni sadaka
Umenifurahisha mno, hebu pita kwa mangi pata chochote bill juu yangu.
 
Ulaya uislamu unakuwa kwa kasi mno kuliko dini nyingine yoyote
Ingawa siijui geografía ya ulaya lakini kule kuna ulaya iliyopakana na mashariki na huko uarabuni, sehemu hizo uislamu lazima uwe mwingi lakini sio kubwa kama Amerika ambako ukristo unakua mno
 
Ingawa siijui geografía ya ulaya lakini kule kuna ulaya iliyopakana na mashariki na huko uarabuni, sehemu hizo uislamu lazima uwe mwingi lakini sio kubwa kama Amerika ambako ukristo unakua mno
Uingereza uaijua vyema?
 
Halafu wee si bwabwalao? Naona jamaa anawasagieni kunguni mkose wakuaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anasagia kunguni au anateseka yeye? Sasa km yeye anaweza au ana uwezo mbna kanisa lake limefungisha ndoa mashoga, hajafanya kizuizi au pingamizi, dhidi ya kususa kwenda ibadani kanisani kwake? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Inaonesha wazi hana uwezo wa kupambana na ushoga/mashoga, tena yeye kwa kutambua hilo kaamua akae pembeni, apishe mashoga wafungishwe ndoa zaidi na zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ushoga ni taasisi pana na iliyojivhimbia chini zaidi, hapa ndo kwanza unaanza kutoa majani, bado kuzaa matunda mbna watu watapooza miili km sio kufa kwa pressure. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yeye km anataka ndoa za mitala zihalalishwe, aanze mchakato wa kupigania hilo sio kuanza kuukandia ushoga, lol, km anaona haiwezekan bas akae kwa kutulia. Vinginevyo atateseka sana na hatapata ahueni yeyote, tena nimemsifu kwa kuacha kufuatilia ibada ya kanisa lake, na kuamua kujikita ktk imani nyingine. Hapo amepiga hatua kubwa sana kwake.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar.


Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa.

Huku kwetu Tanzania , wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na sababu nyingine.

Nikiwa mu Anglikana, nilisikitika kwa kitendo cha kanisa langu la Uingereza kufungisha ndoa mashoga, huku wakikataa mtu kuwa na wake wengi, eti ni dhambi.

Wanatetea ndoa za mashoga na kuziita eti ni kielelezo cha haki za binadamu.

Nikaona tusikwazane, yusikerane.
Kanisa letu hawajawahi kufungisha ndoa aina hiyo.


Sema ulikuwa unatafuta sababu ya kutokwenda ibadani
 
Back
Top Bottom