Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

Uislam hauna pinda pinda huwezi ukaona ukakuta Sheikh akifungisha au akisapoti ndoa za kishetani Kwa wenzetu hayo yanafanyika na yanafanywa na hao viongoz WA kidini in short hutaki hata Elimu ya form four kujua udhaifu WA DINI hizi zilizoundwa na binaadam mapungufu yake yapo wazi kabisa
 
 
Kama huna din ni bora ukae kimya coz unachoongea unaonesha kabisa ni mpagani ambaye hasira zako unahamishia kwenye ukristo??!!kwanini usiongelee uislam wako au din nyingine nchi nyingine mnapigwa risasi mchana kweupe
Mapovu yadumu
 
Ngoja nikuweke sawa.Ukristu muongozo wake ni Biblia na hakuna hata sehemu moja inayoruhusu au kuchochea ushoga in fact kuna makatazo rasmi kabisa yameainishwa mule

1 Wakorintho 6:9-10
[9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
[10]wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.

Sasa nije upande wenu ndugu zangu mnaomwaga damu za watu usiku na mchana kwa kisingizio cha kumcha Mungu.Dini kuruhusu mauaji ya kujilipua na kuchinjana we unaona ni sawa? Mnanishangaza mnapoona ushoga ni dhambi kubwa kuliko ukatili mnaoufanya kwa jina la dini
 
Watu wawe huru kuchagua starehe wanayotaka. Swala la mke mmoja ni tata. Mtu anajifanya ana mke mmoja ila nyumba ndogo mtaani hazina idadi.
 
Aya aya twende tukatambike alaf mizimu inataka uoe mke wa pili kutoka kijijini walipozaliwa wazazi wako maana mizimu imeona unaenda kupotea baada ya baba mkwe wako kukutambulisha kwenye mizimu yao.
 
Dhaki ya usaliti huwa haikomi. Walihama Angilikana ilipatikana baada ya kujitenga kwa kigezo Cha kuoa. Tena wakaandaa vifungu vya kujilinda Kuwa Yesu wa Nazareth hakuwahi kuzuia kuoa. Sasa mapadiri wao na maasikofu wakaoa lakini inashangaza wameenda mbele zaidi mke na mme wa njisia tofauti haijakata kiu yao wanataka maasikofu mashoga pia ili kufurahisha Mioyo yao. Hii no Roho ya kishetani Wala siyo ya haki za binadamu. Tubuni na kuiamini Injili ili mkarudie msingi wenu.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mzee lengo lako ni kuutukana uislam? Nikwambie tu haitakaa itokee waislam wakakaa vikao kujadili kuwa ushoga uruhusiwe ama usiruhusiwe, lakini kuna kuna vikao kutoka dini nyingine vikijadili haya
 
Kwa kusoma miandiko ya comments za wachangia uzi nimegundua id kadhaa za machoko
 
Nimenogewa, nimenogewa na nimenogewa tenaaaah.

Kitu kukatazwa kisifanywe hakikupi uhalalisho kisifanyike kwa yule atakaye kufanya.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo matamu haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…