Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #121
Wee unadhani Nasali kwa Ambindwile?Tuanzie hapa kwanza...unasema kanisa lako la Uingerezaš§
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee unadhani Nasali kwa Ambindwile?Tuanzie hapa kwanza...unasema kanisa lako la Uingerezaš§
Kumbe Bado unasali...kama ndio Kanisa lako basi vumilia tu huo ubandidu!Wee unadhani Nasali kwa Ambindwile?
Uislam hauna pinda pinda huwezi ukaona ukakuta Sheikh akifungisha au akisapoti ndoa za kishetani Kwa wenzetu hayo yanafanyika na yanafanywa na hao viongoz WA kidini in short hutaki hata Elimu ya form four kujua udhaifu WA DINI hizi zilizoundwa na binaadam mapungufu yake yapo wazi kabisaComment ya kulipiza kisaai unajaribu kurusha na wewe dongo kwa waislamu ili wapate maumivu kama ulivyopata wewe, Hakuna Suna ya ushoga kwenye uislamu ni dhambi kubwa na limekewa vikali kwenye Quran na mtume .
Mwenye kufanya ushoga amekaidi makatazo ya Quran na ya mtume ,na mwenye kukaidi ametenda dhambi na mwenye kutenda dhambi makazi yake motoni.
No hard feelings pokea tu ukweli mkuu
Ninamwamini Mungu lakini siendi makanisani mwenu. Nije mniipige na kitu kizito a.k.a sadaka?Kumbe Bado unasali...kama ndio Kanisa lako basi vumilia tu huo ubandidu!
Kama huna din ni bora ukae kimya coz unachoongea unaonesha kabisa ni mpagani ambaye hasira zako unahamishia kwenye ukristo??!!kwanini usiongelee uislam wako au din nyingine nchi nyingine mnapigwa risasi mchana kweupeMental slave katika ubora wako, naona unatema tu povu
Mapovu yadumuKama huna din ni bora ukae kimya coz unachoongea unaonesha kabisa ni mpagani ambaye hasira zako unahamishia kwenye ukristo??!!kwanini usiongelee uislam wako au din nyingine nchi nyingine mnapigwa risasi mchana kweupe
Ngoja nikuweke sawa.Ukristu muongozo wake ni Biblia na hakuna hata sehemu moja inayoruhusu au kuchochea ushoga in fact kuna makatazo rasmi kabisa yameainishwa muleUislam hauna pinda pinda huwezi ukaona ukakuta Sheikh akifungisha au akisapoti ndoa za kishetani Kwa wenzetu hayo yanafanyika na yanafanywa na hao viongoz WA kidini in short hutaki hata Elimu ya form four kujua udhaifu WA DINI hizi zilizoundwa na binaadam mapungufu yake yapo wazi kabisa
Daaah, huu si uchawi kabisa huu?!Kwamba hili si kanisa?!?!
View attachment 2083561
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Inasikitisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Dhaki ya usaliti huwa haikomi. Walihama Angilikana ilipatikana baada ya kujitenga kwa kigezo Cha kuoa. Tena wakaandaa vifungu vya kujilinda Kuwa Yesu wa Nazareth hakuwahi kuzuia kuoa. Sasa mapadiri wao na maasikofu wakaoa lakini inashangaza wameenda mbele zaidi mke na mme wa njisia tofauti haijakata kiu yao wanataka maasikofu mashoga pia ili kufurahisha Mioyo yao. Hii no Roho ya kishetani Wala siyo ya haki za binadamu. Tubuni na kuiamini Injili ili mkarudie msingi wenu.Wazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar.
Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa.
Huku kwetu Tanzania, wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na sababu nyingine.
Nikiwa mu Anglikana, nilisikitika kwa kitendo cha kanisa langu la Uingereza kufungisha ndoa mashoga, huku wakikataa mtu kuwa na wake wengi, eti ni dhambi.
Wanatetea ndoa za mashoga na kuziita eti ni kielelezo cha haki za binadamu.
Nikaona tusikwazane, tusikerane.
Yaani hadi hivi vizee vinaenda fukuana mitaro?
Mzee lengo lako ni kuutukana uislam? Nikwambie tu haitakaa itokee waislam wakakaa vikao kujadili kuwa ushoga uruhusiwe ama usiruhusiwe, lakini kuna kuna vikao kutoka dini nyingine vikijadili hayaAsante kwa taarifa,hapa tunaelimishana tu na hakuna nia mbaya.
Ila napata shida kdg.Kanda ya Pwani ndio inaongoza kuwa na waislam wengi na ndio pia inaongoza kwa matendo ya ushoga(ata shehe mkuu wa Dsm ana kashfa hizi nyongi tu),ufugaji majini/ usomaji wa nyota(marehemu shehe Yahya...na hakuwahi kukemewa na waislam)...
Swali...kwa nini mnaambatana sana na matendo ya giza/ushetani?
Uenda ndio chanzo kikuu cha kufeli kwa vijana wa kiislam
Umesahau maasikofu wa Angilikana walipopigania mashoga waruhusiwe Kuwa maasikofu???. Ni Vita Kali ndani ya kanisa.Ndoa za jinsia moja hazijawahi kufungwa kanisani , huwa zinafungwa serikalini na zinaitwa civil partnership
Nimenogewa, nimenogewa na nimenogewa tenaaaah.duh!! basi wee ushanogewa mazima, haya mambo ukishaonja au kuonjeshwa unanogewa mazima,
na vitu vinavyopingwa au kukatazwa kama cocaine, mirungi, sigara, nyeto, pombe, kula/kuliwa jicho na unga, huwa vina uraibu sana/addiction, na uraibu wake ni wa kiwango cha SGR, kuacha sio leo wala kesho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee unadhani Nasali kwa Ambindwile?