Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

Watu wawe huru kuchagua starehe wanayotaka. Swala la mke mmoja ni tata. Mtu anajifanya ana mke mmoja ila nyumba ndogo mtaani hazina idadi.
Ndyoo sema wee, watu wamejaa unafiki tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndoa imetaradadi na kunoga, wanandoa wana upendo wa kweli.na wana hisia za kweli, yaan wanafurahia muungano wao, wako romantic awwwww [emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]

Natamani km mie ndo ningekua msimamizi wao,[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
hapo yupi anapelekewa moto?. Afu unatafuta bann wewe.
 
Ulaya uislamu unakuwa kwa kasi mno kuliko dini nyingine yoyote
Kwanini usikue kwa kasi,pasipo na kanisa shetani lazima atamalaki ningeshangaa sana kama ulaya wangeshika sana dini(ukristo)na uislam ukaenea.
 
Tafuta kumjua Mungu wewe binafsi!
Mahusiano yako wewe na Mungu kwanza ni ya mhimu kuliko kanisa,dini!
Achana na dini, mtafute Mungu.

Siku ya mwisho hutaulizwa habari za dini,kanisa,dhehebu!
 
Wewe ni Wakala wa Shetani na kakukamata huna lolote? Kuna kanisa Gani Tanzania limefungisha Ndoa ya Jinsia Moja?
 
Kwahiyo huko kwenye upagani ulikokimbilia hakuna ushoga? Nenda kanisani ndugu kamuabudu Mungu wako! Usiache mashoga wakupangie maisha! Kuwa na msimamo, ishi maisha yako, muabudu Mungu wako! Ningekuheshimu sana kama ungeipigania Imani yako kwa kupinga ushoga ndani ya kanisa lako! Kwa kifupi, UMEKIMBIA LINDO!!
 
Kwani Mungu anakaa kanisani? Sijasema nimeacha kumuamini Mungu
 
Kwani Mungu anakaa kanisani? Sijasema nimeacha kumuamini Mungu
Nadhani kwanza tunapaswa kuelewa kanisa ni nini? Binafsi nafikiri kanisa si jengo! Kanisa ni mimi na wewe! Kwahiyo nafikiri ulichanganya tokea awali! Hata tukikutana chini ya mti kwa ajili ya kumuabudu Mungu wa kweli, sisi ni kanisa! Ukisema umeacha kwenda kanisani nadhani umekosea!
 
Lile jengo ni nini?
 
Kama Tanzania ndoa za jinsia moja zisha wahi kufungwa hadharani basi leteni ushuhuda kuanzia leo niache kusali na mimi, ila kama utaacha kwa mambo yaliyo fanyika huko Ulaya basi unafeli kwa sehemu kubwa, maana wale na wewe ni vitu viwili tofauti
 
Lile jengo ni nini?
Ni jengo la ibada! Kanisa ni mwili wa Kristo ambao sisi ni sehemu ya huo mwili! Kanisa ni mkusanyiko! Ndiyo maana Yesu aliwaambia mafarisayo
Yohane 2:19-21 BHND - Bible.com
“Vunjeni hekalu hili, nami nitalijenga kwa siku tatu.” Hapo Wayahudi wakasema, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arubaini na sita.
hawakumuelewa! Definition yao ya kanisa ilikuwa jengo kumbe walikosea sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…