Niliagiza wine ya kupima lita tano toka Dodoma, Iliyoletwa nahisi ni gongo au konyagi iliyozimuliwa maana bongo feki kila kona

Utakoma.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unaimwagaje kwa mfano....
 

Hata mimi nilifikiri kuna kitu wanachanganya,
Ni kali sana...
 
Iliyosalia mpatie mpendwa
mzabzab πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Ungeagiza ile ya masista ndo og.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ™ƒπŸ™‚
 
Uliiagiza wapi mkuu? Naona kama hiyo inanifaa sana mimi,inautamu halafu inafupisha safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…