Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakoma.Bongo kila kitu ni kuchakachua tu!
Iwe maji ya kunywa feki kibao, iwe sigara feki, iwe makalio ya wanawake nayo feki mtupu, bikira nazo feki, unga feki, hata kwenye kadanda nako siku hizi michongo mtupu n.k
Sasa sijui tukimbilie wapi, nimeagiza wine nikaambiwa ni alter wine!
Aisee nimejaribu kuitia mdomoni radha yake ni tofauti sana na nilivyozoea!
kwanza inachoma balaa kuanzia kooni hadi kwenye utumbo!
Yaani ukiibunda mdomoni inaunguza utumbo inavyotembea hadi tumboni!
Nahisi hii wine nimepigwa wallah sidhani kama ni ALTER WINE kweli!
Nimempa wife aonje kagida nusu grass tu hoi kalewachakali!
Bongo nimewavulia kofia kwa feki alooh!
Nilijua feki ni maji tu kumbe hadi kwenye pombe!
Nyau sana wote wanaotufanyia hivi!
Na sitaimwaga!
Yale makubwa kabisa wanauza mia mbiliMaji afya na uhai yanaongoza kwa feki kuna chimbo lita point 6 yanauzwa miatatu[emoji16]
😀😀😀😀 unaimwagaje kwa mfano....Bongo kila kitu ni kuchakachua tu!
Iwe maji ya kunywa feki kibao, iwe sigara feki, iwe makalio ya wanawake nayo feki mtupu, bikira nazo feki, unga feki, hata kwenye kadanda nako siku hizi michongo mtupu n.k
Sasa sijui tukimbilie wapi, nimeagiza wine nikaambiwa ni alter wine!
Aisee nimejaribu kuitia mdomoni radha yake ni tofauti sana na nilivyozoea!
kwanza inachoma balaa kuanzia kooni hadi kwenye utumbo!
Yaani ukiibunda mdomoni inaunguza utumbo inavyotembea hadi tumboni!
Nahisi hii wine nimepigwa wallah sidhani kama ni ALTER WINE kweli!
Nimempa wife aonje kagida nusu grass tu hoi kalewachakali!
Bongo nimewavulia kofia kwa feki alooh!
Nilijua feki ni maji tu kumbe hadi kwenye pombe!
Nyau sana wote wanaotufanyia hivi!
Na sitaimwaga
Unawaza?Hii username yako 🤣🤣🤣
Bongo kila kitu ni kuchakachua tu!
Iwe maji ya kunywa feki kibao, iwe sigara feki, iwe makalio ya wanawake nayo feki mtupu, bikira nazo feki, unga feki, hata kwenye kadanda nako siku hizi michongo mtupu n.k
Sasa sijui tukimbilie wapi, nimeagiza wine nikaambiwa ni alter wine!
Aisee nimejaribu kuitia mdomoni radha yake ni tofauti sana na nilivyozoea!
kwanza inachoma balaa kuanzia kooni hadi kwenye utumbo!
Yaani ukiibunda mdomoni inaunguza utumbo inavyotembea hadi tumboni!
Nahisi hii wine nimepigwa wallah sidhani kama ni ALTER WINE kweli!
Nimempa wife aonje kagida nusu grass tu hoi kalewachakali!
Bongo nimewavulia kofia kwa feki alooh!
Nilijua feki ni maji tu kumbe hadi kwenye pombe!
Nyau sana wote wanaotufanyia hivi!
Na sitaimwaga!
Iliyosalia mpatie mpendwaBongo kila kitu ni kuchakachua tu!

Bibie umeadimikaaHata mimi nilifikiri kuna kitu wanachanganya,
Ni kali sana...
Ungeagiza ile ya masista ndo og.Bongo kila kitu ni kuchakachua tu!
Iwe maji ya kunywa feki kibao, iwe sigara feki, iwe makalio ya wanawake nayo feki mtupu, bikira nazo feki, unga feki, hata kwenye kadanda nako siku hizi michongo mtupu n.k
Sasa sijui tukimbilie wapi, nimeagiza wine nikaambiwa ni alter wine!
Aisee nimejaribu kuitia mdomoni radha yake ni tofauti sana na nilivyozoea!
kwanza inachoma balaa kuanzia kooni hadi kwenye utumbo!
Yaani ukiibunda mdomoni inaunguza utumbo inavyotembea hadi tumboni!
Nahisi hii wine nimepigwa wallah sidhani kama ni ALTER WINE kweli!
Nimempa wife aonje kagida nusu grass tu hoi kalewachakali!
Bongo nimewavulia kofia kwa feki alooh!
Nilijua feki ni maji tu kumbe hadi kwenye pombe!
Nyau sana wote wanaotufanyia hivi!
Na sitaimwaga!
HapanaaNipo
Salama lakini?
Jamaa yangu,hivi hiyo "blooh" umemaanisha nini?Au unamuigiza Masanja?Blooh watu tu wamekosa utu,
Pombe tuJamaa yangu,hivi hiyo "blooh" umemaanisha nini?Au unamuigiza Masanja?
Yameisha.Pombe tu
Uliiagiza wapi mkuu? Naona kama hiyo inanifaa sana mimi,inautamu halafu inafupisha safariBongo kila kitu ni kuchakachua tu!