Niliagiza wine ya kupima lita tano toka Dodoma, Iliyoletwa nahisi ni gongo au konyagi iliyozimuliwa maana bongo feki kila kona

Hyo itakua ilikaa tu hata ile ya kuagiza kwa masista ukishafungua huku Daslam kwny joto ikakaa siku mbili tatu hilo vaibu lake balaa...
Tamu ila unalewa chakaliii

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Tatizo lenu mnaagiza vitu kutaka kuoja, Hiyo aliyoagiza siyo wine ([emoji485]) mbali hiyo ni whisky inaitwa malted whisky[emoji1634] ache ushamba hajapigwa
 
Muombe maelezo atakupa huyohuyo mleta ujumbe hiyo alonunua
 
We nae ulitaka kuibiwa,hiyo uliyouziwa wewe Ni zile za wakulima wa hombolo hazijaenda kiwandani bado kwa mantiki hiyo haukunywa dompo.....Ila hizo Ni balaa
 
Sasa na wewe tukuaminije kama kila mtu bongo ni feki? Lakini si umelipwa kwa hili bango au?
 
TOZO ulilipa?
 
We nae ulitaka kuibiwa,hiyo uliyouziwa wewe Ni zile za wakulima wa hombolo hazijaenda kiwandani bado kwa mantiki hiyo haukunywa dompo.....Ila hizo Ni balaa

Zilinilaza kwenye ngazi

Sitaki hata kuiona lile dumu
 
Zilinilaza kwenye ngazi

Sitaki hata kuiona lile dumu
Nimekumbuka mwez ulio isha Nilipiga Robertson plus drostoff plus Jemason whiskey Nikakata moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nakuja shtuka usiku niko bed ikabid nitoke niulize watu nilifikaje bed , manake kumbukumbu ya mwisho nakumbuka nilikua sebulen, sikumbuk nn kilifuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…