๐๐Shukuru Sana ulikuwa nyumbaniNimekumbuka mwez ulio isha Nilipiga Robertson plus drostoff plus Jemason whiskey Nikakata moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuja shtuka usiku niko bed ikabid nitoke niulize watu nilifikaje bed , manake kumbukumbu ya mwisho nakumbuka nilikua sebulen, sikumbuk nn kilifuata
Usalama uliukuta maana watu nao hawaaminikiNimekumbuka mwez ulio isha Nilipiga Robertson plus drostoff plus Jemason whiskey Nikakata moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuja shtuka usiku niko bed ikabid nitoke niulize watu nilifikaje bed , manake kumbukumbu ya mwisho nakumbuka nilikua sebulen, sikumbuk nn kilifuata
Ha ha haaa hatari,mi nikiliona tu Hilo dumu nasikia kizunguzungu
Nimekumbuka mwez ulio isha Nilipiga Robertson plus drostoff plus Jemason whiskey Nikakata moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuja shtuka usiku niko bed ikabid nitoke niulize watu nilifikaje bed , manake kumbukumbu ya mwisho nakumbuka nilikua sebulen, sikumbuk nn kilifuata
HahahUnaenda tu mwenyewe ila ndo kisehemu cha memory kinakua kimezima
๐๐๐๐Tumekomeshwa na wagogoYaani sitaki hata kukutana na Hilo dumu [emoji17]
Kabisa๐๐๐๐Tumekomeshwa na wagogo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaenda tu mwenyewe ila ndo kisehemu cha memory kinakua kimezima
Kamua baba kamua baba! Kamua usitumie hirizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nina dumu hapa la dodoma nimenunua leo, hii kitu kiboko, glass moja tu tayar, nahis alcohol sio 18% kama wanavyosema
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nina dumu hapa la dodoma nimenunua leo, hii kitu kiboko, glass moja tu tayar, nahis alcohol sio 18% kama wanavyosema