Niliagiza wine ya kupima lita tano toka Dodoma, Iliyoletwa nahisi ni gongo au konyagi iliyozimuliwa maana bongo feki kila kona

Nimekumbuka mwez ulio isha Nilipiga Robertson plus drostoff plus Jemason whiskey Nikakata moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nakuja shtuka usiku niko bed ikabid nitoke niulize watu nilifikaje bed , manake kumbukumbu ya mwisho nakumbuka nilikua sebulen, sikumbuk nn kilifuata
😂😂Shukuru Sana ulikuwa nyumbani
 
Nimekumbuka mwez ulio isha Nilipiga Robertson plus drostoff plus Jemason whiskey Nikakata moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nakuja shtuka usiku niko bed ikabid nitoke niulize watu nilifikaje bed , manake kumbukumbu ya mwisho nakumbuka nilikua sebulen, sikumbuk nn kilifuata
Usalama uliukuta maana watu nao hawaaminiki
 
Nimekumbuka mwez ulio isha Nilipiga Robertson plus drostoff plus Jemason whiskey Nikakata moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nakuja shtuka usiku niko bed ikabid nitoke niulize watu nilifikaje bed , manake kumbukumbu ya mwisho nakumbuka nilikua sebulen, sikumbuk nn kilifuata

Unaenda tu mwenyewe ila ndo kisehemu cha memory kinakua kimezima
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nina dumu hapa la dodoma nimenunua leo, hii kitu kiboko, glass moja tu tayar, nahis alcohol sio 18% kama wanavyosema
 
Kamua baba kamua baba! Kamua usitumie hirizi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nina dumu hapa la dodoma nimenunua leo, hii kitu kiboko, glass moja tu tayar, nahis alcohol sio 18% kama wanavyosema

Geuza hiyo namba

81%
 
Back
Top Bottom