Niliahidi kuja na 'Exclusives' Saba (7) Saa 3 hii sasa naweka Mambo yote hadharani...


kweli we mrwanda uko vizuri saa c ungeenda tu kwenu
 
Umelipwa bei gani
 

Point ni no.5 tu zingine hzina manufaa
 


kwa hiyo umeona bakhresa ndo ataofikosha simba level za Al Ahly.. si angeifikisha Azam..
Mzee Bakhera anaweza akawa mshabiki/mwanachama mwandamiz wa Simba ila hana passion na mpira... kiasi cha kuamua kuewekeza labda waje watu wabiashara wamwambie awekw huko ila sio kwa passion..

Mpira wa tanzania haukui sababu. kuna mambo ya kiswahili na ukiritimba kila mahali.. kwenye club kuna watu wana mawazo chanya ila wanarudishwa nyumna na watu wafuatao

1. viongozi wenzao waandamiz wenye mawazo ya kale na kujali matumbo yao

2. watu wa media wanaondekeza mihemuko na njaa

3. mashabiki wenye mihemuko


ili mpira wetu ukue ni lazima haya yaishe.. bahati mbaya hakuna dalili.. maana hadi team za chini zimebeba kasumba hiyo.. ukiuliza utasikia mpira wetu kivyetu vyetu.. basi kama kivyetu mkubali uhalisia kuwa hatutatoboa..

mpira ni kama dini hakuna cha mpira wa kivyetu misingi ya kufanikiwa ni ile ile dunia nzima
 
Kesho jamani itafutwe njia nyingine ya kuzima sakata la albino arusha naona ya morrison na haya mengineyo yanafail
 
Uwezi kujua thamani ya kitu mpaka kikutoke.

Ngoja siku atole ndo utajua hujui kama wwe ni mwanasimba Lialia
 
😀Jasusi hujawai zuiwaaa
 
Hakuna anayeweza iachia Simba na tayari kawekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…