Niliahidi kuja na 'Exclusives' Saba (7) Saa 3 hii sasa naweka Mambo yote hadharani...

1. CEO wa Simba SC anatuzuga tu wana Simba SC ila ukweli ni kwamba ana Mahusiano ya 'Kibaiolojia' na Rais ajaye wa Yanga SC Injinia Hersi Said na mara nyingi ndiyo humvujishia Siri zote za Simba SC ambazo ziligeuka kuwa Sumu kwa Mafanikio ya Simba SC kwa Msimu Mzima.

2. Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji na CEO Barbara Gonzalez muda wowote Watajiuzuru Nyadhifa zao ndani ya Klabu.

3. Press Conference ya Simba SC iliyoahirishwa hivi Majuzi ilikuwa ni ya Mwekezaji Mo Dewji na CEO Barbara Gonzalez kuachia Ngazi Simba SC ila ilitumika Nguvu Kubwa kuzuia hilo ili Kuepuka Mpasuko mkubwa ndani ya Wanachama, Wapenzi na Mashabiki.

4. Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kwa Kushirikiana na Mdogo wake Mwana Yanga SC lialia wametumika 'Kuihujumu' Simba SC katika Mashindano yote ili Kuinufaisha Yanga SC kwa Ahadi Kubwa aliyopewa na Kiongozi Mstaafu Mmoja Tanzania (mwana Yanga SC) na mwenye Ushawishi katika Serikali hii ya Rais Samia kuwa atamuombea ili ateuliwe kuwa Mbunge au apewe Wadhifa mwingine Mkubwa.

5. Baada ya Siri za Mwekezaji Mo Dewji kutaka Kujiuzuru kuwa Mwekezaji ndani ya Klabu ya Simba SC Tajiri wa Azam na Tajiri Mkubwa Tanzania Mzee Bakhressa ambaye hakuna asiyejua Mapenzi yake yasiyo na Kifani kwa Simba SC kuwa tayari kutaka Kuwekeza ndani ya Simba SC tena kwa Fedha mara Tatu ya aliyoweka Mo Dewji.

6. Sababu kubwa ya Ugomvi wa Haji Manara na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ni Kitendo cha CEO Barbara kujua kuwa tayari Siri yake ya Yeye kuwa na huo ukaribu wa 'Kibaiolojia' na Injinia Hersi Said imeshajulikana na Haji Manara na kuwa kilichokuja Kumuuma zaidi Haji Manara ni Kitendo cha CEO Barbara Gonzalez kumchafua kwa akina Mo Dewji ( Mwekezaji ) na wana Simba SC Wote ili Wamchukie Haji Manara ili Kinachoendelea Kisijulikane.

7. Sababu kubwa ya Watu wa Yanga SC kuanzia Haji Manara, Rais ajaye Injinia Hersi Said na Mbunge Tarimba Abbas hadi Wana Yanga SC wote Waandamizi kusema kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa mfululizo kwa Miaka 7 au 8 ijayo ni kutokana na huo Ukaribu wa 'Kibaiolojia' alionao Mkuu wao Rais ajaye Injinia Hersi Said na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ambaye inasemekana akiwa amenogewa na 'Mavituz' ya Msomali Mswahili Injinia huwa tayari kutoa ( kuvujisha ) Kwake Siri zote za Klabu ( hasa hasa ) pale ikiwa inapambana na Simba SC.

Nimeshatimiza Ahadi yangu Leo hii!!!!
Mo hawezi kuondoka Simba mwenyewe,,labda kama kuna uwezekano wa kufukuzwa, lakini siyo kujiondoa mwenyewe.
 
Bakharesa mwana ndugu na Mo huyu huyu au mwingine?
NB Mo hajawekeza peke yake Simba Mo= Bakheresa
 
Kina Mzee Kaduguda na Kundi lake la kamati ya ulozi - Baada ya kuwasha moto uwanjani kule Afrika kusini na timu haikushinda, CEO kaamua kutowapa mpunga tena. Hali hiyo ndio imewafanya muanze kutengeneza Propoganda kama hizi.

Kiukweli Zeruzeru angekuwa anajua mahusiano hayo na Hersi wala asingekaa kimya, maana alishasema huyo CEO ni demu wa Mo.

CEO yupo sahihi sana. Hizi figisu zinatokana na watu kunyimwa mtonyo wa ulozi, hivyo wanatamani awapishe
Absolute Nonsense.
 
1. CEO wa Simba SC anatuzuga tu wana Simba SC ila ukweli ni kwamba ana Mahusiano ya 'Kibaiolojia' na Rais ajaye wa Yanga SC Injinia Hersi Said na mara nyingi ndiyo humvujishia Siri zote za Simba SC ambazo ziligeuka kuwa Sumu kwa Mafanikio ya Simba SC kwa Msimu Mzima.

2. Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji na CEO Barbara Gonzalez muda wowote Watajiuzuru Nyadhifa zao ndani ya Klabu.

3. Press Conference ya Simba SC iliyoahirishwa hivi Majuzi ilikuwa ni ya Mwekezaji Mo Dewji na CEO Barbara Gonzalez kuachia Ngazi Simba SC ila ilitumika Nguvu Kubwa kuzuia hilo ili Kuepuka Mpasuko mkubwa ndani ya Wanachama, Wapenzi na Mashabiki.

4. Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kwa Kushirikiana na Mdogo wake Mwana Yanga SC lialia wametumika 'Kuihujumu' Simba SC katika Mashindano yote ili Kuinufaisha Yanga SC kwa Ahadi Kubwa aliyopewa na Kiongozi Mstaafu Mmoja Tanzania (mwana Yanga SC) na mwenye Ushawishi katika Serikali hii ya Rais Samia kuwa atamuombea ili ateuliwe kuwa Mbunge au apewe Wadhifa mwingine Mkubwa.

5. Baada ya Siri za Mwekezaji Mo Dewji kutaka Kujiuzuru kuwa Mwekezaji ndani ya Klabu ya Simba SC Tajiri wa Azam na Tajiri Mkubwa Tanzania Mzee Bakhressa ambaye hakuna asiyejua Mapenzi yake yasiyo na Kifani kwa Simba SC kuwa tayari kutaka Kuwekeza ndani ya Simba SC tena kwa Fedha mara Tatu ya aliyoweka Mo Dewji.

6. Sababu kubwa ya Ugomvi wa Haji Manara na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ni Kitendo cha CEO Barbara kujua kuwa tayari Siri yake ya Yeye kuwa na huo ukaribu wa 'Kibaiolojia' na Injinia Hersi Said imeshajulikana na Haji Manara na kuwa kilichokuja Kumuuma zaidi Haji Manara ni Kitendo cha CEO Barbara Gonzalez kumchafua kwa akina Mo Dewji ( Mwekezaji ) na wana Simba SC Wote ili Wamchukie Haji Manara ili Kinachoendelea Kisijulikane.

7. Sababu kubwa ya Watu wa Yanga SC kuanzia Haji Manara, Rais ajaye Injinia Hersi Said na Mbunge Tarimba Abbas hadi Wana Yanga SC wote Waandamizi kusema kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa mfululizo kwa Miaka 7 au 8 ijayo ni kutokana na huo Ukaribu wa 'Kibaiolojia' alionao Mkuu wao Rais ajaye Injinia Hersi Said na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ambaye inasemekana akiwa amenogewa na 'Mavituz' ya Msomali Mswahili Injinia huwa tayari kutoa ( kuvujisha ) Kwake Siri zote za Klabu ( hasa hasa ) pale ikiwa inapambana na Simba SC.

Nimeshatimiza Ahadi yangu Leo hii!!!!
Huo ni utunzi mahiri ambao facts zake,zimejengwa kinafiki na kwa nia ya kiua simba maana gentamycine ni shabiki mkubwa yanga
 
Ngoja nikuulize inawezakana vip bakressa awekeze Azam na pia awe ni mmliki wa Simba kwa pamoja?
 
Wewe ulikuwa wa kwanza kutuambia Barbra ana uhusiano na Mo, leo tena umehamia kwa Hersi, sijui kesho utaenda kwa nani, unamgeuza binti wa watu kitenesi cha wanaume.

Tatizo hauna kumbukumbu, ulishatuambia sababu ya ugomvi kati ya Manara na Barbra ilikuwa ni u-snitch wa Manara aliowafanyia Simba SC kwa GSM na Hersi kule Kigamboni, Avic Town, naona leo umekurupuka tena kuja na ngonjera zako za uongo.

Kuhusu ile Press Conference iliyoahirishwa, tatizo lilikuwa ni Barbra hakutaka kuendelea kufanya kazi na Dewji aliyerudishwa Simba SC, huyu Dewji alimsema vibaya Barbra kwenye kituo kimoja cha radio, na yale yalikuwa ni majungu tu, nothing else.

Kama kweli Mo alikuwa anataka kuondoka Simba SC asingewaachia mapesa ya usajili akaenda zake Sudan, Mo yuko poa na Simba, tatizo kidogo lilikuwepo kwa Barbra na Dewji ambalo nalo limeshamalizwa.

Kama umetumwa kuja kuzima ule ujinga aliofanya Manara juzi pale Sheikh Amri Abeid Stadium, mwambie huyo aliekutuma huku hakuna mapopoma wa sampuli yako.
Popoma ni kubwa jinga
 
sluggish!
 
Ngoja nikuulize inawezakana vip bakressa awekeze Azam na pia awe ni mmliki wa Simba kwa pamoja?
Muwe mnatumia Akili aliyewekeza Azam FC ni Mwanae Yusuf ila Baba Mwenyewe Mzee Said Salim Bakhressa ni mwana Simba SC mzuri tu kiasi kwamba hata Pesa za Kuisaidia huwa anatoa ( anachangia )
 
wewe huwa haujtambui ...kuptia viandiko vyako wewe unajiona kama unajtambua
 
Wewe ulikuwa wa kwanza kutuambia Barbra ana uhusiano na Mo, leo tena umehamia kwa Hersi, sijui kesho utaenda kwa nani, unamgeuza binti wa watu kitenesi cha wanaume.

Tatizo hauna kumbukumbu, ulishatuambia sababu ya ugomvi kati ya Manara na Barbra ilikuwa ni u-snitch wa Manara aliowafanyia Simba SC kwa GSM na Hersi kule Kigamboni, Avic Town, naona leo umekurupuka tena kuja na ngonjera zako za uongo.

Kuhusu ile Press Conference iliyoahirishwa, tatizo lilikuwa ni Barbra hakutaka kuendelea kufanya kazi na Dewji aliyerudishwa Simba SC, huyu Dewji alimsema vibaya Barbra kwenye kituo kimoja cha radio, na yale yalikuwa ni majungu tu, nothing else.

Kama kweli Mo alikuwa anataka kuondoka Simba SC asingewaachia mapesa ya usajili akaenda zake Sudan, Mo yuko poa na Simba, tatizo kidogo lilikuwepo kwa Barbra na Dewji ambalo nalo limeshamalizwa.

Kama umetumwa kuja kuzima ule ujinga aliofanya Manara juzi pale Sheikh Amri Abeid Stadium, mwambie huyo aliekutuma huku hakuna mapopoma wa sampuli yako.

Umemaliza mkuu.
 
Muwe mnatumia Akili aliyewekeza Azam FC ni Mwanae Yusuf ila Baba Mwenyewe Mzee Said Salim Bakhressa ni mwana Simba SC mzuri tu kiasi kwamba hata Pesa za Kuisaidia huwa anatoa ( anachangia )
Lini alichangia
 
Back
Top Bottom