Niliahidi kuja na 'Exclusives' Saba (7) Saa 3 hii sasa naweka Mambo yote hadharani...

1. CEO wa Simba SC anatuzuga tu wana Simba SC ila ukweli ni kwamba ana Mahusiano ya 'Kibaiolojia' na Rais ajaye wa Yanga SC Injinia Hersi Said na mara nyingi ndiyo humvujishia Siri zote za Simba SC ambazo ziligeuka kuwa Sumu kwa Mafanikio ya Simba SC kwa Msimu Mzima.

2. Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji na CEO Barbara Gonzalez muda wowote Watajiuzuru Nyadhifa zao ndani ya Klabu.

3. Press Conference ya Simba SC iliyoahirishwa hivi Majuzi ilikuwa ni ya Mwekezaji Mo Dewji na CEO Barbara Gonzalez kuachia Ngazi Simba SC ila ilitumika Nguvu Kubwa kuzuia hilo ili Kuepuka Mpasuko mkubwa ndani ya Wanachama, Wapenzi na Mashabiki.

4. Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kwa Kushirikiana na Mdogo wake Mwana Yanga SC lialia wametumika 'Kuihujumu' Simba SC katika Mashindano yote ili Kuinufaisha Yanga SC kwa Ahadi Kubwa aliyopewa na Kiongozi Mstaafu Mmoja Tanzania (mwana Yanga SC) na mwenye Ushawishi katika Serikali hii ya Rais Samia kuwa atamuombea ili ateuliwe kuwa Mbunge au apewe Wadhifa mwingine Mkubwa.

5. Baada ya Siri za Mwekezaji Mo Dewji kutaka Kujiuzuru kuwa Mwekezaji ndani ya Klabu ya Simba SC Tajiri wa Azam na Tajiri Mkubwa Tanzania Mzee Bakhressa ambaye hakuna asiyejua Mapenzi yake yasiyo na Kifani kwa Simba SC kuwa tayari kutaka Kuwekeza ndani ya Simba SC tena kwa Fedha mara Tatu ya aliyoweka Mo Dewji.

6. Sababu kubwa ya Ugomvi wa Haji Manara na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ni Kitendo cha CEO Barbara kujua kuwa tayari Siri yake ya Yeye kuwa na huo ukaribu wa 'Kibaiolojia' na Injinia Hersi Said imeshajulikana na Haji Manara na kuwa kilichokuja Kumuuma zaidi Haji Manara ni Kitendo cha CEO Barbara Gonzalez kumchafua kwa akina Mo Dewji ( Mwekezaji ) na wana Simba SC Wote ili Wamchukie Haji Manara ili Kinachoendelea Kisijulikane.

7. Sababu kubwa ya Watu wa Yanga SC kuanzia Haji Manara, Rais ajaye Injinia Hersi Said na Mbunge Tarimba Abbas hadi Wana Yanga SC wote Waandamizi kusema kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa mfululizo kwa Miaka 7 au 8 ijayo ni kutokana na huo Ukaribu wa 'Kibaiolojia' alionao Mkuu wao Rais ajaye Injinia Hersi Said na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ambaye inasemekana akiwa amenogewa na 'Mavituz' ya Msomali Mswahili Injinia huwa tayari kutoa ( kuvujisha ) Kwake Siri zote za Klabu ( hasa hasa ) pale ikiwa inapambana na Simba SC.

Nimeshatimiza Ahadi yangu Leo hii!!!!
Wadau amkene mkuje Kwa huku Kuna mambo mazito,na mtufungue macho zaidi bila kuwa sahau Wana Lunyasi lialia🦁🦁🦁🌘
 
Pumba express, huyu Mo ajiuzuru mara ngapi? Nafasi yake si kamuweka Try again?
 
mwanaume mwenye mke dizaini yako,kazi anayo!
 
"Kuwekeza ndani ya Simba SC tena kwa Fedha mara Tatu ya aliyoweka Mo Dewji."

Kwani Mkuu MO dewji aliwekeza kiasi gani?
 
Kwahyo CEO anabanduliwa na Eng Hersi na sio Mo aliemuhonga uCEO!!!!
 
Hana utusi wowote uyu ni jobless tu,ambae amefanikiwa kumiliki simu,huoni mada zake ni za vijiwe vya kahawa ambazo ni za kujifurahisha tu!! ni lini haliwai kuleta mada yeyote ya maana hapa zaidi ya uzushi na uzandiki? Uyu ni Musiba wa JF ni wendawazimu tu na majobles ambao wanaweza kumuamini tu!! Uyu tunamfurahia maana ni kama akina bambo,senga,mpoki wa jamii forums,kazi yake ni kutuburudisha tu na kutufanya tuingie JF kusoma comedy zake.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Sasa ngoja muda ufike utajua hujui🏃🏃
 
Nishukuru kwa hii Taarifa vinginevyo Simba SC yako ingeendelea 'Kuhujumiwa' na Watu mnaowaamini 100% wakati kumbe ndiyo Wanawaharibia.

Hapa nimeshawazibua Akili zenu wana Simba SC wote kuwa amkeni kwani mnahujumiwa na mliowapa Dhamana hivyo fanyeni upesi itisheni Kikao cha Dharula mlikabili hili kabla hata Ligi Kuu ya Msimu ujao haijaanza.

Nastahili tu Tuzo ya Heshima si Kejeli.
Kwa hiyo umeamua kufukua makaburi,kama bwai na iwe mbwai sio,je wanalunyasi 🦁watakuelewaaa🤔
 
1. CEO wa Simba SC anatuzuga tu wana Simba SC ila ukweli ni kwamba ana Mahusiano ya 'Kibaiolojia' na Rais ajaye wa Yanga SC Injinia Hersi Said na mara nyingi ndiyo humvujishia Siri zote za Simba SC ambazo ziligeuka kuwa Sumu kwa Mafanikio ya Simba SC kwa Msimu Mzima.

2. Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji na CEO Barbara Gonzalez muda wowote Watajiuzuru Nyadhifa zao ndani ya Klabu.

3. Press Conference ya Simba SC iliyoahirishwa hivi Majuzi ilikuwa ni ya Mwekezaji Mo Dewji na CEO Barbara Gonzalez kuachia Ngazi Simba SC ila ilitumika Nguvu Kubwa kuzuia hilo ili Kuepuka Mpasuko mkubwa ndani ya Wanachama, Wapenzi na Mashabiki.

4. Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kwa Kushirikiana na Mdogo wake Mwana Yanga SC lialia wametumika 'Kuihujumu' Simba SC katika Mashindano yote ili Kuinufaisha Yanga SC kwa Ahadi Kubwa aliyopewa na Kiongozi Mstaafu Mmoja Tanzania (mwana Yanga SC) na mwenye Ushawishi katika Serikali hii ya Rais Samia kuwa atamuombea ili ateuliwe kuwa Mbunge au apewe Wadhifa mwingine Mkubwa.

5. Baada ya Siri za Mwekezaji Mo Dewji kutaka Kujiuzuru kuwa Mwekezaji ndani ya Klabu ya Simba SC Tajiri wa Azam na Tajiri Mkubwa Tanzania Mzee Bakhressa ambaye hakuna asiyejua Mapenzi yake yasiyo na Kifani kwa Simba SC kuwa tayari kutaka Kuwekeza ndani ya Simba SC tena kwa Fedha mara Tatu ya aliyoweka Mo Dewji.

6. Sababu kubwa ya Ugomvi wa Haji Manara na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ni Kitendo cha CEO Barbara kujua kuwa tayari Siri yake ya Yeye kuwa na huo ukaribu wa 'Kibaiolojia' na Injinia Hersi Said imeshajulikana na Haji Manara na kuwa kilichokuja Kumuuma zaidi Haji Manara ni Kitendo cha CEO Barbara Gonzalez kumchafua kwa akina Mo Dewji ( Mwekezaji ) na wana Simba SC Wote ili Wamchukie Haji Manara ili Kinachoendelea Kisijulikane.

7. Sababu kubwa ya Watu wa Yanga SC kuanzia Haji Manara, Rais ajaye Injinia Hersi Said na Mbunge Tarimba Abbas hadi Wana Yanga SC wote Waandamizi kusema kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa mfululizo kwa Miaka 7 au 8 ijayo ni kutokana na huo Ukaribu wa 'Kibaiolojia' alionao Mkuu wao Rais ajaye Injinia Hersi Said na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ambaye inasemekana akiwa amenogewa na 'Mavituz' ya Msomali Mswahili Injinia huwa tayari kutoa ( kuvujisha ) Kwake Siri zote za Klabu ( hasa hasa ) pale ikiwa inapambana na Simba SC.

Nimeshatimiza Ahadi yangu Leo hii!!!!
Maneno mbofu mbofu ni maneno ambayo huwezi kuthibitisha popote
 
Kwahyo CEO anabanduliwa na Eng Hersi na sio Mo aliemuhonga uCEO!!!!
Mo hakujua na kaja kujua baadae na kuamua tu nae Kushea 'Kibaiolojio' na Mtoto wa Fire Kariakoo Injinia Hersi Said.
 
Back
Top Bottom