CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Mm nimejisemea tu kuwa UGONJWA WA AKILI KWELI UPO....Aliyekuzaa ameshaupona?
Matibabu ni bure, wahi katibiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nimejisemea tu kuwa UGONJWA WA AKILI KWELI UPO....Aliyekuzaa ameshaupona?
Nimezitoa kwa 'Basha' wako.Hata Mimi nadahamu hivo,
Huyu bwana hizi ngonjera sijui katoa wapi.
AliyekuzaaMm nimejisemea tu kuwa UGONJWA WA AKILI KWELI UPO....
Matibabu ni bure, wahi katibiwe.
Huwa sisumbuliwi na wala sikatishwi Tamaa na Wendawazimu na Wapumbavu kama Wewe sawa?Huyu GENTAMYCINE ni mpuuzi tu! Kwa hiyo huo uhusiano walionao Hersi na Barbra ni Hersi kusaidiwa tu? Kwa nini na yeye asimsadie huyo ndugu yake, na yeye Simba yake isishinde?
Unasema sababu kubwa ya wana Yanga kusema kuwa watachukua kombe kwa miaka 7-8 ni uhusiano wa Barbara na Hersi, kwa maana ya kwamba atakuwa anamvujishia siri za Simba Sc.Sababu kubwa ya Watu wa Yanga SC kuanzia Haji Manara, Rais ajaye Injinia Hersi Said na Mbunge Tarimba Abbas hadi Wana Yanga SC wote Waandamizi kusema kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa mfululizo kwa Miaka 7 au 8 ijayo ni kutokana na huo Ukaribu wa 'Kibaiolojia' alionao Mkuu wao Rais ajaye Injinia Hersi Said na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ambaye inasemekana akiwa amenogewa na 'Mavituz' ya Msomali Mswahili Injinia huwa tayari kutoa ( kuvujisha ) Kwake Siri zote za Klabu ( hasa hasa ) pale ikiwa inapambana n
Acha Kuteseka na Kusumbuka nami MImi ndiyo GENTAMYCINE na kwa Kujiamini kabisa tena 100% zote nilichokiandika hapa ni sahihi na ukweli mtupu tu.Unasema sababu kubwa ya wana Yanga kusema kuwa watachukua kombe kwa miaka 7-8 ni uhusiano wa Barbara na Hersi, kwa maana ya kwamba atakuwa anamvujishia siri za Simba Sc.
Lakini wewe huyohuyo umedai kuwa muda wowote CEO wa Simba Sc na Muddy watajiudhuru, sasa hizo Siri za Simba Sc Barbra atazitoa wapi??
Kwa haya maandiko yako yenye kutaka attention kijinga utakuwa unawashika wenye akili ndogo kama wewe.
Ww ndio mama yangu, na ndio nakushauri wahi hospitali.Aliyekuzaa
ameshaupona?
Wewe gendaeka huna lolote,umekaa kijiweni umekunywa kahawa yako,ukawaza na kuwazua uje na mpya gani[emoji23][emoji23][emoji23] ndio unabumba huu ujinga!! Tunashukulu kwa vichekesho vyako japo havichekeshi ila tunatambua uwezo wako wa comedy!!pambana muda so mrefu utampita hata kingwendu ngwendulile!!popoma limenyanyua panga uku bukta imechanika matakoni.Mbona hata tu huu Uandishi wako hapa unaonyesha Wewe ni Mwendawazimu ( Chizi ) Mwenzangu?
Naona leo umeamua uje na hii ID na ile nyingine Uipumzishe kwani huwa nakupiga Madongo ya Ukweli kabisa kuhusu 'Kukaziwa' Mkeo na Dereva Bodaboda.
Cc: Matola
Nimeshalipua Bomu hilo ( hili ) Mkuu na sasa hivi nimetoka Kudokezwa kuwa karibia 90% ya Viongozi wa Simba SC akiwemo Mo Dewji Mwenyewe na CEO Barbara Gonzalez wameshausoma huu Uzi huku Wajumbe wengine sasa wakijuta Kumuamini huyu Barbara Gonzalez kwa Nafasi yake hiyo ya CEO.Mji wa moto huu 🔥
Unasema sina Ajira ( Kazi ) na ndiyo maana muda wowote nipo JamiiForums tu, sasa inakuwaje Wewe mwenye nayo unaacha kufanya Kazi na Unahangailka tu hivi nami?Wewe gendaeka huna lolote,umekaa kijiweni umekunywa kahawa yako,ukawaza na kuwazua uje na mpya gani[emoji23][emoji23][emoji23] ndio unabumba huu ujinga!! Tunashukulu kwa vichekesho vyako japo havichekeshi ila tunatambua uwezo wako wa comedy!!pambana muda so mrefu utampita hata kingwendu ngwendulile!!popoma limenyanyua panga uku bukta imechanika matakoni.
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Kuongoza waswahili lazima ujifunze na kuroga...hawatambui usomi😂😂😂😂😂😂😂😂Nawaza tu kwa shule aliyonayo na sehemu alizosoma Gonzalez kwanini anafanya kazi zenye kelele kelele hivi.... Jiajiri achana na hizi kazi zenye kelele nyingi...utaona raha ya kujiajiri...na exposure uliyonayo naamini utafanya vizuri.
Ni maoni binafsi Wakuu.
Sina Uzao wa Taahira kama Wewe.Ww ndio mama yangu, na ndio nakushauri wahi hospitali.
Mkuu sio kila mtu anaweza kujiajiri, halafu pia ujue wasomi wengi ni waogakujiajiri hatariNawaza tu kwa shule aliyonayo na sehemu alizosoma Gonzalez kwanini anafanya kazi zenye kelele kelele hivi.... Jiajiri achana na hizi kazi zenye kelele nyingi...utaona raha ya kujiajiri...na exposure uliyonayo naamini utafanya vizuri.
Ni maoni binafsi Wakuu.
MO Hana hela na kama anazo basi ni mswahili kama wa Swahili wengineTuleteeeeeni Bakhressa tuleteeeee Bakhressa....!!
Ila kiukweli Mimi sijawahi mkubali Mo sio kwamba hajaisaidia Simba Ila sio MTU sahihi wa kuifikisha Simba level za Al Ahly na wengine.... Mpira unahitaji uwekezaji endelevu na kujitoa sio wa kulambwa miguu.
Kunguni wamesagwa kisawasawa hapa na sasa wamegeuka unga wa ugali...1. CEO wa Simba SC anatuzuga tu wana Simba SC ila ukweli ni kwamba ana Mahusiano ya 'Kibaiolojia' na Rais ajaye wa Yanga SC Injinia Hersi Said na mara nyingi ndiyo humvujishia Siri zote za Simba SC ambazo ziligeuka kuwa Sumu kwa Mafanikio ya Simba SC kwa Msimu Mzima.
2. Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji na CEO Barbara Gonzalez muda wowote Watajiuzuru Nyadhifa zao ndani ya Klabu.
3. Press Conference ya Simba SC iliyoahirishwa hivi Majuzi ilikuwa ni ya Mwekezaji Mo Dewji na CEO Barbara Gonzalez kuachia Ngazi Simba SC ila ilitumika Nguvu Kubwa kuzuia hilo ili Kuepuka Mpasuko mkubwa ndani ya Wanachama, Wapenzi na Mashabiki.
4. Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kwa Kushirikiana na Mdogo wake Mwana Yanga SC lialia wametumika 'Kuihujumu' Simba SC katika Mashindano yote ili Kuinufaisha Yanga SC kwa Ahadi Kubwa aliyopewa na Kiongozi Mstaafu Mmoja Tanzania (mwana Yanga SC) na mwenye Ushawishi katika Serikali hii ya Rais Samia kuwa atamuombea ili ateuliwe kuwa Mbunge au apewe Wadhifa mwingine Mkubwa.
5. Baada ya Siri za Mwekezaji Mo Dewji kutaka Kujiuzuru kuwa Mwekezaji ndani ya Klabu ya Simba SC Tajiri wa Azam na Tajiri Mkubwa Tanzania Mzee Bakhressa ambaye hakuna asiyejua Mapenzi yake yasiyo na Kifani kwa Simba SC kuwa tayari kutaka Kuwekeza ndani ya Simba SC tena kwa Fedha mara Tatu ya aliyoweka Mo Dewji.
6. Sababu kubwa ya Ugomvi wa Haji Manara na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ni Kitendo cha CEO Barbara kujua kuwa tayari Siri yake ya Yeye kuwa na huo ukaribu wa 'Kibaiolojia' na Injinia Hersi Said imeshajulikana na Haji Manara na kuwa kilichokuja Kumuuma zaidi Haji Manara ni Kitendo cha CEO Barbara Gonzalez kumchafua kwa akina Mo Dewji ( Mwekezaji ) na wana Simba SC Wote ili Wamchukie Haji Manara ili Kinachoendelea Kisijulikane.
7. Sababu kubwa ya Watu wa Yanga SC kuanzia Haji Manara, Rais ajaye Injinia Hersi Said na Mbunge Tarimba Abbas hadi Wana Yanga SC wote Waandamizi kusema kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa mfululizo kwa Miaka 7 au 8 ijayo ni kutokana na huo Ukaribu wa 'Kibaiolojia' alionao Mkuu wao Rais ajaye Injinia Hersi Said na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ambaye inasemekana akiwa amenogewa na 'Mavituz' ya Msomali Mswahili Injinia huwa tayari kutoa ( kuvujisha ) Kwake Siri zote za Klabu ( hasa hasa ) pale ikiwa inapambana na Simba SC.
Nimeshatimiza Ahadi yangu Leo hii!!!!
Your article is too personal to be believed by any sober person.1. CEO wa Simba SC anatuzuga tu wana Simba SC ila ukweli ni kwamba ana Mahusiano ya 'Kibaiolojia' na Rais ajaye wa Yanga SC Injinia Hersi Said na mara nyingi ndiyo humvujishia Siri zote za Simba SC ambazo ziligeuka kuwa Sumu kwa Mafanikio ya Simba SC kwa Msimu Mzima.