GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #81
Akimaliza Kukukaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akimaliza Kukukaza.
Sasa uzi ndio unaanza!!Wewe ulikuwa wa kwanza kutuambia Barbra ana uhusiano na Mo, leo tena umehamia kwa Hersi, sijui kesho utaenda kwa nani, unamgeuza binti wa watu kitenesi cha wanaume.
Tatizo hauna kumbukumbu, ulishatuambia sababu ya ugomvi kati ya Manara na Barbra ilikuwa ni u-snitch wa Manara aliowafanyia Simba SC kwa GSM na Hersi kule Kigamboni, Avic Town, naona leo umekurupuka tena kuja na ngonjera zako za uongo.
Kuhusu ile Press Conference iliyoahirishwa, tatizo lilikuwa ni Barbra hakutaka kuendelea kufanya kazi na Dewji aliyerudishwa Simba SC, huyu Dewji alimsema vibaya Barbra kwenye kituo kimoja cha radio, na yale yalikuwa majungu tu, nothing else.
Kama kweli Mo alikuwa anataka kuondoka Simba SC asingewaachia mapesa ya usajili akaenda zake Sudan, Dewji yuko poa na Simba, tatizo kidogo lilikuwepo kwa Barbra na Dewji ambalo nalo limeshamalizwa.
Kama umetumwa kuja kuzima ule ujinga aliofanya Manara juzi pale Sheikh Amri Abeid Stadium mwambie aliekutuma huku hakuna mapopoma wa sampuli yako.
Kikao cha dharura haraka sana1. CEO wa Simba SC anatuzuga tu wana Simba SC ila ukweli ni kwamba ana Mahusiano ya 'Kibaiolojia' na Rais ajaye wa Yanga SC Injinia Hersi Said na mara nyingi ndiyo humvujishia Siri zote za Simba SC ambazo ziligeuka kuwa Sumu kwa Mafanikio ya Simba SC kwa Msimu Mzima.
2. Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji na CEO Barbara Gonzalez muda wowote Watajiuzuru Nyadhifa zao ndani ya Klabu.
3. Press Conference ya Simba SC iliyoahirishwa hivi Majuzi ilikuwa ni ya Mwekezaji Mo Dewji na CEO Barbara Gonzalez kuachia Ngazi Simba SC ila ilitumika Nguvu Kubwa kuzuia hilo ili Kuepuka Mpasuko mkubwa ndani ya Wanachama, Wapenzi na Mashabiki.
4. Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kwa Kushirikiana na Mdogo wake Mwana Yanga SC lialia wametumika 'Kuihujumu' Simba SC katika Mashindano yote ili Kuinufaisha Yanga SC kwa Ahadi Kubwa aliyopewa na Kiongozi Mstaafu Mmoja Tanzania (mwana Yanga SC) na mwenye Ushawishi katika Serikali hii ya Rais Samia kuwa atamuombea ili ateuliwe kuwa Mbunge au apewe Wadhifa mwingine Mkubwa.
5. Baada ya Siri za Mwekezaji Mo Dewji kutaka Kujiuzuru kuwa Mwekezaji ndani ya Klabu ya Simba SC Tajiri wa Azam na Tajiri Mkubwa Tanzania Mzee Bakhressa ambaye hakuna asiyejua Mapenzi yake yasiyo na Kifani kwa Simba SC kuwa tayari kutaka Kuwekeza ndani ya Simba SC tena kwa Fedha mara Tatu ya aliyoweka Mo Dewji.
6. Sababu kubwa ya Ugomvi wa Haji Manara na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ni Kitendo cha CEO Barbara kujua kuwa tayari Siri yake ya Yeye kuwa na huo ukaribu wa 'Kibaiolojia' na Injinia Hersi Said imeshajulikana na Haji Manara na kuwa kilichokuja Kumuuma zaidi Haji Manara ni Kitendo cha CEO Barbara Gonzalez kumchafua kwa akina Mo Dewji ( Mwekezaji ) na wana Simba SC Wote ili Wamchukie Haji Manara ili Kinachoendelea Kisijulikane.
7. Sababu kubwa ya Watu wa Yanga SC kuanzia Haji Manara, Rais ajaye Injinia Hersi Said na Mbunge Tarimba Abbas hadi Wana Yanga SC wote Waandamizi kusema kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa mfululizo kwa Miaka 7 au 8 ijayo ni kutokana na huo Ukaribu wa 'Kibaiolojia' alionao Mkuu wao Rais ajaye Injinia Hersi Said na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ambaye inasemekana akiwa amenogewa na 'Mavituz' ya Msomali Mswahili Injinia huwa tayari kutoa ( kuvujisha ) Kwake Siri zote za Klabu ( hasa hasa ) pale ikiwa inapambana na Simba SC.
Nimeshatimiza Ahadi yangu Leo hii!!!!
Another Fool.Huwezi kula ugali tangu utotoni Hadi leo ukawa na akili nimeamini
Kwamba siri Gani zimevujishwa za maana Hadi nyau kupotea hewani
Tena wafanye haraka sana Mkuu Ok?Kikao cha dharura haraka sana
Yaliyofanya Ukazaliwa na Leo unaishi.Mahusiano ya kibaiolojia ndo yapoje?
Wametajwa hapo bila shaka ni kati ya me&ke🤔Mahusiano ya kibaiolojia ndo yapoje?
Alaa kumbeYaliyofanya Ukazaliwa na Leo unaishi.
Unamwonea atakuwa na akili za kawaida.Another Fool.
Mnamlaumu bure Hersi ila dirisha hili upande wa usajili Yusuph Bakheresa anawafanyia umafia kila mkipoint kachukua Azam.1. CEO wa Simba SC anatuzuga tu wana Simba SC ila ukweli ni kwamba ana Mahusiano ya 'Kibaiolojia' na Rais ajaye wa Yanga SC Injinia Hersi Said na mara nyingi ndiyo humvujishia Siri zote za Simba SC ambazo ziligeuka kuwa Sumu kwa Mafanikio ya Simba SC kwa Msimu Mzima.
2. Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji na CEO Barbara Gonzalez muda wowote Watajiuzuru Nyadhifa zao ndani ya Klabu.
3. Press Conference ya Simba SC iliyoahirishwa hivi Majuzi ilikuwa ni ya Mwekezaji Mo Dewji na CEO Barbara Gonzalez kuachia Ngazi Simba SC ila ilitumika Nguvu Kubwa kuzuia hilo ili Kuepuka Mpasuko mkubwa ndani ya Wanachama, Wapenzi na Mashabiki.
4. Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kwa Kushirikiana na Mdogo wake Mwana Yanga SC lialia wametumika 'Kuihujumu' Simba SC katika Mashindano yote ili Kuinufaisha Yanga SC kwa Ahadi Kubwa aliyopewa na Kiongozi Mstaafu Mmoja Tanzania (mwana Yanga SC) na mwenye Ushawishi katika Serikali hii ya Rais Samia kuwa atamuombea ili ateuliwe kuwa Mbunge au apewe Wadhifa mwingine Mkubwa.
5. Baada ya Siri za Mwekezaji Mo Dewji kutaka Kujiuzuru kuwa Mwekezaji ndani ya Klabu ya Simba SC Tajiri wa Azam na Tajiri Mkubwa Tanzania Mzee Bakhressa ambaye hakuna asiyejua Mapenzi yake yasiyo na Kifani kwa Simba SC kuwa tayari kutaka Kuwekeza ndani ya Simba SC tena kwa Fedha mara Tatu ya aliyoweka Mo Dewji.
6. Sababu kubwa ya Ugomvi wa Haji Manara na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ni Kitendo cha CEO Barbara kujua kuwa tayari Siri yake ya Yeye kuwa na huo ukaribu wa 'Kibaiolojia' na Injinia Hersi Said imeshajulikana na Haji Manara na kuwa kilichokuja Kumuuma zaidi Haji Manara ni Kitendo cha CEO Barbara Gonzalez kumchafua kwa akina Mo Dewji ( Mwekezaji ) na wana Simba SC Wote ili Wamchukie Haji Manara ili Kinachoendelea Kisijulikane.
7. Sababu kubwa ya Watu wa Yanga SC kuanzia Haji Manara, Rais ajaye Injinia Hersi Said na Mbunge Tarimba Abbas hadi Wana Yanga SC wote Waandamizi kusema kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa mfululizo kwa Miaka 7 au 8 ijayo ni kutokana na huo Ukaribu wa 'Kibaiolojia' alionao Mkuu wao Rais ajaye Injinia Hersi Said na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ambaye inasemekana akiwa amenogewa na 'Mavituz' ya Msomali Mswahili Injinia huwa tayari kutoa ( kuvujisha ) Kwake Siri zote za Klabu ( hasa hasa ) pale ikiwa inapambana na Simba SC.
Nimeshatimiza Ahadi yangu Leo hii!!!!
Unajitafutia kifungo afu utaanza kulialia kwamba unaonewa na Mods.Kwamba 'Unabanduliwa' na huyo Jamaa ni Shoga' Mwenzako au?
Inawezekana vipi Bakhresa awekeze Simba na Azam?Yote kwa yote mimi naondoka na nukta moja tu hapo nayo ni ya kumtaka Mzee Bakhresa apewe timu basi
Sawa!Huwa sisumbuliwi na wala sikatishwi Tamaa na Wendawazimu na Wapumbavu kama Wewe sawa?
hiyo point mleta mada kijambio kilimwashaInawezekana vipi Bakhresa awekeze Simba na Azam?
Dah! Mengine unabaki kucheka tu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwa hiyo injinia anampeleka moto binobino pia? so Barabra officialy siyo mchepuko wa mo siyo? safi sana bonge la exclusive endelea kutupia vitu