Niliahirisha uamuzi wangu wa kumtongoza baada ya kuniuliza nafanya kazi wapi

Niliahirisha uamuzi wangu wa kumtongoza baada ya kuniuliza nafanya kazi wapi

Mungu kabla ya kumpa mwanaume mke, alimpa kazi, so huyo dada alikuwa makini na aliuliza wakati muafaka....

Na mwanamke ni kama msaidizi katika malengo ya familia so inahitaji utashi wake kuwa msaidizi hivyo basi ni muhimu sana kwa mwanamke kufahamu kazi unayofanya.....
 
Eti mtu humjui lazima umuanze wewe unaitwanani unaishi wapi?
Umeoa ??
Unajishughulisha nanini?
Kwenu wapi na wewe mpo wangapi??
Wa ngapi kwenu?
Unataka urafiki wa kudumu au??
Si lazima, lakini si ajabu.

Mimi kwa mfano, siwezi kuanza mazungumzo ya kumjua mtu kwa kumuuliza anafanya kazi wapi. Kwa sababu, ikiwa hana kazi - na si kila mtu ana kazi-swali hilo linaweza kumnyanyapaa, kumfanya ajione mnyonge, au hata kumfanya adanganye.

Ila, mtu akiniuliza nafanya kazi wapi sioni swali baya, kwa sababu, inawezekana anataka kunijua vizuri zaidi. Labda tunafanya kazi zinazoendana na kwa kujua nafanya kazi wapi tunaweza kuwa na mazungumzo yanayoendana zaidi, labda kazi yangu inaweza kuwa na kitu cha msaada kwake nikamsaidia, au labda yeye anaweza kuwa ndiye mtu wa msaada kwangu kulingana na kazi yangu, akaweza kunisaidia.

Labda kazi yangu inaweza kumjulisha wazi kabisa toka mwanzo kwamba hataki kuendeleza mazungumzo nami na wote tukapata kumaliza mazungumzo hapohapo bila kupoteza muda zaidi, na kadhalika na kadhalika.

Ni kweli kumuuliza mtu maswali mfululizo kama yupo kituo cha polisi inaweza kuwa turn off, lakini kuna sanaa na namna maalum ya kuyaweka maswali hayo kwenye mazungumzo, yakawa sehemu ya mazungumzo natural na si maswali kama ya kituo cha polisi.
 
Ungetaka kujua hayo ungejibu simple tu kuwa ni jobless unatafuta mchongo, na hapo ulipo umejishikiza gheto kwa msela.

Alafu ndio unaanza kusikilizia upepo unaelekea wapi, utongoze au utongozwe [emoji23][emoji23]
 
Si lazima, lakini si ajabu.

Mimi kwa mfano, siwezi kuanza mazungumzo ya kumjua mtu kwa kumuuliza anafanya kazi wapi. Kwa sababu, ikiwa hana kazi - na si kila mtu ana kazi-swali hilo linaweza kumnyanyapaa, kumfanya ajione mnyonge, au hata kumfanya adanganye.
Mimi kiukweli siulizagi maswali mengi nauliza to wewe unaitwa nani, unaishi wapi, je unajishughulisha na nini?? Na umri Basii tu yameisha.

Kama nataka urafiki wa serious kama sihitaji namuuliza jina tu anapoishi atajua yeye sasa ya nini kama nikula na kusepa .

Hivyo kipindi ya nyuma kabla sio mama wa watu ila saivi nawaza watoto mambo ya kuduu sio sana maana watakula nini??
 
Mimi kiukweli siulizagi maswali mengi nauliza to wewe unaitwa nani , unaishi wapi,je unajishughulisha nanini?? Naumri
Basii tu yameisha.
Kama nataka urafiki wa serious kama sihitaji namuuliza jina tu anapoishi atajua yeye sasa yanini kama nikula nakusepa .
Hivyo kipindi ya nyuma kabla sio mama wawatu ila saivi nawaza watoto mambo ya kuduu sio sana maana watakula nini??
😂😂😂
Unafanya kazi gani?
Swali gumu sana kama huna kazi.
Swali jepesi sana kama una kazi.

Dunia inawatu tofauti unachokipenda wewe kwa mwingine tofauti.
 
😂😂😂
Unafanya kazi gani?
Swali gumu sana kama huna kazi.
Swali jepesi sana kama una kazi.

Dunia inawatu tofauti unachokipenda wewe kwa mwingine tofauti.
Unakazi mie nasema sina au kama ipo ipo wote wanaume wananiuliza nanisipokuwa nakazi huwa wanasepaga
 
Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa Wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikua mrembo nikaona huyu akinikubali Na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa.

Nikaanza kujifaragua kwake nkamshobokeea, nikaflirt naye, though sikumwambia nia yangu on the spot, na sikumwomba namba, ingawa yeye alijua
Nisaidie kitu kimoja mkuu, huyo dada anapatikana wapi mimi nipo Dar naweza kwenda na kuanza kula hapo mgahawani.
 
Mimi kiukweli siulizagi maswali mengi nauliza to wewe unaitwa nani , unaishi wapi,je unajishughulisha nanini?? Naumri
Basii tu yameisha.
Kama nataka urafiki wa serious kama sihitaji namuuliza jina tu anapoishi atajua yeye sasa yanini kama nikula nakusepa .
Hivyo kipindi ya nyuma kabla sio mama wawatu ila saivi nawaza watoto mambo ya kuduu sio sana maana watakula nini??
Yeye: "Unafanya kazi gani?"

Mimi: "Naongoza kikundi cha majambazi mahiri kabisa".
 
Akili yako ndogo au unajishtukia. hayo ni maswali ya kufahamiana? Unataka dada ajihusishe na jambazi?
 
Wanawake wa kuuliza hayo mambo uliyotaka kuulizwa kwanza wapo sitimbi huko, hapa mjini wadada wanata uhakika wa vocha, kusuka, kuvaa na kula
Ujengewe sanamu mkuu, huyu jamaa hajielewi.
 
Wakati mwingine mtu hujiwekea mipaka ili kama hupendi kitu hicho bas taa ya hatar huwaka ili kuashiria kimbia hapo kuna jambo baya!
Kwa upande wangu hali kama hiyo iliwahi nitokea katika mahusiano ya kutafuta mrembo wa kuishinae ili kuyajenga maisha ya familia.
I
Huna hoja mkuu, kuwa kabila moja kuna kosa gani, alikutafutia mtu anayemjua vizuri
 
Vizuri nilikuwa natafuta mtu kama wewe
Hahaa, una visa wewe.

Bonny and Clyde style.

90
 
Umeandika upuuzi! Af una insecurity nyingi kama mtoto wa kike! MAN UP!
 
Nawe ungempima kwa kumjibu huna kazi ndo ungejua vizuri nia yake
 
Moja ya jambo ambalo mwanamke anataka kujua ni usalama wake kwa mtu anaihisi anamuhitaji. Kuuliza unapofanyia kazi haijawahi kuwa kosa mkuu. Usalama wa maisha na kipato ni muhimu sana kwa mwanamke yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa Wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikua mrembo nikaona huyu akinikubali Na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa.

Nikaanza kujifaragua kwake nkamshobokeea, nikaflirt naye, though sikumwambia nia yangu on the spot, na sikumwomba namba, ingawa yeye alijua

Utoto raha sana.
 
Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa Wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikua mrembo nikaona huyu akinikubali Na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa.
She is intelligent.Ni muhimu kujua mtu background yake .Kama kasoma best school for elites Huyo ndio Mume .Mtu akisoma m buyuni primary secondary mazense college CBE hapo shida tu .Backgound muhimu
 
Back
Top Bottom