Niliahirisha uamuzi wangu wa kumtongoza baada ya kuniuliza nafanya kazi wapi

Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa Wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikua mrembo nikaona huyu akinikubali Na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa.

Nikaanza kujifaragua kwake nkamshobokeea, nikaflirt naye, though sikumwambia nia yangu on the spot, na sikumwomba namba, ingawa yeye alijua Namaanisha nn, which brings me to third paragraph.

Siku iyo nimeenda kwenye mgahawa wake kula, mdada ananiuliza nafanya wapi kazi wakati sijawahi kukopa wala kumuomba chakula kwake, taa nyekundu Iliwaka kichwani kwangu, nikasema mapema hivi anauliza nafanya wapi kazi (kiuhalisia mm bodaboda), Kaniona danga au? Kwann asiniulize wazazi wangu, ukoo wangu, ndugu zangu, hobbies zangu, straight to the point akaniuliza nafanyia wapi kazi, nikamjibu kuwa ntamwambia siku nyingine.

Ghafla nilikata mazoea na huyo dada..Na mgahawani kwake sikwenda tena na plan ya mm kumtongoza niliihairisha maana nliona Hana hisia na mm, baadae atakuja nichuna pesa hlf asepe, sababu mapema yote anauliza nafanyia wapi kazi Ili aone atanipiga mizinga ya tshs ngapi.
kiufipi tu sikuhizi au hata kipindi cha nyuma japo sikuwepo ila Imani inanituma hata ile kauli ya pesa ngumu siku hizi haikuanza leo ni ya zama na zama. Back to the point, binti alitaka kujua hatima yake ni ipi endapo ikatokea mkaanzisha uhusiano. Je atakuwa sehemu sahihi yenye bright future. Sema ww mzee wa hard feelings uka conclude juu kwa juu. Na isitoshee ulihisi kazi yako haitosound good kabisa katika masikio yake. Ulitakiwa ujikubali na kumtamkia kuwa Mimi ni bodaboda kisha umuache yeye atoe hukumu.
 
alikuwa kabila gani, sio manka kweli huyo? ulifeli wapi mzee, ungemwambia nafanya kazi TRA, au BOT.
Angemwambia BOT Kwan BOT kuna vijana kwel au Ajira zao zina patikana vip?
 
Una umri gani? Mbona reasoning yako ya kitoto hivi?..

Ulitaka akuulize nini? Kama kakuhisi jambazi? Asiulize kuwa sure?

Unahisi atakuona una hela? Kwa kula mama ntilie? Seriously?
Nimeshangaa... eti anataka auliziwe wazazi wake... kwani wazazi wake wanaingiaje kwenye mtongozo?

Hawa madereva wa boda tabu sana...
 
Una umri gani? Mbona reasoning yako ya kitoto hivi?..

Ulitaka akuulize nini? Kama kakuhisi jambazi? Asiulize kuwa sure?

Unahisi atakuona una hela? Kwa kula mama ntilie? Seriously?
Akili za kitoto sana hz,na mara nyingi majambazi na matapeli ndio hawapendi ulizwa kazi zao.
 
Wanawake wa kuuliza hayo mambo uliyotaka kuulizwa kwanza wapo sitimbi huko, hapa mjini wadada wanata uhakika wa vocha, kusuka, kuvaa na kula
Hakuna mwanamke kutoka pande yoyote ya nchi atakaetaka kujua kuhusu wazazi wako na ndugu zako kabla ya kukujua ww.
 
Yuko sahihi kabisa kukuuliza hilo swali wewe ndiyo hujitambui mbona ni swali la kawaida sana?
Utoto na kutojiamini ni shida sana, anachozani mwanamke kutakajua anajishughulisha na nn ni kutafutiwa njia ya kuombwa pesa.
 
Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa Wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikua mrembo nikaona huyu akinikubali Na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa.

Nikaanza kujifaragua kwake nkamshobokeea, nikaflirt naye, though sikumwambia nia yangu on the spot, na sikumwomba namba, ingawa yeye alijua Namaanisha nn, which brings me to third paragraph.

Siku iyo nimeenda kwenye mgahawa wake kula, mdada ananiuliza nafanya wapi kazi wakati sijawahi kukopa wala kumuomba chakula kwake, taa nyekundu Iliwaka kichwani kwangu, nikasema mapema hivi anauliza nafanya wapi kazi (kiuhalisia mm bodaboda), Kaniona danga au? Kwann asiniulize wazazi wangu, ukoo wangu, ndugu zangu, hobbies zangu, straight to the point akaniuliza nafanyia wapi kazi, nikamjibu kuwa ntamwambia siku nyingine.

Ghafla nilikata mazoea na huyo dada..Na mgahawani kwake sikwenda tena na plan ya mm kumtongoza niliihairisha maana nliona Hana hisia na mm, baadae atakuja nichuna pesa hlf asepe, sababu mapema yote anauliza nafanyia wapi kazi Ili aone atanipiga mizinga ya tshs ngapi.
Kwani ulishindwa nini kumwambia unafanya kazi bank mkuu?
 
Back
Top Bottom