Si lazima, lakini si ajabu.Eti mtu humjui lazima umuanze wewe unaitwanani unaishi wapi?
Umeoa ??
Unajishughulisha nanini?
Kwenu wapi na wewe mpo wangapi??
Wa ngapi kwenu?
Unataka urafiki wa kudumu au??
Mimi kiukweli siulizagi maswali mengi nauliza to wewe unaitwa nani, unaishi wapi, je unajishughulisha na nini?? Na umri Basii tu yameisha.Si lazima, lakini si ajabu.
Mimi kwa mfano, siwezi kuanza mazungumzo ya kumjua mtu kwa kumuuliza anafanya kazi wapi. Kwa sababu, ikiwa hana kazi - na si kila mtu ana kazi-swali hilo linaweza kumnyanyapaa, kumfanya ajione mnyonge, au hata kumfanya adanganye.
😂😂😂Mimi kiukweli siulizagi maswali mengi nauliza to wewe unaitwa nani , unaishi wapi,je unajishughulisha nanini?? Naumri
Basii tu yameisha.
Kama nataka urafiki wa serious kama sihitaji namuuliza jina tu anapoishi atajua yeye sasa yanini kama nikula nakusepa .
Hivyo kipindi ya nyuma kabla sio mama wawatu ila saivi nawaza watoto mambo ya kuduu sio sana maana watakula nini??
Unakazi mie nasema sina au kama ipo ipo wote wanaume wananiuliza nanisipokuwa nakazi huwa wanasepaga😂😂😂
Unafanya kazi gani?
Swali gumu sana kama huna kazi.
Swali jepesi sana kama una kazi.
Dunia inawatu tofauti unachokipenda wewe kwa mwingine tofauti.
Nisaidie kitu kimoja mkuu, huyo dada anapatikana wapi mimi nipo Dar naweza kwenda na kuanza kula hapo mgahawani.Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa Wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikua mrembo nikaona huyu akinikubali Na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa.
Nikaanza kujifaragua kwake nkamshobokeea, nikaflirt naye, though sikumwambia nia yangu on the spot, na sikumwomba namba, ingawa yeye alijua
Yeye: "Unafanya kazi gani?"Mimi kiukweli siulizagi maswali mengi nauliza to wewe unaitwa nani , unaishi wapi,je unajishughulisha nanini?? Naumri
Basii tu yameisha.
Kama nataka urafiki wa serious kama sihitaji namuuliza jina tu anapoishi atajua yeye sasa yanini kama nikula nakusepa .
Hivyo kipindi ya nyuma kabla sio mama wawatu ila saivi nawaza watoto mambo ya kuduu sio sana maana watakula nini??
Vizuri nilikuwa natafuta mtu kama weweYeye: "Unafanya kazi gani?"
Mimi: "Naongoza kikundi cha majambazi mahiri kabisa".
Ujengewe sanamu mkuu, huyu jamaa hajielewi.Wanawake wa kuuliza hayo mambo uliyotaka kuulizwa kwanza wapo sitimbi huko, hapa mjini wadada wanata uhakika wa vocha, kusuka, kuvaa na kula
Huna hoja mkuu, kuwa kabila moja kuna kosa gani, alikutafutia mtu anayemjua vizuriWakati mwingine mtu hujiwekea mipaka ili kama hupendi kitu hicho bas taa ya hatar huwaka ili kuashiria kimbia hapo kuna jambo baya!
Kwa upande wangu hali kama hiyo iliwahi nitokea katika mahusiano ya kutafuta mrembo wa kuishinae ili kuyajenga maisha ya familia.
I
Una umri gani? Mbona reasoning yako ya kitoto hivi?..
Ulitaka akuulize nini? Kama kakuhisi jambazi? Asiulize kuwa sure?
Unahisi atakuona una hela? Kwa kula mama ntilie? Seriously?
ina maana Mtanzanyika Huru una akili kuliko The Boss? haiwezekani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Alitaka kukadiria maisha
Hahaa, una visa wewe.Vizuri nilikuwa natafuta mtu kama wewe
Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa Wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikua mrembo nikaona huyu akinikubali Na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa.
Nikaanza kujifaragua kwake nkamshobokeea, nikaflirt naye, though sikumwambia nia yangu on the spot, na sikumwomba namba, ingawa yeye alijua
She is intelligent.Ni muhimu kujua mtu background yake .Kama kasoma best school for elites Huyo ndio Mume .Mtu akisoma m buyuni primary secondary mazense college CBE hapo shida tu .Backgound muhimuKuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa Wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikua mrembo nikaona huyu akinikubali Na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa.