Niliambiwa wanaume hawapo JF

Hahahahaha haya mama nacheka kama mazuri vile, kama ushajua yote hayo unaepuka tu kimya kimya waswahili wana msemo wao debe tupu haliachi kutika
 
Kabisa rafiki Time heals
Ukichukua muda wa kutafakari wapi hapakuwa sawa, lazima utasonga mbele na baadae yako itakuwa bora kuliko zamani yako
 
Kabisa rafiki Time heals
Ukichukua muda wa kutafakari wapi hapakuwa sawa, lazima utasonga mbele na baadae yako itakuwa bora kuliko zamani yako
Yap, na hayo ndio maisha kujifunza unapokosea kujifunza kutokana na makosa hata kama s yako tunatakiwa kujifunza kupitia wengine,
 
Anaweza pata mwingine ni mzuri zaidi atajiuliza mbona mwanzo nilipata ambaye haeleweki kikubwa ni uvumilivu tu halafu hutakiwi kukurupuka
Kabisa hua tuna haraka na ndivo ilivo
 
Sijui ila kwangu no more food in jf sure nimechoka nimesarenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…