Niliambiwa wanaume hawapo JF

Niliambiwa wanaume hawapo JF

Mimi sijaliwa humu wala sijaumuzwa nimeona tu huku hakuna dili kila anayekuja hanipendezi yanini nikae kimya kila.mtu anakuja na vijistress wengine wamejichokea wengine ngono tu wengine hawajui wanachokitaka yaani sasa kwanini uhangaike ningeliwa nisingeongea ninaibu
Hahahahaha haya mama nacheka kama mazuri vile, kama ushajua yote hayo unaepuka tu kimya kimya waswahili wana msemo wao debe tupu haliachi kutika
 
Na hayo ndio mapenzi, kutotenda kile ambacho ukitendewa roho itakuuma, tatizo tunajisahau sana na yakitokea kama haya tunasema ni changamoto tu za kimahusiano, ameshaanguka anyanyuke ajifute vumbi maisha lazima yasonge

Ajiulize tu kabla ya huyo alikua anaishije? Kwa nn ashindwe kuishi baada ya yeye kuondoka? Muda utamponya atasahau tu
Kabisa rafiki Time heals
Ukichukua muda wa kutafakari wapi hapakuwa sawa, lazima utasonga mbele na baadae yako itakuwa bora kuliko zamani yako
 
Kabisa rafiki Time heals
Ukichukua muda wa kutafakari wapi hapakuwa sawa, lazima utasonga mbele na baadae yako itakuwa bora kuliko zamani yako
Yap, na hayo ndio maisha kujifunza unapokosea kujifunza kutokana na makosa hata kama s yako tunatakiwa kujifunza kupitia wengine,
 
Sio wote wameoa bhana. Kuna vijana mabrobaro wengi sana tena vingine vidogo sana kushirikishwa haya mambo.

Kuna wengi single and honest, single but occupied, single committed, single for their own sake.

ANGALIZO: Kuna fisi wanasubiri mzoga udondoke wale washibe, wako wasioshiba nyumbani so lazima ajifanye anaenda dukani kumbe anaenda mama ntilie kuongeza chapati mbili na supu.
Sijui ila kwangu no more food in jf sure nimechoka nimesarenda
 
Back
Top Bottom