Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ndoa zipo humu mbona watu huwa wanaoana sio wanaume wote wabaya humu mpenzi huyo mmoja asikufanye uone wanaume wote wa jf wabaya
Shunie humu hakuna ndoa sijawahi kuwaza hilo ila jua humu utaliwa utachezewa watakukimbia nimesanuka mapema