Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

[emoji28][emoji28][emoji849][emoji28][emoji23]
 
Ewaaaa ukiwa na huyo mnyama unapeta huna wasiwasi wewe utakua unashinda na polepole tu na gari zenye sifa kubwa.
Mie saahivi ndoto yangu ni kuimiliki VW Polo GTi, ili niwanyooshe wote hao kina Subaru and co. [emoji23]

Au nasema uongo mkuu feyzal mzee wa VW [emoji3]
 
Ushauri mzuri...
 
Kwa ufupi, hadithi ya jamaa SIYO KWELI kwa mazingira yetu kwa sasa.
Expressway ambazo zinaruhusu speed kubwa non-stop bahati mbaya HAZIPO Tanzania, tunapishana humo humo lorries, buses, suv etc
 
Kama ulikimbizana na nissan patrol tena kavu(DFP bila shaka ni TD42)basi wewe ni muoga kwa ninavyoijua patrol ilivyo nzito kuchanganya eti ilikusumbua!
 
Huyo mwenye Nissan patrol hakutaka tu kukimbiza gari,angetaka hata mkiani usingfuata.
Ndugu nissan patrol td42 bora hata 1hz inajitahidi labda zile za petrol au turbo lakini mdau kasema ni DFP hilo ni kavu na halina maajabu.
 
Hapo umemaliza mkuu
 
Huyu jamaa kwanz aliandaa pesa za gai ni ambazo hao aliowakuta njiani pengine hawakupanga kuja kupigwa faini wala kwenda mwendo anaosemea huyu jamaa ila yote tuyaache hilo kopo dualis ni gari ambazo zimefeli kiufupi mtu mwny akili na anayefaham magar vzr hanunui dualis afadhali kdg na xtrail new model ila hizo nawawekea athlete crown wala sitafuti hizo zingine huyo Tu anawatosha km tunapanga mashindano hamtoboi
 
Alichosema ni kweli Dualis ni gari ya kimanzi! Ilivyokaa kaa tu imekaa kama kigari flani cha mdada classic kama teller wa bank au afisa mahusiano Voda!
Jamaa una dharau..[emoji119][emoji119][emoji119]..[emoji28]
 
Alichosema ni kweli Dualis ni gari ya kimanzi! Ilivyokaa kaa tu imekaa kama kigari flani cha mdada classic kama teller wa bank au afisa mahusiano Voda!
Bora umetupa maneno sisi tunaomiliki Baskeli za swala
 
Yani unakuta mtu anaendesha barabarani Kwa Raha zake, unampita, afu unadai ilikua ni ligi.
Au ulikua unawaambia tunashindana.!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…