Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

a.k.a unaweza sema gari zinye mans looks.. muonekano wa kiume


We unadhani ukiendesha Murano utajisikiaje ukiwa kwe usukani hapo?
Embu endesha harrier sikumoja uone kama utatolewa mahari.

Usikubali jinsia yako kuwa affected na mambo madogo madogo kama aina ya gari, si nzuri kwa afya ya akili.
 
Mmenichekesha sana na comment zenu looh.
Kiufupi napenda sana kundesha gari na napenda ligi ila kuna muda hjwa nasema je likitokea la kutokea.......!! Naanza kiwakumbuka wote waliokwishaniambia wananipenda, nafikiria vile watakuwa wanalia kwa uchungu nikiwa nimekufa kwa ajali......

Basi narudisha kisigino nyuma naanza kwenda mwendo wa kibalozi km 80 pale inapobidi, na 50 mpaka 30 pale nnapotakiwa kutii.

Na safari za nje ya Dar nikiwa naendesha binafsi huwa naifanya sehemu ya starehe, ambapo mwendo usio na ligi unaniondolea stress za kuovertake na kukaza tako 🤣🤣🤣🤣
Wanaume hatunaga hizo baby, sisi huaga hatukumbuki kama huaga kuna KUFA tukiwa nyuma ya stearing, anyway sio vizuri nyie watoto wazuri KUFA mapema
 
We jamaa atleast Kuna neno umeongea Lina sanse unashindana na gar za class moja au Mimi nishawah shuudia vx 100 series yenze 2uz v8 engine inakatwa na Hilux d4d
Hiyo 2uz v8 wameiwekea speedlimiter toka kiwandani kwa ajili ya stability ukiifanyia adjustment inakupaisha.
 
Haukuwa na tofauti na mabasi, tena huenda mabasi mengi yalikuacha.. maana mabasi yanatoka dar saa 12 asubuhi na kufika singida saa 12 jioni
Yalimuacha karibu yote Yale ya ligi!maana nilipandaga kisbo nilifika Tabora saa kumi na Moja na DKK 7 jioni sisahau maisha yangu!igunga hyoo!
 
Nissan Dualis ni habari nyingine inatembea sana japo binafsi naona kama iko chini sana kulinganisha na SUV zingine na nafasi yake ni ndogo.
 
Nazungumzia zenye engine ya TD42
TD 42 ina nguvu sana lakini bado siwezi kusema inakimbia sana au ni nyepesi sana, hasa TD42 zisizo na turbo. Mi natumia isiyo na turbo. Ni engine nzuri, nazifanisha na 1hz na 1hd family
 
TD 42 ina nguvu sana lakini bado siwezi kusema inakimbia sana au ni nyepesi sana, hasa TD42 zisizo na turbo. Mi natumia isiyo na turbo. Ni engine nzuri, nazifanisha na 1hz na 1hd family
Safi sana! Uzuri wa hizi gari hazichagui barabarani.
Ni mwendo mdundo kokote unakatiza.
Natafuta y61 td 42.
By the way mimi sio mtu wa mbio sana.
 
Average yake ni 90km/h kutoka Dar hadi Dom ni 450 km yeye ametumia masaa 5
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dualis anaipita croun jamaa mi gx110 hunipiti na dualis maisha maana mi mtu wa ligi kinouma
 
CC sio sababu ila Dualis hawezi kumuacha Vanguard. 2AZ ina nguvu sana, angalau kwenye Vanguard naweza kushuhudia, na gearbox yake gia 7 si mchezo
Sasa hio Dualis nayo si inatumia CVT?
 
1.wabunge na baadhi ya watumishi wa eac huwa wanatumia namba za kibalozi
2.wafanyakazi wa ubalozi na un wana 'utaratibu' fulani wa kusajili 'magari yao' kwa namba za kazini kwao.
Principle ni huwezi kuenjoy diplomatic privileges in your own country...
 
Back
Top Bottom