JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
a.k.a unaweza sema gari zinye mans looks.. muonekano wa kiume
Wanaume hatunaga hizo baby, sisi huaga hatukumbuki kama huaga kuna KUFA tukiwa nyuma ya stearing, anyway sio vizuri nyie watoto wazuri KUFA mapemaMmenichekesha sana na comment zenu looh.
Kiufupi napenda sana kundesha gari na napenda ligi ila kuna muda hjwa nasema je likitokea la kutokea.......!! Naanza kiwakumbuka wote waliokwishaniambia wananipenda, nafikiria vile watakuwa wanalia kwa uchungu nikiwa nimekufa kwa ajali......
Basi narudisha kisigino nyuma naanza kwenda mwendo wa kibalozi km 80 pale inapobidi, na 50 mpaka 30 pale nnapotakiwa kutii.
Na safari za nje ya Dar nikiwa naendesha binafsi huwa naifanya sehemu ya starehe, ambapo mwendo usio na ligi unaniondolea stress za kuovertake na kukaza tako 🤣🤣🤣🤣
Hizo hilux za sasa hivi ni balaa usije ukaifuata na LC mkonge utaachiwa vumbiWe jamaa atleast Kuna neno umeongea Lina sanse unashindana na gar za class moja au Mimi nishawah shuudia vx 100 series yenze 2uz v8 engine inakatwa na Hilux d4d
Hiyo 2uz v8 wameiwekea speedlimiter toka kiwandani kwa ajili ya stability ukiifanyia adjustment inakupaisha.We jamaa atleast Kuna neno umeongea Lina sanse unashindana na gar za class moja au Mimi nishawah shuudia vx 100 series yenze 2uz v8 engine inakatwa na Hilux d4d
Yaani hili ndio lilikuwa swali langu toka mwanzo. Yaani kelele nyingiii kumbe wenzake walikuwa hawana habari na mashindanoHao wakina crown kabla ya safari mlikubaliana mshindane? au ulikuwa unajishindanisha peke yako?
Kufa kwa ajali au kwa nyapu?Wanaume hatunaga hizo baby, sisi huaga hatukumbuki kama huaga kuna KUFA tukiwa nyuma ya stearing, anyway sio vizuri nyie watoto wazuri KUFA mapema
Mwanzo kabisa ndo mwaka gani?Zile zilitengenezwa kwa majaribio ila waliowahi nunua zile toleo la mwanzo kabisa waliula
Yalimuacha karibu yote Yale ya ligi!maana nilipandaga kisbo nilifika Tabora saa kumi na Moja na DKK 7 jioni sisahau maisha yangu!igunga hyoo!Haukuwa na tofauti na mabasi, tena huenda mabasi mengi yalikuacha.. maana mabasi yanatoka dar saa 12 asubuhi na kufika singida saa 12 jioni
Ngoja kwanza, kabla ya kujibu swali lako, we ni me au ke?Kufa kwa ajali au kwa nyapu?
Subaru aina gani mjombaGari yangu bora kwa muda woote ni subaru,soon navuta Ford renger niwe imara mjini
Nissan Patrol inatembea sana eeh?!Huyo mwenye Nissan patrol hakutaka tu kukimbiza gari,angetaka hata mkiani usingfuata.
Labda v8 hizi, hizi nyingine ni kawaida tu ila ziko powerful.Nissan Patrol inatembea sana eeh?!
Nazungumzia zenye engine ya TD42Labda v8 hizi, hizi nyingine ni kawaida tu ila ziko powerful.
TD 42 ina nguvu sana lakini bado siwezi kusema inakimbia sana au ni nyepesi sana, hasa TD42 zisizo na turbo. Mi natumia isiyo na turbo. Ni engine nzuri, nazifanisha na 1hz na 1hd familyNazungumzia zenye engine ya TD42
Safi sana! Uzuri wa hizi gari hazichagui barabarani.TD 42 ina nguvu sana lakini bado siwezi kusema inakimbia sana au ni nyepesi sana, hasa TD42 zisizo na turbo. Mi natumia isiyo na turbo. Ni engine nzuri, nazifanisha na 1hz na 1hd family
Average yake ni 90km/h kutoka Dar hadi Dom ni 450 km yeye ametumia masaa 5we ulikuwa unatembea na average ya km/h ngapi mbona kama hukuwa na ligi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dualis anaipita croun jamaa mi gx110 hunipiti na dualis maisha maana mi mtu wa ligi kinoumaAverage yake ni 90km/h kutoka Dar hadi Dom ni 450 km yeye ametumia masaa 5
Sasa hio Dualis nayo si inatumia CVT?CC sio sababu ila Dualis hawezi kumuacha Vanguard. 2AZ ina nguvu sana, angalau kwenye Vanguard naweza kushuhudia, na gearbox yake gia 7 si mchezo
Principle ni huwezi kuenjoy diplomatic privileges in your own country...1.wabunge na baadhi ya watumishi wa eac huwa wanatumia namba za kibalozi
2.wafanyakazi wa ubalozi na un wana 'utaratibu' fulani wa kusajili 'magari yao' kwa namba za kazini kwao.