Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Piga mdogomdogo tu unafika kilaini,sio mambio yasio na msingi wakati huwahi abiria.
Kyela-Dar siku 2.
Unazima Iringa siku inayofata unaamsha Dar mchana ushafika.
Mkuu mimi napigaga non stop masaa 11-13
 
Moto wa kuotea mbali
 
Kwenye huu uzi natabiri bwana atatwaa soon, hizi ligi za barabarani siyo za, ku entertain. Kwa barabara zipi?
Kabisa, last week nikitoka mkoani nikiwa na speed kama 140 Ile nataka kulipita gari la mbele likatokea gari linaingia barabarani nilipiga break Yani gari ilinionyesha behavior ambayo sitakuja kuisahau, kuanzia ubena mshale haukuvuka 80 mpaka nafika dar.
 
Watu kama nyie wasumbufu barabarani nikikuta mmekufa barabarani nawapita tu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Aisee
 
Hiyo safari niliwah unga moja kwa moja nikasema sirudii tena huo ujinga..siku hizi huwa nalala Iringa, safari inaenda poa kabisa.
Hahaa kuna muendesha ambulance wa muhimbili tulimkuta chalinze saa 1usiku kapaki kwa vile tulikuwa msafara mmoja kyela tukasimama kumuuliza kulikoni akasema ameshindwa kuendelea amechoka ,akasaidiwa na konda wa coaster hadi ubungo p station saa3 usiku.Ukiwaona mjini wana mbwembwe hao.Yeye alitoka 12 asubuhi sisi saa 3 asubuhi,Uyole saa 6 mchana(12H-T dereva Dullah pale Biafra)popote ulipo shikamoo!
 
Huyo nae ni pumbavu, mtu akiwa na cruiser HZ me nataka rumion tu hawezi niona hata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…