Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Piga mdogomdogo tu unafika kilaini,sio mambio yasio na msingi wakati huwahi abiria.
Kyela-Dar siku 2.
Unazima Iringa siku inayofata unaamsha Dar mchana ushafika.
Mkuu mimi napigaga non stop masaa 11-13
 
Mimi ndio kiboko cha V8. Naendesha Mercedes S Class. Top Speed 320. Engine 5L. Nikikupita usijaribu kuleta ligi, utapasua engine ya gari yako.Kwa kumalizia gari yangu ina number za kibalozi, kwa hiyo sehemu mnapotembea 50km/hr mimi natembeaga 100km/hr.

Hii gari naifaidi njia ya Arusha - Singida. Huwa naivuta na kuchezea 200-280km/hr. Barabara zilizobaki huwa nachezea 180-200.
Moto wa kuotea mbali
 
Kwenye huu uzi natabiri bwana atatwaa soon, hizi ligi za barabarani siyo za, ku entertain. Kwa barabara zipi?
Kabisa, last week nikitoka mkoani nikiwa na speed kama 140 Ile nataka kulipita gari la mbele likatokea gari linaingia barabarani nilipiga break Yani gari ilinionyesha behavior ambayo sitakuja kuisahau, kuanzia ubena mshale haukuvuka 80 mpaka nafika dar.
 
Kabisa, last week nikitoka mkoani nikiwa na speed kama 140 Ile nataka kulipita gari la mbele likatokea gari linaingia barabarani nilipiga break Yani gari ilinionyesha behavior ambayo sitakuja kuisahau, kuanzia ubena mshale haukuvuka 80 mpaka nafika dar.
Watu kama nyie wasumbufu barabarani nikikuta mmekufa barabarani nawapita tu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni tahira sasa hz linafika hata 180 kweli[emoji848] mwenye hz anaachwa na noah lami vizuri tu ...

Tushatoka na noah DT ...tulikuwa nane ile tumesimama sehemu ikapita cruza ule upepo hadi gari ikayumba ..huwezi amin less than a minute dere wa noah akaanza iomba cruza tukaipita
Aisee
 
Hiyo safari niliwah unga moja kwa moja nikasema sirudii tena huo ujinga..siku hizi huwa nalala Iringa, safari inaenda poa kabisa.
Hahaa kuna muendesha ambulance wa muhimbili tulimkuta chalinze saa 1usiku kapaki kwa vile tulikuwa msafara mmoja kyela tukasimama kumuuliza kulikoni akasema ameshindwa kuendelea amechoka ,akasaidiwa na konda wa coaster hadi ubungo p station saa3 usiku.Ukiwaona mjini wana mbwembwe hao.Yeye alitoka 12 asubuhi sisi saa 3 asubuhi,Uyole saa 6 mchana(12H-T dereva Dullah pale Biafra)popote ulipo shikamoo!
 
Mashine ni M5 4.4 L twin turbo V8 engine, nimewahi kuendesha hii gari from Dar to Mbeya napita ilula jamaa yupo na cruiser HZ ilikuwa DFP yupo na mzungu akaanza ligi nikamfurahisha na cruiser lake alikuja kunikuta Igurusi akasimama akaja kuangalia ile gari hakuamini kama ingemfunika vile akaomba rematch mpaka naingia mbeya hakuniona nilipopita[emoji23] GERMAN CARS ARE THE BEST
Huyo nae ni pumbavu, mtu akiwa na cruiser HZ me nataka rumion tu hawezi niona hata
 
Back
Top Bottom