Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Twende mbele turudi nyuma.

Porsche 911 Turbo S ni 3.8L ila performance yake ni levels za Lamborghini au Ferrari.

Hata hiyo BMW M5 haifiki hizo levels.
 
Upo sahihi.

Barabara zetu hizi ni shida sana.

Ukisema ukimbie hizo speed lazima uwe na stability ya kufa mtu.

Otherwise unakufa unajiona.
 
Sasa mkuu gari INA twin turbo V8 engine unaanzaje kuilinganisha na hardtop Hz ambazo hazina turbo engine??
 
Upo sahihi.

Barabara zetu hizi ni shida sana.

Ukisema ukimbie hizo speed lazima uwe na stability ya kufa mtu.

Otherwise unakufa unajiona.
Germany kule autobhan ...hio sijui cruza v8 ni takataka interms of speed ..kule niliona 1L bike zinasumbuliwa Sana ... Hadi waliacha production ya 600cc bike 4cyl kwamba hazina speed ila speed ake huku bongo sioni wa kukufata 😁 ila kule ni ndogo sana hiyo...cha ajabu pia watu huku wanapanda gari ya cc 650 wako wa nne eg alto , terious kid ...hizo kule ni cc za piki piki ....bongo mtu akiwa na honda 250 anaona yuko masaa😁
 
Ukiingia youtube kuna jamaa anajiita AutotopPnL.

Huyu jamaa ana balaa si kitoto. Anaendesha gari zake Autobhan.

Mjinga speed zake kuanzia 180kph kuna wakati anafikisha mpaka 300kph comfortably.

Aliwahi maliza kisahani cha Bentley Flying Spur zaidi ya 330kph.
 
Hahah humu JF bana 80% sasa wanamiliki M3/M5/RS6/amg 63 etc

Yaani kila mtu utasikia oooh Germany Machine blah blah na hizo gari zao hatuzionagi hata huku kwny barabara zetu sijui wanaendeshea Mbinguni hahah,ndio JF hio bana.
Binadamu ni kiumbe anayependa sana kujikweza!
Mi toka nimevunja ungo hawanipi shida kabisa[emoji848]
 
Jamaa barabara yao ya autobahn ni noma, Hitler hapa alichanga karata zake vizuri kujenga hii kitu. Kuna watu wanaenda kwa ajili ya kutalii tu na gari zao autobahn na maspidi kama yote.
Tukija huyo jamaa wa autotopNl yuko vizuri sana namkubali sana. Yani anazipush gari mpaka kwenye limit yake ya mwisho. Sema ninachojiuliza ingekuwa bongo unakodi gari ya mtu halafu mwenyewe anakuja kuiona ipo kibati kama imeibwa😂😂😅
 
Kuna rental cars companies, dealerships na private owned cars ndo wanampa Max magari yao.

Yote yamekuwa insured kwa lolote litakalotokea na wanafurahi kuona gari zao zikiwa katika full potentials.

Hizi dealership za mbele huwa wanawapa hawa reviewers wa youtube magari kwa ajili ya reviews and test drive.

Sawa na wewe uende pale Cfao motors wakupe benz gls upige nalo misele kwa ajili ya youtube reviews.

Hata ukimfuatilia jamaa anajiita Carwow, yeye anapewa magari na watu binafsi zaidi kwa ajili ya review. Yeye anafanya zaidi drag, rolling races and brake tests.

Ila hizi autobhans zipo baadhi ya nchi, ukienda India wanaziita Super highways, zinaunganisha majimbo kwa majimbo. Huko ni unlimited speeds.
 
Babu hii M5 4.4L V8 ina 523 HP hakuna bwiga yoyote mwny landcruiser ataekushika ukinyosha goti....

Hongera mkuu mana bei ya hyo kitu used tu inaeza fika milion 200 kuileta bongo
 
Hao wakina crown kabla ya safari mlikubaliana mshindane? au ulikuwa unajishindanisha peke yako?
ligi za barabarani huwa hamuambizani. inatokea tu unaanza kuhisi dereva wa gari aliye mbele/nyuma yako anataka ligi, na ndio hapo "mbungi" inaanza.

hapa mazungumzia safari za dar-mbeya, arusha-dar, morogoro-dodoma-singinda-shinyanga.
 
ligi za barabarani huwa hamuambizani. inatokea tu unaanza kuhisi dereva wa gari aliye mbele/nyuma yako anataka ligi, na ndio hapo "mbungi" inaanza.

hapa mazungumzia safari za dar-mbeya, arusha-dar, morogoro-dodoma-singinda-shinyanga.
Sawa!
 
Hela sina ila xtrail hata bure sitaki[emoji23][emoji23]
Gari mbovu hizi sijapata ona. Kweli mkuu katika magari ukaamua utaje xtrail??

Nimejisisikia vibaya sana[emoji23][emoji23]

Nmekwambia mwanaume haendesh dualis u got my point? Au umekurupuka
 
@kukaza tako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…