Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Bujibuji napenda michango yako ila huu usituingize Chaka wanaume.
Sio kazi yetu kukomboa umaskini wa ukweni. Wakwe hawajawahi kuwa na shukrani.
Yaani wanaume tuna mchango mkubwa sana wa kumkomboa mwanamke kuliko hata serikali inavyokomboa mwanamke,ndio maana waislam au watu wa pwani wana kamsemo kuwa kumuoa mwanamke ni kumsitiri,na tunawasitiri kweli ila hawana shukrani wala hawatabiriki
 
Yaani wanaume tuna mchango mkubwa sana wa kumkomboa mwanamke kuliko hata serikali inavyokomboa mwanamke,ndio maana waislam au watu wa pwani wana kamsemo kuwa kumuoa mwanamke ni kumsitiri,na tunawasitiri kweli ila hawana shukrani wala hawatabiriki
Mkuu nimewahi kuwa mjinga kipindi fulani niliwafadhili hao viumbe waitwao wakwe.
Niliona rangi zote.
Mwanaume fanya kila liwezekanalo usio mwanamke fukara ama anayetoka familia fukara.
Kazi ya kuwakomboa wakwe maskini waachie mitume na manabii
 
Umasikuni sio laana na utajiri sio baraka ninmatokeo ya uvumilivu, kufanya kazi kwa bidii, machaguo na mlolongo wa vingi Sana.
Japo unaweza kuwa maskini kwa kurogwa, kulaaniwa pia mungu anaweza akakubariki ukatoboa kiulaib

KUMBUKUMBU LA TORATI 28

1 “Kama mkiitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu na kuzingatia kwa uangalifu amri ambazo ninawaamuru leo, yeye atawaweka juu ya mataifa yote duniani.

2 Kama mkitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mtapewa baraka zifuatazo;

3 “Miji yenu itabarikiwa na mashamba yenu.

4 “Mtabarikiwa mpate wazawa wengi, mavuno mengi, ng'ombe na kondoo wengi.

5 “Vikapu vyenu vya nafaka vitabarikiwa na vyombo vyenu vya kukandia.

6 Mtabarikiwa mnaporudi nyumbani na mnapotoka nje.

7 Maadui zenu wakiwashambulia, Bwana atawapeni ushindi juu yao. Wakija kuwashambulia kwa njia moja watawakimbieni kwa njia saba.

8 Baraka za Mwenyezi-Mungu zitakuwa katika ghala zenu za nafaka na katika shughuli zenu zote. Atawabariki katika nchi ambayo anawapeni.

9 “Mwenyezi-Mungu atawafanyeni kuwa watu wake watakatifu kama alivyowaahidi, kama mkizitii amri zake yeye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kufuata njia zake.

10 Mataifa yote duniani yakiona kwamba nyinyi mnaitwa kwa jina la Mwenyezi-Mungu yatawaogopa.

11 Mwenyezi-Mungu atawafanikisha kwa wingi: Watoto, mifugo na mavuno shambani katika nchi aliyowaapia wazee wenu kuwa atawapeni,

12 Mwenyezi-Mungu atawafungulieni hazina yake nzuri kutoka mbinguni na kunyesha mvua katika nchi kwa wakati wake, na kubariki kazi zenu. Mtayakopesha mataifa mengi, lakini nyinyi hamtakopa.

13 Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawafanya kuwa wa kwanza kwa nguvu na sio wa mwisho. Mtaendelea mbele na sio kurudi nyuma kama mkishika amri zake ambazo ninawapeni leo na kuwa waangalifu kuzitekeleza,

14 bila kugeuka kulia au kushoto kuifuata miungu mingine na kuitumikia.

15 “Lakini kama hamtaitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, au msipokuwa waangalifu kutekeleza amri zake zote na masharti ninayowaamuru leo, basi mtapatwa na laana hizi zote:

16 Mtapata laana katika miji yenu na mashamba yenu.

17 Vikapu vyenu vya nafaka vitalaaniwa na vyombo vyenu vya kukandia mkate.

18 Watoto wenu watalaaniwa na mazao yenu ya nchi; mifugo yenu italaaniwa isiongezeke.

19 Mtalaaniwa mnapoingia na mnapotoka.

20 “Mwenyezi-Mungu atawaleteeni maafa, vurugu na kukata tamaa katika shughuli zenu zote mpaka mmeangamia upesi kwa sababu ya uovu wa matendo yenu na kwa sababu ya kumwacha Mwenyezi-Mungu.

21 Atawaleteeni maradhi mabaya mpaka wote muangamie kabisa katika nchi ambayo mnaenda kuimiliki.

22 Mwenyezi-Mungu atawashambulia kwa kifua kikuu, homa, majipu, joto kali, ukame, dhoruba na ukungu; mambo hayo yatawaandama mpaka mmeangamia.

23 Mbingu zitakauka kama shaba nyeusi bila mvua, na nchi itakuwa kama chuma.

24 Mwenyezi-Mungu ataifanya vumbi na mchanga kuwa mvua yenu, vumbi litawanyeshea mpaka mmeangamizwa.

25 “Mwenyezi-Mungu atawafanya mshindwe na adui zenu. Nyinyi mtakwenda kuwakabili kwa njia moja, lakini mtawakimbia kwa njia saba. Nanyi mtakuwa kinyaa kwa watu wote duniani.

26 Maiti zenu zitakuwa chakula cha ndege wala hapatakuwa na mtu atakayewafukuza.

27 Mwenyezi-Mungu atawapiga kwa majipu yaliyowapata Wamisri, atawapeni vidonda, upele na kuwashwa ambavyo hamwezi kuponywa.

28 Mwenyezi-Mungu atawapiga kwa pigo la kuwa na wazimu, mtakuwa vipofu na kuvurugika akili.

29 Mtakwenda kwa kupapasapapasa mchana kama vipofu wala hamtafanikiwa katika shughuli zenu. Mtakuwa mkidhulumiwa kila mara na hakutakuwa na mtu wa kuwasaidieni.

30 “Mtachumbia wasichana lakini watu wengine watalala nao. Mkijenga nyumba watu wengine watakaa ndani yake. Mkipanda mizabibu watu wengine watavuna.

31 Ngombe wenu watachinjwa mbele ya macho yenu lakini hamtaonja hata kipande cha nyama yao. Punda wenu watachukuliwa kwa nguvu mbele ya macho yenu wala hamtarudishiwa. Kondoo wenu watapewa adui zenu, na hakuna mtu atakayeweza kuwasaidia.

32 Watoto wenu wa kiume na wa kike watatolewa kwa watu wengine huku mkikodoa macho mchana kutwa kuwatazamia warudi, lakini hamtakuwa na nguvu ya kufanya chochote.

33 “Taifa msilolijua litachukua mazao yote ya nchi yenu na matunda ya jasho lenu, nanyi mtadhulumiwa na kuteswa daima,

34 hata mtapata wazimu kwa mambo mtakayoona kwa macho yenu wenyewe.

35 Mwenyezi-Mungu atayashambulia magoti yenu na miguu yenu kwa majipu mabaya ambayo hamtaweza kuponywa; yatawaenea tangu utosini mpaka nyayo za miguu.

36 “Mwenyezi-Mungu atawapeleka nyinyi na mfalme wenu mtakayejichagulia, mpaka kwa taifa ambalo nyinyi hamkulijua wala wazee wenu. Na huko mtatumikia miungu mingine ya miti na mawe.

37 Nanyi mtakuwa kinyaa, dharau na mshangao miongoni mwa watu wote wa nchi ambako Mwenyezi-Mungu atawapeleka.

38 Mtapanda mbegu nyingi lakini mtavuna kidogo tu kwa kuwa nzige watakula mazao yenu.

39 Mtapanda mizabibu na kuitunza, lakini hamtavuna mizabibu hiyo wala kunywa divai yake, maana wadudu wataila.

40 Mtakuwa na mizeituni mahali pote nchini mwenu, lakini hamtakuwa na mafuta ya kujipaka; kwa sababu zeituni hizo zitapukutika.

41 Mtazaa watoto wa kiume na wa kike, lakini hawatakuwa wenu, watachukuliwa uhamishoni.

42 Matunda yenu yote na mazao yenu mashambani vitamilikiwa na nzige.

43 “Wageni waishio katika nchi yenu watazidi kupata nguvu huku nyinyi mkizidi kufifia zaidi na zaidi.

44 Wao watawakopesha nyinyi, lakini nyinyi hamtakuwa na uwezo wa kuwakopesha. Wao watakuwa wa kwanza kwa nguvu nanyi mtakuwa wa mwisho.

45 “Hayo yote yatawapateni nyinyi na kuwaandama mpaka muangamizwe kwa kuwa hamkutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu kuhusu kushika amri zake na masharti aliyowapa.

46 Lakini hizo zitakuwa ushahidi wa hukumu ya Mwenyezi-Mungu kwenu na wazawa wenu milele.

47 “Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwabariki katika kila njia, lakini nyinyi hamkumtumikia kwa moyo wa furaha na mkunjufu.

48 Kwa hiyo mtawatumikia maadui zenu ambao Mwenyezi-Mungu atawatuma dhidi yenu, kwa njaa, kiu na uchi, na kutindikiwa kila kitu. Atawafungeni nira ya chuma mpaka awaangamize.

49 “Mwenyezi-Mungu ataleta kutoka mbali taifa moja liwavamie kasi kama tai, taifa ambalo lugha yake hamuielewi.

50 Taifa hilo lenye watu wa nyuso katili halitajali wazee wala kuwahurumia vijana;

51 litakula ng'ombe wenu na mazao yenu, mpaka mmeangamizwa. Halitawaachieni nafaka, divai, mafuta, ng'ombe au kondoo mpaka liwaangamize.

52 Watu hao watawazingira katika miji yenu yote, mpaka kuta zenu za ngome ambazo mlitegemea zimeporomoshwa chini kila mahali katika nchi yenu ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, amewapeni.

53 Wakati wa kuzingirwa na kutaabishwa na maadui wenu, mtakula watoto wenu ambao Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu amewapeni.

54 Hata mtu mpole kabisa na aliyelelewa vizuri sana atamnyima chakula ndugu yake, mkewe ampendaye na mtoto wake atakayesalia;

55 wala hatamgawia hata mmoja wao nyama ya watoto wake atakaowala. Hamtabakiwa na chochote wakati huo wa kuzingirwa na kutaabishwa na maadui katika miji yenu yote.

56 Hata mwanamke yule ambaye ni mpole sana na aliyelelewa vizuri na mwororo hata hajawahi kukanyaga udongo kwa kisigino chake hataweza kufanya vingine. Wakati huo wa kuzingirwa kutakuwa na njaa hata

57 atamla mtoto wake mchanga na kile kinachotoka baada ya kuzaliwa mtoto bila hata mumewe mpenzi au mmoja wa watoto wake kutambua.

58 “Kama msipokuwa waangalifu kutekeleza maneno yote ya sheria hii iliyoandikwa katika kitabu hiki na msipoliheshimu na kulitukuza jina tukufu la kuogofya la Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,

59 basi, Mwenyezi-Mungu atawaleteeni nyinyi na wazawa wenu mateso yasiyo ya kawaida, mateso makali yasiyoponyeka na ya kudumu, na magonjwa makali ya kudumu.

60 Atawaleteeni tena yale magonjwa mliyoyaogopa nchini Misri, nayo yatawaandama daima.

61 Atawaleteeni magonjwa ya kila aina na mateso mengine ambayo hayakutajwa katika kitabu hiki cha sheria mpaka muangamie.

62 Ijapokuwa nyinyi ni wengi kama nyota za mbinguni, lakini mtakuwa wachache tu kwa kuwa hamkutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.

63 Kama vile Mwenyezi-Mungu alivyopendezwa kuwafanikisha na kuwafanya kuwa wengi, vivyo hivyo Mwenyezi-Mungu atapendezwa kuwaletea maafa na kuwaangamiza. Nanyi mtaondolewa katika nchi hiyo ambayo mnakwenda kuimiliki.

64 Mwenyezi-Mungu atawatawanya miongoni mwa mataifa yote, kutoka pembe moja ya dunia hadi nyingine na huko mtaitumikia miungu mingine ya miti na mawe, miungu ambayo nyinyi wala wazee wenu hawakuijua.

65 Hamtakuwa na raha yoyote mahali penu wenyewe pa kutulia wala miongoni mwa mataifa hayo. Ila Mwenyezi-Mungu atawapeni huko wasiwasi wa moyo, kufifia kwa macho na mahangaiko ya rohoni.

66 “Maisha yenu yatakuwa mashakani, mchana na usiku mtakuwa na hofu na hamtakuwa na usalama wa maisha.

67 Mioyo yenu itajaa woga wa kila mtakachoona. Asubuhi mtasema, ‘Laiti ingekuwa jioni,’ jioni itakapofika mtasema, ‘Laiti ingekuwa asubuhi.’

68 Mwenyezi-Mungu atawarudisheni Misri kwa meli, safari ambayo aliahidi kwamba hamngeifanya tena. Huko mtajaribu kujiuza kwa maadui zenu kuwa watumwa, lakini hakuna mtu atakayewanunua.”
 
Kwa hiyo mmeamua kujifananisha na wanawake Sasa?Si mtafutie hela jamani Kama nature inavyowataka mtutunze!
Yaleyale defence mechanism [emoji16]



Kuwatunza nyie ni sawa ni jukumu letu ila sio kubeba msalaba wa kwenu ndugu zenu hivyo yupo sahihi kukataa kuoa mwanamke kwao ni maskini utabebeshwa mzigo wa kwao

Nature inataka tuwatunze nyinyi na watoto wetu sio ndugu zenu
 
Yaleyale defence mechanism [emoji16]



Kuwatunza nyie ni sawa ni jukumu letu ila sio kubeba msalaba wa kwenu ndugu zenu hivyo yupo sahihi kukataa kuoa mwanamke kwao ni maskini utabebeshwa mzigo wa kwao

Nature inataka tuwatunze nyinyi na watoto wetu sio ndugu zenu
Kwani huyo wife material alitaka Wazazi wake wahudumiwe?au jamaa yako alijistukia mwenyewe?
 
Yaani we fala umepoteza mke hebu nikumbuka namba yake unipe niongeze mke wa pili mie
 
Kuna kijiji kinaitwa Lalaji.ukichuka house grill baada ya mwaka anataka kurudi kwao kuolewa.ilihali hana 18yrs



Hata wa kutoka mkoa wa Morogoro ni hivyo hivyo hiyo miaka 18 Mbona mingi?! Wenyewe akishavunja ungo Hata kama binti ni wa umri wa miaka 12 haraka sana wanamtaka aende akachezwe na akienda harudi wengine wanaenda olewa mashaka matupu!

Kwenye kuchezwa huko wengine ndio hukabidhiwa na mikoba ya kichawi rasmi.
 
Hata kama hajasema automatically mzigo wa ndugu wa wife unakuwa wake na hapo ukute mwanaume ukisaidia kwenu huyo mwanamke ananuna
Ahhhh hapo tatizo linaanzia ila kama anasema Dem anasimu Kali alimshindwa chimba choo kwao jamani tukumbuke nyumbani jamani
 
Wewe haujawa exposed na maisha ya vijijini,utakuwa umezaliwa town.wanawake toka familia duni ni kimeo sana ,wana changamoto nyingi sana kwenye ndoa
Mama yako Alizaliwa mjini na kwenye familia tajiri.
 
Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.

Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.

Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.

Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.

Tukaenda kwao Singida, kutoka Singida mjini hadi kwao ni masaa sita, kata inaitwaje sijui ila ni kabila la Wanyisanzu.

Nilichokiona sikuamini, kwanza kijiji hakina mtandao wa simu mpaka upande kichuguuni, maji ya kunywa yana rangi ya chai ya maziwa, choo cha shimo hakina mlango ukisikia mtu anakuja unakohoa ili ageuze

Kitanda cha kamba, kajumba kenyewe ukipiga teke kanadondoka.

Baada ya kurudi mjini nilifuta namba yake palepale.

Mimi ninaamini umasikini kama sio laana basi ni kitu fulani hivi cha kurithi

Wanaume masikini kuachwa ruksa ila wanawake masikini kuacha utaambiwa ni kukufuru Mungu...

Wanawake tafuteni hela. Na nyie makamanda mnaoa watoto masikini mbinguni moja kwa moja
Ulimuonea bure huyu mama,umaskini wa kwao na mapenzi yenu yanaingiaje?,kamuombe msamaha
 
Kwa nini nijute,mbina wao wanatuacha sana sisi wanaume sababu ya umasikini
Hii tabia ya wanawake kutudharau kisa hatuna pesa naona inanifanya kuwachukia sana mademu,. Nilikuaga nawachukia toka utotoni ila sku hz naona hii hali inakua extreme. (NB; mimi sio chaputa)
 
Back
Top Bottom