Nilianza kucheza karate nikiwa na miaka 4 nahitaji kutoa usugu kwenye vidole

Kuna kitu tunaita nidhamu, ukiachilia mbali nidhamu pia ukija kisheria ya nchi yeyote martial artists huwa wanachukuliwa kama silaha (mwili wa martial artist yeyote ni leaving weapon kutokana na alivyo u condition kwa mazoezi makali na uelewa mkubwa wa sehemu dhaifu kwenye mwili wa binadamu) sasa ikatokea umepiga mtu hata kwa kosa linalo epukika , unikamatwa ukafikishwa mahakamani huwa hawana cha kuuliza mara mbili hali ya kuwa aliyekuchokoza alikuwa hana silaha ujue lazima fine ikuhusu.

Kingine ni kuwa sheria huwa inaangalia pia na idadi ya watu waliokuchokoza na silaha zao mfano karateka mkoja mwenye black belt akipigana na mtu mmoja au wawili au watatu kwa kosa la kijinga tu tena wakiwa hawana silaha jua ,kosa ni la karateka na si la hao watu watatu.

At leats uanze kupigana na watu 10 wasio na silaha utasikilizwa ( kwa maana hata hivyo itakuwa sio kupigana bali kupiga). Na ndiyo maana kuna comittees nyingi tu ambazo ni halali kabisa kuekana sawa martial artists ,[emoji23] unaenda unapigwa au kupiga saaafi kabisa no stress no case.
 
We jamaa nina wasi wasi hata kata ya kwanza tu HEIAN SHODAN huimalizi ,achilia mbali haujui hata kila stance ina maanisha nini na kwa kila kata unatoa KIAI kwenye position zipi na wapi ubane pumzi.

Yaani kiujumla haujui body conditions za martial artists ,na wewe si KARATEKA.
 
Nakushauri jifunze self defense mwamba najivunia naweza enda sehemu yeyote na muda wowote uje na lifimbo,panga,shoka nakuvibua tu nacheza shotokan brown belt now[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Unaizungunziaje krav maga kwa ajili ya self defence?
 
Naona mmemchapa maswali kaamua kukimbia
 
Mkuu mi napenda karate sijui Kung Fu na boxing napenda kinyama ila napenda na kukimbia..[emoji23][emoji23] ili nikizidiwa mbio ziniokoe sio adui akushinde mbio na ngumi jua akikushinda hivyo kwisha habari yako..[emoji28]
Unaruhusiwa kukimbia ukiona mambo magumu toka mbio,na aliyecheza huo mchezo ukishatoka mbio hana tatizo na ww anakuwa anafahamu.
 
Sawa
 
Unaelewa vzr,nina mkanda mweusi.kwenye huo mkanda nipo kwenye madaraja
 
Duh! Mkuu watu kumi hicho si kijeshi kidogo..πŸ˜‚
Watakufumua mpk maji uite mma..!
 
Hahahah mbona mie sisamehewagi sasa mama watoto! Wanilipe tu jamani wabongo nuxi kukopa sherehe kulipa matanga.
Si unajua hapa kati uchumi uliyumba? Kuwa mpole wakae sawa, nakuombea ulipwe ASAP.
Na mimi nakuja kukopa ila kulipa ndiyo yatakuwa matanga πŸ˜…πŸ˜…
 
Naona mmemchapa maswali kaamua kukimbia
Vijana wa Sasa wanapenda Sana huu mchezo ila waoga wa mazoez mm nasema siku hz madojo meng hawana mazoez magumu Kama miaka hyo 98 mpaka2000's mchezo wa karate hasa shotokan uliposhika kas ilikuwa balaaa siku mazoez lain lain tu nilienda dojo moja huko kwa washua niliwagongesha mazoez mpaka wakasema utatuua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]upangani
 
Kama heian shodan anashindwa ataweza heian godan ???? Ila Kama kweli kapiga bas 26 shotokan kata anazielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…