Nilianza kucheza karate nikiwa na miaka 4 nahitaji kutoa usugu kwenye vidole

Eskrima si wanatumia vifimbo tu?
 
Hehehe watu 10?

Mojawapo ya mazoezi hayo ni kukuonyesha ni kwa kiasi gani situation uliyopo yaweza kuhatarisha maisha yako.

Master mmoja wa mapigano ya visu alisema "Nikikufundisha kupigana kwa kisu kwa miaka 3 kisha ukatokea ugomvi sehemu na unayegombana naye akakutolea kisu, lakini wewe ukaamua kukimbia basi hapo mafunzo yangu yatakua yamefanikiwa kwakua lengo langu ni kukuonyesha jinsi gani kisu ni hatari"

Kisu kimoja unahisi ni hatari zaidi ya watu 10? Kua serious.
 
Si unajua hapa kati uchumi uliyumba? Kuwa mpole wakae sawa, nakuombea ulipwe ASAP.
Na mimi nakuja kukopa ila kulipa ndiyo yatakuwa matanga 😅😅
Kigezo ni kile kile, mahudhurio ya "Ngwea" kila ijumaa hadi jumapili mpak utapolipa deni!
 
mkuu kuna madhara gani?mtu akizingua si unamfundisha adabu tu halafu unamuacha aende zake
 
Hahahaha jamaa alikuja na mikwara ya bonge la CV.
eti mjomba wake ametoka China.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]JF ina vituko sana
 
Dah sasa kama inazuiliwa kupigana kumbe hakuna raha yoyote kuwa martial arts.
Kuna faida gani sasa?
 
Usiogope mwamba wacha hizo alama.Binafsi ninazo zinaoneka kwa macho ya kibinadamu kwa urahisi mno.

Wengine mpaka magoti ya sugu 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Wale walimu sijui walikuwa wanawaza nini.
 
Narudia kusema kwa aina ya mchezo huu nilivyofundishwa kunipiga ni vigumu Sana,Kama kuna makamanda tena mp mwaka 2017 Serengeti baada ya kunisimamisha kwa kosa ya kijinga nikakataa kushuka kwenye gari wakaja kunitoa walikuwa 4 mp wana habari yangu popote walipo
 
kwa mfano mtu amekutukana au amekudhalilisha bila sababu kwa nini usimfundishe adabu?
Matusi Ni ya kawaida mbona SEMA Kuna udhalilishaji uliopitiliza hapo ndio shughuri inpoaanza huwa sipend mtu kuonewa huku nikiwa naona hapo huwa nafanya maamuz magumu lazima heshima ipatikane
 
hapo sawa nimekupata.
Hivi inawezekana kujifunza hayo mambo ya martial arts nikiwa mtu mzima?
Inachukua muda gani kuelewa na kuweza kujidefend?
Matusi Ni ya kawaida mbona SEMA Kuna udhalilishaji uliopitiliza hapo ndio shughuri inpoaanza huwa sipend mtu kuonewa huku nikiwa naona hapo huwa nafanya maamuz magumu lazima heshima ipatikane
 
Eskrima si wanatumia vifimbo tu?
Fimbo ni part ya training, na unaweza kuitumia pia kama silaha ikiwa ni hautaki kumwaga damu au hauna jinsi kutokana na situation uliyopo, ila visu vipo na ndo dhumuni haswa la mchezo wenyewe huwa tunaita baraw kwa ki filipino au daga .
 
mkuu uliwafanyaje?maana sio kawaida kuwadindia wale jamaa
 
hapo sawa nimekupata.
Hivi inawezekana kujifunza hayo mambo ya martial arts nikiwa mtu mzima?
Inachukua muda gani kuelewa na kuweza kujidefend?
Unaweza kujifunza vizuri tu mazoez yana utaratibu na swala la uwezo wa kujidefend wewe mwenyewe inategemea juhudi zako katika mazoez na kupenda kujifunza Zaid baada ya mafunzo ya dojo
 
mkuu kuna madhara gani?mtu akizingua si unamfundisha adabu tu halafu unamuacha aende zake
Sheria haziruhusu Mana wew utakuwa umetumia silaha na pia dojo hatufundish kupigana pasina sheria kufuata sheria stahiki ila TU pale mtu atakapokuwa amekukwaza kupitiliza Tena si kupigana Bali kupiga pigo ambalo halito muathiri mkosaji Bali litamfanya asirudi tena kwako au kumpa maumivu atakayo kaa nayo hata kwa lisaa akiuguria kipind hicho wew haupo ila usipige mapigo mabaya katika presha point zote unaweza ukauwa kutokana weng siku hiz Wana magonjwa
 
hapo nimekupata
 

Mkuu nimekuja DM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…