Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo)

Sir mgax

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2023
Posts
2,160
Reaction score
3,831
Habari wanajamiiforum.

Muda huu ninaona ni vyema nitoe dukuduku langu ili nipate msaada na ushauri nasaha

Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo).kipindi hicho nilikuwa mdogo kiasi lakini nilikuwa naona vitendo vya hali ya kunyenyekewa sana

Pale ninapoghafirika,baada ya kujitambua nilianza mchakato wa kutafuta vidhawishi ambavyo vinaweza kupelekea kupunguza au kuondoa kabisa tatizo hili kwa kujichanganya mara kwa mara na jamii,kushiriki mazoezi na kuzingatia mlo.

Kwa kifupi niliendelea vizuri kwa wakatu huo.Lakini ilipofika mwaka 2019 kutokana na mazingira niliyokuwa ninashi,hali ilirejea tena na ilikuwa ni hatari sana,nilijaribu kutafuta washauri wabobezi na niliwapata akiwemo shool mate wangu ambaye alikuwa akihudumu UDSM,pamoja na mtaalamu wa human brain enginear kutoka sweeden.

Walinisaidia sana na nikajaribu kuacha vishawishi nilivyokuwa nikifanya kupunguza maumivu makali ya kichwa(kwa nilivyo amini)ikiwemo pombe,madawa tofautitofauti ambayo yalichangia pia ukosefu wa umakini kazini.mwaka 2024 mwezi wa 8 hali ile ilirudi kwa kasi kiasi kwamba ilichangia matatizo na kuibua magonywa mengine kama vidonda vya tumbo,bawasili,kukosa hamu ya kula,kulewa sana,na mengine mengi...

Mungu mkubwa nilipatana na mtu ambaye alinisaidia kupata tiba ya bawasili ambayo nimegundua mabadiliko chanya mwezi may mwaka huu.licha ya kuwa kwa sasa kichwa kinaniuma sana hadi machozi na mafua yananitoka bila mpangilio haswa ninapo kuwa peke yangu isitoshe kwa sasa pia ninatumia madawa sana bila ya kujali mlo,nimejitahidi kutumia vidonge vingi sana badala yake ni hakuna dawa hakuna mabadiliko na wakati mwingine hata nikitumia zile dawa mambo ni yaleyale.

Usingizi kwangu ni kama sherehe kiasi kwamba umechangi kuporomoka uimara na nguvu ya mwili.madawa ya kulevya yamekuwa ni kama maisha yangu.
WAKUU NAOMBENI MSAADA WENU
 
licha ya kuwa kwa sasa kichwa kinaniuma sana hadi machozi na mafua yananitoka bila mpangilio haswa ninapo kuwa peke yangu isitoshe kwa sasa pia ninatumia madawa sana bila ya kujali mlo,
Hapo kwenye mafua na kichwa ni maji kwa wingi na hewa safi ya kutosha usipulizwe na feni au AC muda mrefu, itafute oxygen ilipo kunywa maji mengi kwa siku maliza ndoo ya lita 10 at least kwa wiki utaona unaanza kupata recovery
 
Kwa uzoefu wangu hii inshu iko deep sana unahitaji Therapist then kwa deep zaidi kwa mambo ya kiroho unahitaji prayers na kuwa deep katika maombi coz from what I know most of things vinaanzia ktk Ulimwengu wa Roho so it’s not your own battle only you need power ya juu inaweza kukusaidia kukuvusha utakuwa sawa , utakuwa unakumbuka past yako na hayo mateso atakuwa unaoana kama kicheko. Pia lazima ujue triggers kwamba yapi mambo yanachangia wewe kuwa depressed, kuwa na overstress mpaka unakuwa na hio hali
Pia Hongera kwa kugundua tatizo na kuliweka wazi but jua Hio battle inahitaji commitment sana.
Kulingana vile Mungu amenifunza haya mambo huwa tunaita Magereza ya Adui ukiingia kutoka inakuwa ngumu coz hupiga ufahamu na ile hali ya kuwa addicted inafanya kuwa ngumu but believe me you can wain it .. it’s possible 🙏🏾💪🏾
 
Habari wanajamiiforum.

Muda huu ninaona ni vyema nitoe dukuduku langu ili nipate msaada na ushauri nasaha

Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo).kipindi hicho nilikuwa mdogo kiasi lakini nilikuwa naona vitendo vya hali ya kunyenyekewa sana

Pale ninapoghafirika,baada ya kujitambua nilianza mchakato wa kutafuta vidhawishi ambavyo vinaweza kupelekea kupunguza au kuondoa kabisa tatizo hili kwa kujichanganya mara kwa mara na jamii,kushiriki mazoezi na kuzingatia mlo.

Kwa kifupi niliendelea vizuri kwa wakatu huo.Lakini ilipofika mwaka 2019 kutokana na mazingira niliyokuwa ninashi,hali ilirejea tena na ilikuwa ni hatari sana,nilijaribu kutafuta washauri wabobezi na niliwapata akiwemo shool mate wangu ambaye alikuwa akihudumu UDSM,pamoja na mtaalamu wa human brain enginear kutoka sweeden.

Walinisaidia sana na nikajaribu kuacha vishawishi nilivyokuwa nikifanya kupunguza maumivu makali ya kichwa(kwa nilivyo amini)ikiwemo pombe,madawa tofautitofauti ambayo yalichangia pia ukosefu wa umakini kazini.mwaka 2024 mwezi wa 8 hali ile ilirudi kwa kasi kiasi kwamba ilichangia matatizo na kuibua magonywa mengine kama vidonda vya tumbo,bawasili,kukosa hamu ya kula,kulewa sana,na mengine mengi...

Mungu mkubwa nilipatana na mtu ambaye alinisaidia kupata tiba ya bawasili ambayo nimegundua mabadiliko chanya mwezi may mwaka huu.licha ya kuwa kwa sasa kichwa kinaniuma sana hadi machozi na mafua yananitoka bila mpangilio haswa ninapo kuwa peke yangu isitoshe kwa sasa pia ninatumia madawa sana bila ya kujali mlo,nimejitahidi kutumia vidonge vingi sana badala yake ni hakuna dawa hakuna mabadiliko na wakati mwingine hata nikitumia zile dawa mambo ni yaleyale.

Usingizi kwangu ni kama sherehe kiasi kwamba umechangi kuporomoka uimara na nguvu ya mwili.madawa ya kulevya yamekuwa ni kama maisha yangu.
WAKUU NAOMBENI MSAADA WENU

Msaada ni Yesu kwa Hali uliyofikia, otherwise hao wanaokutesa hivyo watakuua siku si nyingi.
 
Hapo kwenye mafua na kichwa ni maji kwa wingi na hewa safi ya kutosha usipulizwe na feni au AC muda mrefu, itafute oxygen ilipo kunywa maji mengi kwa siku maliza ndoo ya lita 10 at least kwa wiki utaona unaanza kupata

Hapo kwenye mafua na kichwa ni maji kwa wingi na hewa safi ya kutosha usipulizwe na feni au AC muda mrefu, itafute oxygen ilipo kunywa maji mengi kwa siku maliza ndoo ya lita 10 at least kwa wiki utaona unaanza kupata recovery
Kuu ninafanya sana.
 
Kwa uzoefu wangu hii inshu iko deep sana unahitaji Therapist then kwa deep zaidi kwa mambo ya kiroho unahitaji prayers na kuwa deep katika maombi coz from what I know most of things vinaanzia ktk Ulimwengu wa Roho so it’s not your own battle only you need power ya juu inaweza kukusaidia kukuvusha utakuwa sawa , utakuwa unakumbuka past yako na hayo mateso atakuwa unaoana kama kicheko. Pia lazima ujue triggers kwamba yapi mambo yanachangia wewe kuwa depressed, kuwa na overstress mpaka unakuwa na hio hali
Pia Hongera kwa kugundua tatizo na kuliweka wazi but jua Hio battle inahitaji commitment sana.
Kulingana vile Mungu amenifunza haya mambo huwa tunaita Magereza ya Adui ukiingia kutoka inakuwa ngumu coz hupiga ufahamu na ile hali ya kuwa addicted inafanya kuwa ngumu but believe me you can wain it .. it’s possible 🙏🏾💪🏾
Much thanks brother...
 
Back
Top Bottom