G
guest-1790917349
Guest
Life is spiritual ...Yeah kaka nateseka sana...
Ht sijui nianzie wapi kutoa ushauri
Life is spiritual ...Yeah kaka nateseka sana...
Asante sanaOnana na Shimba ya Buyenze au Mshana Jr. Hawa jamaa ni wataalam wabobezi katika sekta hiyo watakushauri vya kutosha halafu baadae watakukonekti ni mtaalamu wao mbobezi kwenya sekta hiyo hiyo
Ulivyoji brand sivyo ulivyo, anza ku train ubongo wako kwa kuji brand upya kwa positive thinking. Unakuwa vile unavyowaza. Acha kuichanganya mindset yako kwamba una matatizo ya akili. Unaohisi wanakuona hivyo wao ndo wenye matatizo ya akili kama hujui sasa.Habari wanajamiiforum.
Muda huu ninaona ni vyema nitoe dukuduku langu ili nipate msaada na ushauri nasaha
Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo).kipindi hicho nilikuwa mdogo kiasi lakini nilikuwa naona vitendo vya hali ya kunyenyekewa sana
Pale ninapoghafirika,baada ya kujitambua nilianza mchakato wa kutafuta vidhawishi ambavyo vinaweza kupelekea kupunguza au kuondoa kabisa tatizo hili kwa kujichanganya mara kwa mara na jamii,kushiriki mazoezi na kuzingatia mlo.
Kwa kifupi niliendelea vizuri kwa wakatu huo.Lakini ilipofika mwaka 2019 kutokana na mazingira niliyokuwa ninashi,hali ilirejea tena na ilikuwa ni hatari sana,nilijaribu kutafuta washauri wabobezi na niliwapata akiwemo shool mate wangu ambaye alikuwa akihudumu UDSM,pamoja na mtaalamu wa human brain enginear kutoka sweeden.
Walinisaidia sana na nikajaribu kuacha vishawishi nilivyokuwa nikifanya kupunguza maumivu makali ya kichwa(kwa nilivyo amini)ikiwemo pombe,madawa tofautitofauti ambayo yalichangia pia ukosefu wa umakini kazini.mwaka 2024 mwezi wa 8 hali ile ilirudi kwa kasi kiasi kwamba ilichangia matatizo na kuibua magonywa mengine kama vidonda vya tumbo,bawasili,kukosa hamu ya kula,kulewa sana,na mengine mengi...
Mungu mkubwa nilipatana na mtu ambaye alinisaidia kupata tiba ya bawasili ambayo nimegundua mabadiliko chanya mwezi may mwaka huu.licha ya kuwa kwa sasa kichwa kinaniuma sana hadi machozi na mafua yananitoka bila mpangilio haswa ninapo kuwa peke yangu isitoshe kwa sasa pia ninatumia madawa sana bila ya kujali mlo,nimejitahidi kutumia vidonge vingi sana badala yake ni hakuna dawa hakuna mabadiliko na wakati mwingine hata nikitumia zile dawa mambo ni yaleyale.
Usingizi kwangu ni kama sherehe kiasi kwamba umechangi kuporomoka uimara na nguvu ya mwili.madawa ya kulevya yamekuwa ni kama maisha yangu.
WAKUU NAOMBENI MSAADA WENU
Ok sawaUlivyoji brand sivyo ulivyo, anza ku train ubongo wako kwa kuji brand upya kwa positive thinking. Unakuwa vile unavyowaza. Acha kuicahnganya mindset yako kwamba una matatizo ya akili. Unaohisi wanakuona hivyo wao ndo wenye matatizo ya akili kama hujui sasa.
kwa mara ya kwanza Shimba ya Buyenze na Mshana Jr watakuita kweli una matatizo ya akili wakati wanakutibia itabidi uvumilie kwelikweli kupata tiba yao maridhawaAsante sana
Bora ushamaliza nilichotaka kumshauri piaKwa uzoefu wangu hii inshu iko deep sana unahitaji Therapist then kwa deep zaidi kwa mambo ya kiroho unahitaji prayers na kuwa deep katika maombi coz from what I know most of things vinaanzia ktk Ulimwengu wa Roho so it’s not your own battle only you need power ya juu inaweza kukusaidia kukuvusha utakuwa sawa , utakuwa unakumbuka past yako na hayo mateso atakuwa unaoana kama kicheko. Pia lazima ujue triggers kwamba yapi mambo yanachangia wewe kuwa depressed, kuwa na overstress mpaka unakuwa na hio hali
Pia Hongera kwa kugundua tatizo na kuliweka wazi but jua Hio battle inahitaji commitment sana.
Kulingana vile Mungu amenifunza haya mambo huwa tunaita Magereza ya Adui ukiingia kutoka inakuwa ngumu coz hupiga ufahamu na ile hali ya kuwa addicted inafanya kuwa ngumu but believe me you can wain it .. it’s possible 🙏🏾💪🏾
Kwa hiyo sisi ambao hatuna hiyo spirituality hatuishi madam?Bora ushamaliza nilichotaka kumshauri pia
Watu hawaelewi life is so spiritual,hakuna kitu kinaanza ghafla
Mungu amsaidie wanaomzunguka wawahi kwenye prayers...
Kuna mkaka nimeona jana kajiua ,mara nyingi aliokolewa na ndugu zake akitaka kujiua,eti MaJuzi akasema mmeniokoa mara nyingi safari lzm nifanikishe😳 eti ndugu wakawa wanajipanga kumpeleka kwenye prayers,akawawahi kajiua....
Duuu, aisee watu wanaji brand vibaya sana, anyway, ndo fate yake.Bora ushamaliza nilichotaka kumshauri pia
Watu hawaelewi life is so spiritual,hakuna kitu kinaanza ghafla
Mungu amsaidie wanaomzunguka wawahi kwenye prayers...
Kuna mkaka nimeona jana kajiua ,mara nyingi aliokolewa na ndugu zake akitaka kujiua,eti MaJuzi akasema mmeniokoa mara nyingi safari lzm nifanikishe😳 eti ndugu wakawa wanajipanga kumpeleka kwenye prayers,akawawahi kajiua....
Bado hujaweka wazi ulikuwa unatumia madawa ya kulevya ndo tatizo likaja au limekuja ndo ukaanza kutumia madawa ya kulevya?Habari wanajamiiforum.
Muda huu ninaona ni vyema nitoe dukuduku langu ili nipate msaada na ushauri nasaha
Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo).kipindi hicho nilikuwa mdogo kiasi lakini nilikuwa naona vitendo vya hali ya kunyenyekewa sana
Pale ninapoghafirika,baada ya kujitambua nilianza mchakato wa kutafuta vidhawishi ambavyo vinaweza kupelekea kupunguza au kuondoa kabisa tatizo hili kwa kujichanganya mara kwa mara na jamii,kushiriki mazoezi na kuzingatia mlo.
Kwa kifupi niliendelea vizuri kwa wakatu huo.Lakini ilipofika mwaka 2019 kutokana na mazingira niliyokuwa ninashi,hali ilirejea tena na ilikuwa ni hatari sana,nilijaribu kutafuta washauri wabobezi na niliwapata akiwemo shool mate wangu ambaye alikuwa akihudumu UDSM,pamoja na mtaalamu wa human brain enginear kutoka sweeden.
Walinisaidia sana na nikajaribu kuacha vishawishi nilivyokuwa nikifanya kupunguza maumivu makali ya kichwa(kwa nilivyo amini)ikiwemo pombe,madawa tofautitofauti ambayo yalichangia pia ukosefu wa umakini kazini.mwaka 2024 mwezi wa 8 hali ile ilirudi kwa kasi kiasi kwamba ilichangia matatizo na kuibua magonywa mengine kama vidonda vya tumbo,bawasili,kukosa hamu ya kula,kulewa sana,na mengine mengi...
Mungu mkubwa nilipatana na mtu ambaye alinisaidia kupata tiba ya bawasili ambayo nimegundua mabadiliko chanya mwezi may mwaka huu.licha ya kuwa kwa sasa kichwa kinaniuma sana hadi machozi na mafua yananitoka bila mpangilio haswa ninapo kuwa peke yangu isitoshe kwa sasa pia ninatumia madawa sana bila ya kujali mlo,nimejitahidi kutumia vidonge vingi sana badala yake ni hakuna dawa hakuna mabadiliko na wakati mwingine hata nikitumia zile dawa mambo ni yaleyale.
Usingizi kwangu ni kama sherehe kiasi kwamba umechangi kuporomoka uimara na nguvu ya mwili.madawa ya kulevya yamekuwa ni kama maisha yangu.
WAKUU NAOMBENI MSAADA WENU
Ambao hamna?Kwa hiyo sisi ambao hatuna hiyo spirituality hatuishi madam?
HakikaAmbao hamna?
😄
Life is spiritual by default Kwa yyt uwe unataka au hutaki, unaamini au huamini ,ndo ilivyo ....
Kila unachoona ni Cha kiroho kabla hakijawa Cha kimwili.....yote tunayoyaona mwilini ni manifestation ya yaliyoko rohoni huko...
Km hujapitia shida shukuru Mungu tu, ila ukipitia utakuja kunielewa .
Acha niishie hapa...
Pole sana kk Mungu hakufanyie wepesHabari wanajamiiforum.