Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo)

Umejaribu njia Nyingi za Kisayansi na ni kama zimeshindwa......!

You are the great Man, na Watu wa hivyo hupata Shida ambazo hawakustahiri.....! NENDA KANISANI ukapokee Uponyaji wako.....!!

Usiombe ushauri Kwa Mtu, coz pale Maumivu yanapokuzidi, hata Mkeo hakusaidii Maumivu Yako.

Dunia Ina mambo mengi hii, narudia Tena nenda KANISANI ukaombewe na Mungu atakuponya...!
 
Umejaribu njia Nyingi za Kisayansi na ni kama zimeshindwa......!

You are great Man, na Watu wa hivyo hupata Shida ambazo hawakustahiri.....! NENDA KANISANI ukapokee Uponyaji wako.....!!

Usiombe ushauri Kwa Mtu, coz pale Maumivu yanapokuzidi, hata Mkeo hakusaidii Maumivu Yako.

Dunia Ina mambo mengi hii, narudia Tena nenda KANISANI ukaombewe na Mungu atakuponya...!
Sawa mkuu
 
Panda mbegu moyoni mwako ya kushinda, ni hivi amua kushinda haijalishi utaanguka mala ngapi inuka na upambane pia usisahau kujiweka karibu na Mungu.
 
hapo kwanza jipongeze kwa kutambua haufanyi kitu sahihi. apo kinachofata ni KUCHUKUA HATUA. basi. hakuna shortcut apo.
 
kwanza nitangulize kwakusema pole sana ndugu.
kuna dawa moja pekee ninayo weza kukupatia lakini lazima urukwe na akili wastani wa siku2 hadi3 baada ya hapo utakua umeflash kila kitu kichwani nakuanza upya kabisa.
 
Nenda kwa wataalamu pengine Kuna kitu kinakuziba ifanyike Mila na tambiko la kimila huwezi jua Kuna shida huko kwenye shina ulipotokea
 
We huumwi sema tu Bangi hiyo imekukataa,acha Bangi sio gani yako
Usidharau mkuu mpaka mtu anaweka issue kama hii public jua ana tatizo msaidie kadri ya uwezo wako usimbeze utajisikiaje kesho ukisikia mtu huyu amejiua?
 
Pole sana mkuu..,
lkn kuna mdau huko juu kakuuliza... . ulianza kutumia madawa ya kulevya kabla ya kupata hilo tatizo au baada?
Tiba yako wewe inahitaji maamuzi thabit!... .. Labda back to your history.. kuna mambo ulifanya au ulifanyiwa visivyo , kama yapo weka wazi ili usaidike vizuri!
 
Habari wanajamiiforum.

Muda huu ninaona ni vyema nitoe dukuduku langu ili nipate msaada na ushauri nasaha

Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo).kipindi hicho nilikuwa mdogo kiasi lakini nilikuwa naona vitendo vya hali ya kunyenyekewa sana

Pale ninapoghafirika,baada ya kujitambua nilianza mchakato wa kutafuta vidhawishi ambavyo vinaweza kupelekea kupunguza au kuondoa kabisa tatizo hili kwa kujichanganya mara kwa mara na jamii,kushiriki mazoezi na kuzingatia mlo.

Kwa kifupi niliendelea vizuri kwa wakatu huo.Lakini ilipofika mwaka 2019 kutokana na mazingira niliyokuwa ninashi,hali ilirejea tena na ilikuwa ni hatari sana,nilijaribu kutafuta washauri wabobezi na niliwapata akiwemo shool mate wangu ambaye alikuwa akihudumu UDSM,pamoja na mtaalamu wa human brain enginear kutoka sweeden.

Walinisaidia sana na nikajaribu kuacha vishawishi nilivyokuwa nikifanya kupunguza maumivu makali ya kichwa(kwa nilivyo amini)ikiwemo pombe,madawa tofautitofauti ambayo yalichangia pia ukosefu wa umakini kazini.mwaka 2024 mwezi wa 8 hali ile ilirudi kwa kasi kiasi kwamba ilichangia matatizo na kuibua magonywa mengine kama vidonda vya tumbo,bawasili,kukosa hamu ya kula,kulewa sana,na mengine mengi...

Mungu mkubwa nilipatana na mtu ambaye alinisaidia kupata tiba ya bawasili ambayo nimegundua mabadiliko chanya mwezi may mwaka huu.licha ya kuwa kwa sasa kichwa kinaniuma sana hadi machozi na mafua yananitoka bila mpangilio haswa ninapo kuwa peke yangu isitoshe kwa sasa pia ninatumia madawa sana bila ya kujali mlo,nimejitahidi kutumia vidonge vingi sana badala yake ni hakuna dawa hakuna mabadiliko na wakati mwingine hata nikitumia zile dawa mambo ni yaleyale.

Usingizi kwangu ni kama sherehe kiasi kwamba umechangi kuporomoka uimara na nguvu ya mwili.madawa ya kulevya yamekuwa ni kama maisha yangu.
WAKUU NAOMBENI MSAADA WENU
Huako peke yako!!!,,,2po wengi sana,,,ni tatizo la dunia!!!
 
Pole ndugu kumbe tuko wengi tupitia hii mitihani ya dunia
 
Usidharau mkuu mpaka mtu anaweka issue kama hii public jua ana tatizo msaidie kadri ya uwezo wako usimbeze utajisikiaje kesho ukisikia mtu huyu amejiua?
Msamehe mkuu.ni jinsi binadamu tulivyo.kuna vitu hajui kama unavyojua wewe kwa sababu hajakutana navyo.
 
Pole sana mkuu..,
lkn kuna mdau huko juu kakuuliza... . ulianza kutumia madawa ya kulevya kabla ya kupata hilo tatizo au baada?
Tiba yako wewe inahitaji maamuzi thabit!... .. Labda back to your history.. kuna mambo ulifanya au ulifanyiwa visivyo , kama yapo weka wazi ili usaidike vizuri!
Ni mengi sana japo sizani kama ni vyema kuweka in publick
 
Back
Top Bottom