Madawa nimeanza kutumia baada ya kupata tatizo.Pole sana mkuu..,
lkn kuna mdau huko juu kakuuliza... . ulianza kutumia madawa ya kulevya kabla ya kupata hilo tatizo au baada?
Tiba yako wewe inahitaji maamuzi thabit!... .. Labda back to your history.. kuna mambo ulifanya au ulifanyiwa visivyo , kama yapo weka wazi ili usaidike vizuri!
Unatumia madawa ya kulevya kama kokaina na heroin auHabari wanajamiiforum.
Muda huu ninaona ni vyema nitoe dukuduku langu ili nipate msaada na ushauri nasaha
Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo).kipindi hicho nilikuwa mdogo kiasi lakini nilikuwa naona vitendo vya hali ya kunyenyekewa sana
Pale ninapoghafirika,baada ya kujitambua nilianza mchakato wa kutafuta vidhawishi ambavyo vinaweza kupelekea kupunguza au kuondoa kabisa tatizo hili kwa kujichanganya mara kwa mara na jamii,kushiriki mazoezi na kuzingatia mlo.
Kwa kifupi niliendelea vizuri kwa wakatu huo.Lakini ilipofika mwaka 2019 kutokana na mazingira niliyokuwa ninashi,hali ilirejea tena na ilikuwa ni hatari sana,nilijaribu kutafuta washauri wabobezi na niliwapata akiwemo shool mate wangu ambaye alikuwa akihudumu UDSM,pamoja na mtaalamu wa human brain enginear kutoka sweeden.
Walinisaidia sana na nikajaribu kuacha vishawishi nilivyokuwa nikifanya kupunguza maumivu makali ya kichwa(kwa nilivyo amini)ikiwemo pombe,madawa tofautitofauti ambayo yalichangia pia ukosefu wa umakini kazini.mwaka 2024 mwezi wa 8 hali ile ilirudi kwa kasi kiasi kwamba ilichangia matatizo na kuibua magonywa mengine kama vidonda vya tumbo,bawasili,kukosa hamu ya kula,kulewa sana,na mengine mengi...
Mungu mkubwa nilipatana na mtu ambaye alinisaidia kupata tiba ya bawasili ambayo nimegundua mabadiliko chanya mwezi may mwaka huu.licha ya kuwa kwa sasa kichwa kinaniuma sana hadi machozi na mafua yananitoka bila mpangilio haswa ninapo kuwa peke yangu isitoshe kwa sasa pia ninatumia madawa sana bila ya kujali mlo,nimejitahidi kutumia vidonge vingi sana badala yake ni hakuna dawa hakuna mabadiliko na wakati mwingine hata nikitumia zile dawa mambo ni yaleyale.
Usingizi kwangu ni kama sherehe kiasi kwamba umechangi kuporomoka uimara na nguvu ya mwili.madawa ya kulevya yamekuwa ni kama maisha yangu.
WAKUU NAOMBENI MSAADA WENU
Mkuu kunakitu kikubwa unacho naweza kuwasiliana na wewe?Hongera kwa kujitambua na hongera kwa jitihada ulizojaribu kufanya ili kujisaidia. Nashauri ufanye meditation, mazoezi na kula vizuri (punguza ama acha kabisa nyama). Meditation itakutuliza, na itafika hatua itakupa contentment fulani hivi ambayo unaipata kwenye drugs . Kama utaona meditation ni ngumu kwako, hebu jaribu breath work. YouTube kuna channel inaitwa Breath with Sandy, utasaidika pakubwa
Yeah, tuwasiliane DM 🙏.Mkuu kunakitu kikubwa unacho naweza kuwasiliana na wewe?
Unataka kumtapeli mgonjwa...Naweza kukusaidia mkuu ukapona kabisa asilimia 100,andaa laki 5 cash. Nusu utatoa kabla na nusu baada ya kupona...situmii dawa zozote,ntakuelekeza tu namna ya kufanya yoga na meditation kwa usahihi.
Sawa tu ni weweNo sioni shida kukupatia email yangu kama hutojali
Meditation siyo rahisi kuielewa kama unavyo isoma..ndo maana mnaishia kuisikia tu..lakini hamnufaiki nayo.Unataka kumtapeli mgonjwa...
Watu hamna huruma.... Yaani mafundisho ya meditation tu?
Pathetic....
Nimeanza matibabu mkuu,japo haikuwa rahisi...ninaimani nitashindaPole sana mkuu.
Uliyoyapitia yanaendana sana na niliyoyapitia. Binafsi nimeanza kuingia kwenye hali hiyo mwishoni mwa mwaka 2010. Lakini mambo ya msongo mkubwa wa mawazo na hata hemorrhoids lilianza rasmi mwaka 2016.Nilipigana silent battle kama wewe japo sikutumia pombe wala madawa mpaka nikaishinda kwa asilimia karibu 80. Usijali mkuu utakuwa sawa lakini acha madawa kwanza.
Asante. Nitakutafuta leo leo
Binafsi nakubaliana na wewe ila kama unafanya meditation kweli basi mpaka sasa unajua manufaa yake na kwamba ni suala la kujitoa kumuelekeza mtu maybe kumsimamia kidogo then basi. Mimi ningeshauri usimchaji pesa mhusika maana tayari ana shida.Meditation siyo rahisi kuielewa kama unavyo isoma..ndo maana mnaishia kuisikia tu..lakini hamnufaiki nayo.
Naweza kumsaidia mkuu..kama atakuwa serious..Lakini kwa mapito binafsi ya Depression niliyo pitia kipindi hicho almost miaka 3..nilikuwa tayari kutoa hata mil5..ili niondoke kwenye lile janga.Binafsi nakubaliana na wewe ila kama unafanya meditation kweli basi mpaka sasa unajua manufaa yake na kwamba ni suala la kujitoa kumuelekeza mtu maybe kumsimamia kidogo then basi. Mimi ningeshauri usimchaji pesa mhusika maana tayari ana shida.
Anasoma hapa. Hata mimi nilipata depression nikiwa binti, nilijitoa kwa Yoga sikuwa nimeanza meditation then. Sometimes naingia kwenye depression ila natoka. Tangu nianze meditation, ni kipindi kirefu Sana sana tangu kurudi hali ya sononaNaweza kumsaidia mkuu..kama atakuwa serious..Lakini kwa mapito binafsi ya Depression niliyo pitia kipindi hicho almost miaka 3..nilikuwa tayari kutoa hata mil5..ili niondoke kwenye lile janga.
Haikuwa rahisi aisee,Yoga na Meditation ni mkombozi endapo unaijua inavyo fanyika siyo kukariri...