Unamaanisha ya kulevya haya ya Majaliwa na DCEA? Au yale ya Pharmacy?madawa ya kulevya yamekuwa ni kama maisha yangu
Ebu sema vizuri hapo kwenye kulevya umemaanisha kulevya km kulevya au Paracetamol na Panadol?Yeah kaka nateseka sana...
Haina haja ya kufuta acha hivyo hivyoPole ebu futa kwanza hiyo TISS AGENT maana tatizo linaanzia hapo kwanini ujiite TISS AGENT
Hapo kwenye mafua na kichwa ni maji kwa wingi na hewa safi ya kutosha usipulizwe na feni au AC muda mrefu, itafute oxygen ilipo kunywa maji mengi kwa siku maliza ndoo ya lita 10 at least kwa wiki utaona unaanza kupata recoverylicha ya kuwa kwa sasa kichwa kinaniuma sana hadi machozi na mafua yananitoka bila mpangilio haswa ninapo kuwa peke yangu isitoshe kwa sasa pia ninatumia madawa sana bila ya kujali mlo,
mpe mda,pengine ndio katumia madawa amelala labdaUsikimbie uzi mkuu
Habari wanajamiiforum.
Muda huu ninaona ni vyema nitoe dukuduku langu ili nipate msaada na ushauri nasaha
Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo).kipindi hicho nilikuwa mdogo kiasi lakini nilikuwa naona vitendo vya hali ya kunyenyekewa sana
Pale ninapoghafirika,baada ya kujitambua nilianza mchakato wa kutafuta vidhawishi ambavyo vinaweza kupelekea kupunguza au kuondoa kabisa tatizo hili kwa kujichanganya mara kwa mara na jamii,kushiriki mazoezi na kuzingatia mlo.
Kwa kifupi niliendelea vizuri kwa wakatu huo.Lakini ilipofika mwaka 2019 kutokana na mazingira niliyokuwa ninashi,hali ilirejea tena na ilikuwa ni hatari sana,nilijaribu kutafuta washauri wabobezi na niliwapata akiwemo shool mate wangu ambaye alikuwa akihudumu UDSM,pamoja na mtaalamu wa human brain enginear kutoka sweeden.
Walinisaidia sana na nikajaribu kuacha vishawishi nilivyokuwa nikifanya kupunguza maumivu makali ya kichwa(kwa nilivyo amini)ikiwemo pombe,madawa tofautitofauti ambayo yalichangia pia ukosefu wa umakini kazini.mwaka 2024 mwezi wa 8 hali ile ilirudi kwa kasi kiasi kwamba ilichangia matatizo na kuibua magonywa mengine kama vidonda vya tumbo,bawasili,kukosa hamu ya kula,kulewa sana,na mengine mengi...
Mungu mkubwa nilipatana na mtu ambaye alinisaidia kupata tiba ya bawasili ambayo nimegundua mabadiliko chanya mwezi may mwaka huu.licha ya kuwa kwa sasa kichwa kinaniuma sana hadi machozi na mafua yananitoka bila mpangilio haswa ninapo kuwa peke yangu isitoshe kwa sasa pia ninatumia madawa sana bila ya kujali mlo,nimejitahidi kutumia vidonge vingi sana badala yake ni hakuna dawa hakuna mabadiliko na wakati mwingine hata nikitumia zile dawa mambo ni yaleyale.
Usingizi kwangu ni kama sherehe kiasi kwamba umechangi kuporomoka uimara na nguvu ya mwili.madawa ya kulevya yamekuwa ni kama maisha yangu.
WAKUU NAOMBENI MSAADA WENU
Haonekani tenaUsikimbie uzi mkuu
Hapo kwenye mafua na kichwa ni maji kwa wingi na hewa safi ya kutosha usipulizwe na feni au AC muda mrefu, itafute oxygen ilipo kunywa maji mengi kwa siku maliza ndoo ya lita 10 at least kwa wiki utaona unaanza kupata
Kuu ninafanya sana.Hapo kwenye mafua na kichwa ni maji kwa wingi na hewa safi ya kutosha usipulizwe na feni au AC muda mrefu, itafute oxygen ilipo kunywa maji mengi kwa siku maliza ndoo ya lita 10 at least kwa wiki utaona unaanza kupata recovery
Mzee wetu hapa hujasema ni skanka, bange, heroine, cocaine, au mirungi? Ungetuelezea ili tujue tunaanzia wapi wataalamu wa tiba za saikolojia ya msongo wa mawazohaswa ninapo kuwa peke yangu isitoshe kwa sasa pia ninatumia madawa sana
Much thanks brother...Kwa uzoefu wangu hii inshu iko deep sana unahitaji Therapist then kwa deep zaidi kwa mambo ya kiroho unahitaji prayers na kuwa deep katika maombi coz from what I know most of things vinaanzia ktk Ulimwengu wa Roho so it’s not your own battle only you need power ya juu inaweza kukusaidia kukuvusha utakuwa sawa , utakuwa unakumbuka past yako na hayo mateso atakuwa unaoana kama kicheko. Pia lazima ujue triggers kwamba yapi mambo yanachangia wewe kuwa depressed, kuwa na overstress mpaka unakuwa na hio hali
Pia Hongera kwa kugundua tatizo na kuliweka wazi but jua Hio battle inahitaji commitment sana.
Kulingana vile Mungu amenifunza haya mambo huwa tunaita Magereza ya Adui ukiingia kutoka inakuwa ngumu coz hupiga ufahamu na ile hali ya kuwa addicted inafanya kuwa ngumu but believe me you can wain it .. it’s possible 🙏🏾💪🏾