Niliapa na nilimaanisha Kazi imeisha Yanga SC anakufa 'nyingi' tarehe 11 Disemba, 2021 Wana Simba SC wote 'furikeni' Uwanjani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Simba Maneno Mengi Kama Waimba Taarabu Af Mnafungwa.
 
Mashabiki wa simba mazuzu sana huyu mpuuzi kila derby huwa anakuja na propaganda zake mwisho wa siku mnapigwa cha ajabu mkipigwa hamumuulizi chochote mechi ijayo anakuja tena na ngonjera zake hii sijui mechi ya ngapi anaendelea na upuuzi wake jmosi mtapigwa tena km kawaida yenu na hamtamuuliza chochote
 
Tarehe 11 nikiona mvua imenyesha nitaamini huu umbea. Lakini jua likiwaka kama kule Zambia nitajua ni zamu ya Mayele kushangilia kwa ile staili yake pendwa.
 
Nasubiri siku ambayo uzi huu utafufuliwa na kuvamiwa kwa kasi ..
 
Siku zote anayeingia uwanjan kwa kujiamin Sana ndie anatinduliwa. Save hii comment yanga Safari hii kajiamini kupita kiasi plus na ujanja ujanja wa manara ndio Basi Ila baada ya dakika 90 Kuna watu watavurugana Sana ,na naona inaenda kutokea ,na ubaya wa mnayama akishakaa kwenye kilele kumtoa Tena Ni kazi ,yaan liwake,inyeshe ngoma itaisha Ivo Ivo had msimu unaisha.
Game ya jumamosi inaenda kuamua Nan atakua bingwa ,yaan atakae mzidi mwenzie point 5 ndie bingwa na atakae mzidi mwenzie point 1 ndie bingwa . Save hii kitu.
 
Tumeshawaonga wachexaji wa Utopoli nini sababu ndiyo zetu kuweza kushida ni lazima tutembeze mlungula kwa marefa na baadhi ya wachezaji wa wapinznai wetu
 
Ukiona Mshana Jr anakaa kilingeni siku 7 bila kula wala kulala ujue kazi imeisha.
Dadadeki.
Siyo mara ya kwanza mnakuja na nyuzi zenu za KIPOPOMA na mnachezea RUNGU.Kwanza Usitutishe huyo anamtumikia Mungu siku hizi😆😆
 
Tunaisubiri hiyo tarehi 11 [emoji617][emoji617]
 
Mkuu kweli we nyoko,, nimeona tbc juzi dr slaa kakurusha wewe na lemutuz
 
Mkuu kweli we nyoko,, nimeona tbc juzi dr slaa kakurusha wewe na lemutuz
Sasa kama GENTAMYCINE Kiasili ni Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer nitaachaje Kutajwa hivyo, kuwa na Mvuto, kuwa Maarufu na Kufuatiliwa ( Kusomwa ) na Wakubwa wengi nchini Tanzania akiwemo huyo Balozi Dk. Wilbroad Slaa na hata Rais Samia Suluhu Hassan Mwenyewe ambaye 'ananifolo' hapa JamiiForums tokea akiwa Makamu wa Rais?

Cc: TEAM 666
 
Sawa sheikh Yahya tusikimbiane tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…