Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Mwaka 1990 nchi yetu ilipata bahati ya kutembelewa na viongozi wawili wakubwa duniani mmoja wa kisiasa mwingine wa kidini.
Papa John na Mandela.
Wakati papa John amekuja Tanzania baba alinibeba begani papa akaniona nikiwa juu ya bega la baba alinibusu na kunibariki.
Leo najiona nina upako wa kiaskofu.
Mandela alipokuja Uingereza mwaka 1990 wakati mzee John Sigwiyemis Malecela akiwa balozi nilikuwa na baba Uingereza. Wakati Elton John anapafomu pale uwanjani Wembley na wimbo wake sacrifice maarufu kokoooaaa akimkaribisha mzee Mandela nilikuwepo uwanjani na baba.
Leo najiona Nina upako wa Mandela najiona mwanasiasa.
Mkulungwa makusudi