Nilibisha sasa nimeamini, FIFA wanataka Messi ashinde hili Kombe la Dunia

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Imesemwa na wachezaji wa Ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha.

Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti!

Argentina wamepewa penati nyingine yenye utata tena leo, tena baada ya Croatia kunyimwa kona ya wazi.

Hii sio mara ya kwanza Agentina kupewa penalti ya utata, Vs Poland walipewa penalti nyingine tena yenye utata.
 
Hili kombe nmeacha kuangalia zamani tu, limejaa harufu ya rushwa. Hata sasahiv sifuatilii kabisa kinachoendelea huko.

Toka kupiga kura za muandaaji watu wa ndani kabisa wanasena kulitembezwa rushwa balaa na hao waarabu
 
Unaweza kuwa sawa lkn hii ya leo ni Penat hakuna utata ni penat ya wazi lkn ushabiki unakutesa
 
Mi naona Arabs family their desired result ni kumpa Morroco kombe baada ya Saudia kushindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…