Nilibisha sasa nimeamini, FIFA wanataka Messi ashinde hili Kombe la Dunia

Nilibisha sasa nimeamini, FIFA wanataka Messi ashinde hili Kombe la Dunia

Imesemwa na wachezaji wa ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha

Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti

Argentina wamepewa penati nyingine yenye utata tena leo, tena baada ya Croatia kunyimwa kona ya wazi

Hii sio mara ya kwanza Agentina kupewa penalti ya utata, Vs Poland walipewa penalti nyingine tena yenye utata
View attachment 2445943
 
Kwa hiyo kipa wa Croatia kumchezea faulo Alvarez nayo ilipangwa na FIFA?

Mkimbio wa Alvarez kuanzia katikati ya uwanja hadi goal nayo imekuwa sponsored by FIFA???
Yaan ushaiki ni sawa na ukichaa, unawaona watu wanatoa hoja za kijinga waziwazi kabisa yaan utadhani milevi. Achana nao hao
 
Imesemwa na wachezaji wa ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha

Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti

Argentina wamepewa penati nyingine yenye utata tena leo, tena baada ya Croatia kunyimwa kona ya wazi

Hii sio mara ya kwanza Agentina kupewa penalti ya utata, Vs Poland walipewa penalti nyingine tena yenye utata
Ila MESSI ni kiumbe hatari
 
Sawa dada, nikuletee nini nikitoka sitimbii?

Lkn nadhan ulisikia official news kina sepp blatter na official wengine wa FIFA wakilalamika khs hio issue. Sitimbii wanakusalimia sana lkn
👋👋👋
 
Tunasubiri na nyie mkafanye mahojiano ya malalamiko na piers Morgan hayo mengine hayatuhusu, nendeni na nyie mkalalamike huko mkaendeleze maigizo maana mpira umewashinda.

[emoji3] Umeuona mgoli wa tatu lakini ni kwa udhamini wa bahasha toka FIFA.
 
Penalty 1 tayari ilishatosha kuondoa winning mentality steam ya Croatia, hayo magoli mengine ni mbwembwe tu kufunika mbeleko ya wazi kabisa [emoji1787]
 
Kamsikilize vizuri Dr Licky kwenye review za uchambuzi wa mechi ya leo.

Pia vipi penalty ya Netherland, ilikuwa ndani ya eneo la kipa?

Vipi penalty dhidi ya Poland?

Argentina wako hapo sababu ya mbeleko tu.
Kumbe mpira wenyewe unaangalia TBC...sawa usiku mwema ndugu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Penalty 1 tayari ilishatosha kuondoa winning mentality steam ya Croatia, hayo magoli mengine ni mbwembwe tu kufunika mbeleko ya wazi kabisa [emoji1787]
Ushawishi uwe nao, pesa uwe nazo halafu maisha yakutese utakua kenge na hilo halikubaliki, pona pona yenu msituguse tukiwa ndani ya 18, mkitugusa tu au hata kujaribu kutuongelesha tukiwa ndani ya 18 tunafunika tuta maana tumetembeza bahasha kuanzia FIFA mpaka kwa mabeki zenu.
 
Back
Top Bottom