Lengo la kuwa uwanjani ni kucheza mpira sasa yule golikipa wa croatia alienda kucover mpira au mchezaji...sabb angekuwa na lengo la kucheza boli angefuata mpira sabb ulikuwa umempita yeye kajitega njiani...
Aliyepewa mheshimu RiZIKI yake nipama kuipora kwake ni vigumu mtahangaika sana(bizman)
#Acheni boli litembeee