Nature
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 830
- 2,241
Kwa hiyo Mechi ya Argentina na Uholanzi Van Jiki na mwenzake walivyopiga penalty na kipa akapangua ni FIFA walipanga iwe hivyo ili Messi amzidi Pele ubora?Changamoto kubwa ya kizazi Cheni ni ufuasi. Huu ufuasi wenu upo kila mahali. Kwenye Dini, Siasa, Muziki na hata mpira. Watu wanaabudu wanadamu wenzao na huwaambii kitu kuhusu hao wawapendao.
Kimsingi kwa jicho la tatu, ilishaonekana. Ili mchezaji awe GOAT ni lazima ashinde kombe la Dunia. Kwa sasa mchezaji anayeheshimika zaidi duniani ni Pele na ndiye mchezaji mkubwa zaidi ya wachezaji wote Duniani toka kuimbwa kwa ulimwengu. Pamoja nankuwa ametokea Brazil ila ni ngozi nyeusi. Ilikuwa ni lazima kwa ngozi nyeupe kuandaa wazi wao watakaokuwa na kuimbwa kuwa ni wachezaji bora zaidi ya Pele. Sikatai Messi ni mchezaji mzuri ila ameandaliwa kwa muda mrefu aonekane kuwa ni bora zaidi ya Pele. Kuna "Bal on dor" zaidi ya mbili ambazo zililazimishwa apewe japo hakudeserve.
Hili kombe la dunia lilishaonekana muda atapewa kwani ndio kombe lake la mwisho kucheza na anaelekea kustaafu ili aonekane ni zaidi ya Pele. Sikuangalia mechi nyingi za Argentina ila ile ya jana niliangalia Kipindi cha kwanza. Haikuwa Penalti ile kwani kipa alishaucheza mpira na mchezaji wa Argentina hakuwa na uwezo wa kuucheza wala kuu kutakuukuta tena ule mpira hivyo kuwa na uhakika wa kufunga goli au kuwa hatari dhidi ya wapinzani wake hata kama aliguswa na golikipa.
Wampe tu kombe lake.
Mechi ya jana mpaka dakika ya 70 croatia hakuwa na Shot on target hata moja...hapa napo ni FIFA walipanga ili Messi amzidi pelle??
Wakati mwingine kuna vitu vya hovyo mtu mzima kama wewe hupaswi kuandika...yaani hata mtoto mdogo anakuona una hasira na ushabiki wa Kitoto.
Kama hujui chochote kwenye mpira ni afadhali ukakaa kimya.