Iamwhoiamm
JF-Expert Member
- Oct 18, 2022
- 503
- 887
MESSI DAWA YAKE DOGO KYLIAN E MBAPPE MTU MKAZI UTAONA LEO WAMOROCCO WANAVYOKIMBIZWA ....WAINGEREZA WANAMUELEWA KYLE WALKER ALIKOMA SIKU ILE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbappe akomae kwanza kufikia level za Halaand.MESSI DAWA YAKE DOGO KYLIAN E MBAPPE MTU MKAZI UTAONA LEO WAMOROCCO WANAVYOKIMBIZWA ....WAINGEREZA WANAMUELEWA KYLE WALKER ALIKOMA SIKU ILE
Dah KWELI wewe hujui mpira mbappe wakumringanisha na eerling HALAAND duhMbappe akomae kwanza kufikia level za Halaand.
Viatu vya Messi na Ronaldo hawezi hata kuvigusa, achilia mbali kuvivaa!
Pamoja na magumu yote yale alopitia Morocco [emoji1173]
Binadamu watu wa ajabu sana
Anyway sasa tumuamini nani,wewe unasema Morocco anataka kutunukiwa ubingwa,wengine wanasema Argentina na Messi wanataka wabarikiwe huu ubingwa
Which is Which
Tofauti na hao failures Ureno. Nani mwingine amelalamika. Au taja penalty unazoona Argentina kapewa kwa upendeleo ?Why alalamikiwe Argentina tu kubebwa kwa penalty bandia mara kwa mara na si timu zingine [emoji848][emoji143]
FIFA ndio wanachagua mpiga penalty ?Imesemwa na wachezaji wa Ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha.
Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti!
Argentina wamepewa penati nyingine yenye utata tena leo, tena baada ya Croatia kunyimwa kona ya wazi.
Hii sio mara ya kwanza Agentina kupewa penalti ya utata, Vs Poland walipewa penalti nyingine tena yenye utata.
We nawe ni mpumbavu tu kama walivyo wengine.Changamoto kubwa ya kizazi Cheni ni ufuasi. Huu ufuasi wenu upo kila mahali. Kwenye Dini, Siasa, Muziki na hata mpira. Watu wanaabudu wanadamu wenzao na huwaambii kitu kuhusu hao wawapendao.
Kimsingi kwa jicho la tatu, ilishaonekana. Ili mchezaji awe GOAT ni lazima ashinde kombe la Dunia. Kwa sasa mchezaji anayeheshimika zaidi duniani ni Pele na ndiye mchezaji mkubwa zaidi ya wachezaji wote Duniani toka kuimbwa kwa ulimwengu. Pamoja nankuwa ametokea Brazil ila ni ngozi nyeusi. Ilikuwa ni lazima kwa ngozi nyeupe kuandaa wazi wao watakaokuwa na kuimbwa kuwa ni wachezaji bora zaidi ya Pele. Sikatai Messi ni mchezaji mzuri ila ameandaliwa kwa muda mrefu aonekane kuwa ni bora zaidi ya Pele. Kuna "Bal on dor" zaidi ya mbili ambazo zililazimishwa apewe japo hakudeserve.
Hili kombe la dunia lilishaonekana muda atapewa kwani ndio kombe lake la mwisho kucheza na anaelekea kustaafu ili aonekane ni zaidi ya Pele. Sikuangalia mechi nyingi za Argentina ila ile ya jana niliangalia Kipindi cha kwanza. Haikuwa Penalti ile kwani kipa alishaucheza mpira na mchezaji wa Argentina hakuwa na uwezo wa kuucheza wala kuu kutakuukuta tena ule mpira hivyo kuwa na uhakika wa kufunga goli au kuwa hatari dhidi ya wapinzani wake hata kama aliguswa na golikipa.
Wampe tu kombe lake.
Hao ni Malofa tu, in MKAPA voice. Wanajitungia tu mambo. FIFA wangekuwa wanataka kumpa Messi WC si wangempa mwaka 2014.Ndugu yangu Kinengunengu you have wrote nothing but conspiracy, and deep inside you nawewe pia una utimu, udini na itikadi nyingine kama ulivyowahukumia vijana kuwa wanavyo
Nini kilikusababisha uache kufuatilia WC?? Eti sababu Argentina anabebwa???mbona sababu dhaifu/ mfu kabisa???
Ngoja nikutajie team kubwa pengine bila shaka zingemfunga Argentina zilizotoka afu uniambie kuwa zilifanyiwa figisu ili Argentina asikutane nazo
Brazil: alifanyiwa figisu????
Spain: alihujumiwa???
German: alifanyiwa ukiritimba???
Belgium: alifanyiwa njama???
Portugal: alifanyiwa njama???
Hao Argentina wenyewe ni kama tu kisimati tu mungu kaamua hivyo
Alipigwa na saudia akawa anahitaji point sita kwa Mexico na Poland ili afuzu na zile kw a taarifa yako ndio zilikuwa game muhimu kwa Argentina kuliko hata hiyo ya Croatia... Je katika hizo game mbili za Mexico na Poland ambazo zote alishinda goal mbili bila kuna goal penalty (kwasababu nyie tafsir yenu penalty ni kubebwa) tulipata penalty dhidi ya Poland ila tulikosa
Mpira ni mchezo wa wazi wenye waamuz watano katika uwanja plus VAR hivi Argentina angefungwa goal tatu au mbili ya halal wangeyafuta au kuyakataa na dunia inaona???
Mbona game dhidi ya Netherlands ziliongezwa ten minutes hadi tukachomolewa goal ingekuwa yaandaliwa kuwa bingwa na alikuwa keshazidiwa zisingeongezwa hata dakika nane achilia mbali kumi
Mbona hatujaona akifungwa na goal kukataliwa???
Acheni propaganda za ajabu ambazo hazipo kwa sababu timu zenu zimetoka acheni chuki binafsi
Messi mwenyewe ana goal tatu za penalty katika mechi sita na ni za halal lakini zinavyoongelewa utafikiri magoal yote 11 ya Argentina ni penalty
Msiishi kwenye mi conspiracies eti kila kitu mnaamini kuna something behind huo pia ni ugonjwa....ni kweli Wenda watu wengi wanatamani messi ashinde WC lakini sio kuja kusema anaandaliwa, anaandaliwa vipi sasa na akifungwa na team pinzani goal zitafutwa??? Mbona alivyosawazishiwa na Netherlands goal hazikukataliwa??? Na magiant wote waliotoka ambao hawakukutana na Argentina ila walikuwa wanauwezo wa kumfunga na kumtoa pia ni planned???
Hamna hoja mna rukaruka tu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Wanaamini Ronaldo kuondolewa Man Utd ni sababu ya MessiFans wa Cr7 hao,yaani hapo sasa hivi mioyo yao inanuka CHUKI [emoji38][emoji38][emoji38]
wa kupiga penatiFicha Ujinga wako,
Messi ana Uwezo mkubwa Sana[emoji4]
Jinsi ulivyoandika tu hayo majina haisumbui kujua kuwa wewe ni shabiki wa mchezaji ganiSi kila anayemkataa Andunje ni mshabiki wa CR 7.
Unawapangiaje Watu wote duniani wamshabikie huyo Andunje [emoji848]
Ninyi ndiyo huwa mnawaita Watu kuwa ni Waislamu wasiofungamana na sera za USA na EU kusapoti Ukraine kupambana na Russia kisa tu hawamkubali Zelensky (Ukraine), au kuwaita Watu mashoga wanaowakubali USA na EU kisa tu kumkataa (Putin) Russia [emoji16]
Watu tupo duniani zaidi ya B 8 kasoro M 200 afu unataka sote tumkubali Andunje, kweli itakuwa dunia ya Watu wenye akili, si itakuwa ni dunia ya Mazezeta tu [emoji848][emoji1732][emoji1787]
Hakuna kitu kama hicho. Mpira wa miguu unachezwa wazi wazi, na watu wote tunaangalia. Hiyo ni wivu wenu tu nyie team RonaldoImesemwa na wachezaji wa Ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha.
Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti!
Argentina wamepewa penati nyingine yenye utata tena leo, tena baada ya Croatia kunyimwa kona ya wazi.
Hii sio mara ya kwanza Agentina kupewa penalti ya utata, Vs Poland walipewa penalti nyingine tena yenye utata.
IdiotChangamoto kubwa ya kizazi Cheni ni ufuasi. Huu ufuasi wenu upo kila mahali. Kwenye Dini, Siasa, Muziki na hata mpira. Watu wanaabudu wanadamu wenzao na huwaambii kitu kuhusu hao wawapendao.
Kimsingi kwa jicho la tatu, ilishaonekana. Ili mchezaji awe GOAT ni lazima ashinde kombe la Dunia. Kwa sasa mchezaji anayeheshimika zaidi duniani ni Pele na ndiye mchezaji mkubwa zaidi ya wachezaji wote Duniani toka kuimbwa kwa ulimwengu. Pamoja nankuwa ametokea Brazil ila ni ngozi nyeusi. Ilikuwa ni lazima kwa ngozi nyeupe kuandaa wazi wao watakaokuwa na kuimbwa kuwa ni wachezaji bora zaidi ya Pele. Sikatai Messi ni mchezaji mzuri ila ameandaliwa kwa muda mrefu aonekane kuwa ni bora zaidi ya Pele. Kuna "Bal on dor" zaidi ya mbili ambazo zililazimishwa apewe japo hakudeserve.
Hili kombe la dunia lilishaonekana muda atapewa kwani ndio kombe lake la mwisho kucheza na anaelekea kustaafu ili aonekane ni zaidi ya Pele. Sikuangalia mechi nyingi za Argentina ila ile ya jana niliangalia Kipindi cha kwanza. Haikuwa Penalti ile kwani kipa alishaucheza mpira na mchezaji wa Argentina hakuwa na uwezo wa kuucheza wala kuu kutakuukuta tena ule mpira hivyo kuwa na uhakika wa kufunga goli au kuwa hatari dhidi ya wapinzani wake hata kama aliguswa na golikipa.
Wampe tu kombe lake.
Mbuzi ni marehemu Mama yako. Uwe na heshima wewe choko.
Kwahiyo nikiandika La Pulga badala ya Messi tayari inaonesha kuwa namshabikia Messi?Jinsi ulivyoandika tu hayo majina haisumbui kujua kuwa wewe ni shabiki wa mchezaji gani
Nadhani huangalii mechi unasikiliza redioniImesemwa na wachezaji wa Ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha.
Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti!
Argentina wamepewa penati nyingine yenye utata tena leo, tena baada ya Croatia kunyimwa kona ya wazi.
Hii sio mara ya kwanza Agentina kupewa penalti ya utata, Vs Poland walipewa penalti nyingine tena yenye utata.
Ni Kweli watanzania tuna changamoto nyingiImesemwa na wachezaji wa Ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha.