Nilichanjwa dawa ya kupendwa na wasichana

Nilichanjwa dawa ya kupendwa na wasichana

"Hakuna faida ya uzinzi na uasherati tofauti na kujichosha huku ukipoteza pesa zako"

Mada nzima nimekuelewa hapa na ndio maana nimetuliza kibamia changu..
Lkn kuna roho wa nani nani sijui huko anateta nami ananiambia "unafikiri ukikaa tu utakuja kupata watoto kama kina bill gate"..😂😅

Bwana na asimame upande wangu..
Amen🙏🏿
 
Umenikumbusha rafiki yangu alikuwa na rafiki yake naye alichanjwa ili apendwe na wanaume wenye pesa..ndele bwana.
 
Namba ya mtaalam please [emoji41]
Kuna mtu namuwinda sana humu ndan
 
So mimi msanii kama bwana Mauki anavyoniita nikimuona naona hanivutii au inakuaje?
Huyo lazima ilikuwa uvutiwe naye..haikuwa kwa wenye pesa tu wanaume wote..ila alikuwa anachagua wenye pesa na masharti hakutakiwa kutukana Wala kudharau na masikini wanaomtongoza.
 
Huyo lazima ilikuwa uvutiwe naye..haikuwa kwa wenye pesa tu wanaume wote..ila alikuwa anachagua wenye pesa na masharti hakutakiwa kutukana Wala kudharau na masikini wanaomtongoza.
Kwahiyo masikini ak kapuku anatumbuliwa mapemaaaaaa
 
Back
Top Bottom