Nilichanjwa dawa ya kupendwa na wasichana

Nilichanjwa dawa ya kupendwa na wasichana

Ndiyo mashariti yake hayo?

Aliolewa sasa na hao mtajiri? Au ndiyo kaishia kuchakazwa na waume za watu maana ndiyo walio wengi huwa na fyeza za kutosha
Yeah ndiyo masharti yake.

Aliolewa na kijana wa kiarabu alikuwa na pesa..na mbaya zaidi walikuwa watatu wote Wana pesa..na wote walikuwa wanamn'gan'gania kumuoa...sijui ndoa yake yaendeleaje uko alipo
 
Yeah ndiyo masharti yake.

Aliolewa na kijana wa kiarabu alikuwa na pesa..na mbaya zaidi walikuwa watatu wote Wana pesa..na wote walikuwa wanamn'gan'gania kumuoa...sijui ndoa yake yaendeleaje uko alipo
Duu mapenzi ya hivyo hapana mie siyataki kabisa, siku ikiisha hiyo dawa anaenda ku update?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duu mapenzi ya hivyo hapana mie siyataki kabisa, siku ikiisha hiyo dawa anaenda ku update?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi atakuwa alikuwa ana update.. maana anapenda shirki hatari..
 
Na alikuwa na Mambo ya uswahili vibaya mno.
Ushoga na huyo siwezi, niliwahi kuwa ofisi moja na mdada aina hiyo unajua nilikuwa namshangaa halafu umri mdogo mabwana zake anaowafanyia ndumba wanamfuata kuja kumsuta [emoji23][emoji23][emoji23] baadaye ya miaka zaidi ya 10 kanitafuta namuuliza kama kaolewa daa kazalishwa watoto 3 na kila mmoja na baba yake haaa haaa
 
Back
Top Bottom