Facts [emoji817]Siku zote ishi unavyoona ni sahihi bila kuvunja sheria za nchi wala kukiuka maadili na tamaduni, ukianza kufanya maisha yaendane na fulani ni kiashiria cha wazi kwamba upo weak kwenye maamuzi.
Nimetoka hapa youtube kuangalia mahafali cha chuo fulani huko afrika kusini nimeona mtu anaitwa jina lake kuchukua cheti, kaenda na nguo za kitamaduni na kacheza kwa furaha ngoma ya kitamaduni na hakuna alichokosea.