Facts [emoji817]Siku zote ishi unavyoona ni sahihi bila kuvunja sheria za nchi wala kukiuka maadili na tamaduni, ukianza kufanya maisha yaendane na fulani ni kiashiria cha wazi kwamba upo weak kwenye maamuzi.
Nimetoka hapa youtube kuangalia mahafali cha chuo fulani huko afrika kusini nimeona mtu anaitwa jina lake kuchukua cheti, kaenda na nguo za kitamaduni na kacheza kwa furaha ngoma ya kitamaduni na hakuna alichokosea.
Hizi za serikali za English medium ni zipi Kaka! Ada zake zinakuwaje?Umefanya sahihi kasoro kumruhusu aende nyumba za watu.
Anaweza kuwa abused huko sexually usijue.
Na mtoto mwenzie au watoto wakubwa wanaokuja nyumba hiyo hata houseboy au housegirl.
Siku hizi kuna shule za serikali English medium. Naona kama Better kuliko private English medium.
Bravo!
Watu bado wanajidanganya na kusahau malezi haya.
Kidume hiki 😁😁Mtoto wako ni jinsia gani, labda tuanzie hapo
Mkuu issue ya kuwa abused sexually ni swala la kumuachia mungu tu kwa kweli.Umefanya sahihi kasoro kumruhusu aende nyumba za watu.
Anaweza kuwa abused huko sexually usijue.
Na mtoto mwenzie au watoto wakubwa wanaokuja nyumba hiyo hata houseboy au housegirl.
Siku hizi kuna shule za serikali English medium. Naona kama Better kuliko private English medium.
AiseeMtoto hata hajui kufua, kupasha chai wala hata kujipikia ndio mtu anaita malezi mazuri sikuhizi,
kesho mzazi unafukuzwa kazi, unafariki, n.k mtoto anaanza kupata taabu.
Hata usipopatwa na mabaya huyo mtoto wako akiwa mkubwa atajuta ulivyomlea,
Hawa wa kiume unafungia ndani utadhani unafuga kuku wa kisasa wapi na wapi, ndio mwanzo wa kutengeneza ma introvert
kama hawa wa kike kila kitu wanasaidiwa na house girl huwa inakua ni taabu sana kwenye ndoa,
Tags zimehadimika siku hizi.Ahsante kwa taarifa...
Mmh hivi ni kweli ehee!!Wewe ni ngangari kwenye idara ipi mkuu!
Hivi unaelewa mtu ambaye hana hela automatic ugangari huja wenyewe bila shuruti?