- Thread starter
- #21
ShukraniHongera mkuu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShukraniHongera mkuu....
ShukraniUmeongea point sana mkuu
🙏🙏🙏Kabisa, futaha inaletwa na kufanya unachokipenda.
Usingeikata mkuu, ungeiacha tu waiue wenyewe!Mimi nikipanda miti yaa Zambarau ,zilipoanza kuiva wanafunzi wa shule ya msingi ikawa njia yao wakipanda lazima wavunjike ,nikaamua kukata.
Nadhani hiyo ndo giving back to the community iliyofeli.
miti ya Zambarau inavunja sana watoto,niliona ipo siku tutakuja kumzika mtotoUsingeikata mkuu, ungeiacha tu waiue wenyewe!
Anhaa, hapo sawa!miti ya Zambarau inavunja sana watoto,niliona ipo siku tutakuja kumzika mtoto
Anhaamiti ya Zambarau inavunja sana watoto,niliona ipo siku tutakuja kumzika mtoto
🙏🙏🙏
Ni kweli kabisa mkuu ulichoongea.Iwe chai or iwe real, hili ni jambo zuri sana la kupongezwa. Actually kila mtu angefanya nyumbani kwake na mtaa anaoishi in 20 yrs tutakua nchi yenye afya bora sana.
Tunakula matunda at keast every week, ukinaliza ukachukua mbegu ukakausha, ukaipanda hata kwenye chupa ya maji iliokatwa nusu na ikaota tayar ni mche ambao kipindi cha masika unawza kuuhamishia kwenye shimo na ukajua in 3 yrs watu wakala matunda matam bila gharama.
Hongera mkuu
Pamoja sana!Unafanya kitu kizuri. Hongera mkuu
Katika dunia ya sasa ambapo mtu anakuonyesha kidonda kikubwa mguuni chenye kutoa wadudu lakini baada ya kumsaidia unakuja kugundua kuwa hakikuwa kidonda bali anajua mwenyewe alichofanya........