Nilichobaini kwa watu wa Njombe

Wengi wanafanya biashara Soko la Kariakoo na wanaishi Ilala, hawapandi gari, wanatoka Ilala kwa mguu na kwenda Kariakoo na kurudi, kwa wafanyakazi wa wa kike huruhusiwi kusuka ni mwendo wa kunyoa tu, na wakiume ni kunyoa kipara, yaani ni wabahili (wachumi).
 

Tanzania nzima hakuna watu wenye sifa zote hizo labda kama umeamua kuwa chawa wa watu wa njombe.

Ni sehemu gani watu wanahangaika na maumbo yao ya kuzaliwa iwe urefu, ufupi, uwebamba au unene. Kama ni wanawake kutafuta uweupe wa mchina, wanawake wa njombe nao ni mafundi.

Wangekua majasiri, wakarimu, wasitarabu na kujiamini mkoa huo usingeongoza kwa takwimu za HIV, wasingekuwa wanaburuzwa CCM na mkoa ungekua na maendeleo lakini badala yake wamejaa imani potofu za kishirikina.

Uchapakazi unaakisi maisha halisi ya watu, lakini uchapakazi wa watu wa njombe ni kizamani usiozingatia tija, wanawake kwa wanaume kutwa wako shamba lakini mwisho wa siku masilahi kisoda kama ilivyo sehemu zingine za nchi..

Njombe ukimtoa yule jamaa anayelima parachichi nyingi Nemes, mexison na mwenye hillside waliobaki wana hela za ugali na niliowataja nao sio mabillionea. Njombe hakuna mabillionea.

Ni kweli njombe watu wanajituma sana kazi za kilimo lakini efficiency ni ndogo sana kwa sababu wanafanya kilimo cha kizamani .

Namalizia kwa kusema watu wa njombe hawana hizo sifa zote ulizoandika,ni watanzania kama watanzia wengine waliojaa ujinga na umaskini mwing,mtu maskini na mjinga hawezikuwa mstaarabu,mjasiri wala kujiamini.
 


Kama huijui njombe Kaa kimya
 
Njombe ni moja ya mkoa ambao imejipambanua zaidi na utazidi kukua zaidi kutokana na nature ya watu wake ni wampambanaji na wanapenda maendeleo na kupitia miji yao miwili makambako na njombe wameteua mji wa makambako uwe wa viwanda na biashara hii ni kutokana na jiografia pia na utajiri wa rasilimali walizo nazo kama madini na mazao ya kibiashara nk ko utarajie kuona mkoa wa njombe utazidi kukua mno ndo kwanza wawekezaji wanazidi kwenda kuwekezana plan yao ni kukuza mji wa makambako ili wa host kibiashara kwa mikoa ya iringa na ruvuma na nchi jilan kwa kujenga bandari kavu, industrial park,masoko ya mazao nk makambako na kazi imeanza
 

Attachments

  • 1711339180702.jpg
    143.7 KB · Views: 51
Hilo basi likiwa njiani kuelekea Ludewa, lilikwama na hivyo kondakta na dereva wakawaomba abiria msaada wa kusukumwa. Mbona waligoma kufanya hivyo!

2. Ni watu wastaarabu sana, na wakarimu pia. Hata ukimwuliza mtu njia, anakuelekeza kwa upendo utafikiri unamlipa.
Hudhani unakinzana na point zako mwenyewe hapo kwenye ukarimu?
 
Nimeishi na kupita maeneo kadhaa huko njombe wilaya ya wanging'ombe kuelekea huko Ludewa Kuna mlima wanaita gangitololi asee ni balaa utatelemkia sehemu wanaita mkiu Kona ya kwenda lugalawa, nilipata na mke huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…